Manny de Bwoy
Senior Member
- Aug 1, 2017
- 124
- 125
Hawawezi kujibu hao vilaza wanashabikia ujinga tu😂Mkuu kwani Makundi ya Kigaidi wana Kambi za Jeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kujibu hao vilaza wanashabikia ujinga tu😂Mkuu kwani Makundi ya Kigaidi wana Kambi za Jeshi?
Halafu naona upo mweupe sana na mvivu wa kufikiri ,hata hilo neno gaidi hujui maana yakeTumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Zana za kijeshi za Hezbollah zipo katika majengo yaliyoko uraiani. Hao Hao Hezbollah wanapigana kwa kujificha na raia haswa wanawake na watoto Ili kuwaghilibu Israel. Kwa Hali hiyo hakuna namna, Magaidi yatafyekwa pamoja na wanawake wao.Israel wapo based na raia
🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Hawawezi kujibu hao vilaza wanashabikia ujinga tu😂
Wiki sasa idf wanataka kuingia lebanon imeshindikana..na hapo nasrallah hayupo!Hizbullah wako kwenye stage ya kutapatapa soon mtaona matokeo ya operation northern Arrow kule Lebanon
Iron dome zinafaa sana tu kuwepo hapo Ukraine ila tatizo gharama zake za uendeshaji ni kubwa mno.Halafu Zelensky anautaka ukalinde Kieve dhidi ya makombora ya Mrusi.
Kuna watu wana majaribu mabaya sana!
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.
Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo viwili vya IDF huko Haifa na mapema Jumapili asubuhi kundi linaloungwa mkono na Iran lilifyatua risasi ya kombora katika kituo cha Nimra huko Tiberias. Tazama kwa maelezo zaidi.
View: https://youtu.be/QOkagxrmoBc?si=48vdeCPqGpUkchaV
Utafikiwa tu anytimeMimi ni kiongozi tayari
Ona kilaza huyu Al Jazeera ni chombo huru😁😁 Al Jazeera ni chombo Cha kigaidi na ndiyo maana imezuiwa Saudi Arabia, Misri, UAE, Morocco, China, Iraq na nchi nyingine kibao.. hata Waarabu wenzao hawawataki halafu unaita chombo huru? hivi kati ya Wakristo na wafuga majini nani Wana akili ndogo katafute dini iliyo na illiterates wengi ni ipiHalafu naona upo mweupe sana na mvivu wa kufikiri ,hata hilo neno gaidi hujui maana yake
Hujui kwamba waisrael wanamiliki vyombo vingi vya habari na aljazeera ndio moja ya vyombo vikubwa na huru duniani ,kisa israel kasema na wewe unaropoka tu, ndio maana kiboko ya wachawi alipata wakristo wengi kwa uvivu huu wa kufikiri
unajua cnn kwba imepata kashfa ya kuandika habari za uongo na waandishi wake wamefunguka kwamba walikuwa wanapamgiwa cha kuandika na kureport kuhusu israel
Tumia akili kufikiria siyo unapelekwa pelekwa tu
Anakataa bikra 72Anajua kifuatacho ndiyo maana kakataa😁😁
Aise hili pigo la kiume haswa
Sisi tunawasafirisha kwa allah kwenda kutafuna bikra 72