Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

hii nguvu safari hii wameipata wapi hamas!!!, maaana safari hii wamerusha makombora kama njugu!!!!
israeli hawaku tegemea.
 
Unajifanya panya unauma weeeee halafu mwishoni unapuliza
 
Watume na vya speed kali pia, ka wanavyo![emoji23]
Ya spidi kali hawana kabisa,hayo hayo ya kutengeza uwani speed ya kinyonga yanachanja mbuga,fikiria sasa kama Hamas wangekua na silaha za maana Israel angekuwaje hadi hivi sasa!
 
Waruhusiwa kuongeza kamanda! [emoji1787]
Kabisa naongeza tu hakuna kupangiana namna ya kuongopeana.....

Inakuwaje jeshi la nchi kupambana na kikundi cha wanamgambo ivi hii ni akili au matope....
 
Kabisa naongeza tu hakuna kupangiana namna ya kuongopeana.....

Inakuwaje jeshi la nchi kupambana na kikundi cha wanamgambo ivi hii ni akili au matope....
Wana mgambo wanosaidiwa na serikali yao. Hata Alshabab, Alqaeda, ISIS nk wote hao ni migambo tu na wanapambana na wanajeshi, sio polisi wanaotumwa kuwaangamiza!
 
Hadi sasa wapalestina 136 wamekufa wanaojulikana, waisrael 3 tu.. Hadi kesho itakuwa wapalestina 800 na waisrael 8. Ndio utajua nani anachinjwa chinjwa.
Tuendelee kuongopeana
 
Kamwe hutaskia Israel kauawa hata mmoja wanajua kupka data
 
Haya mapambano yalianza tangu karne ya ishirin mnama haya maroket hamas wameanza kutumia miaka ya elf mbili
True mkuu afuatili kipindi ,cha akina yasir Arafat mtu anarusha jiwe anapigwa risisi ya moto ,uonevu ulioje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…