Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Siongei mengi...!
Hawana viwanda hayo makombora wanayorusha wanapokea toka mbinguni na bado yanapenya kwenye ngome za hao wenye viwanda..............na mmoja anapigana jihad hana hasara hata akifa wakati mwingine ana vingi vya kupoteza.....
JUST IN - Al-Qassam claims they started to use solid-fueled medium-range ballistic Sejjil missiles in the latest attack on Beer Sheva, Israel. Direct hit reported.

Taari wameanza kutumia ballistic missile medium range View attachment 1783512
Punguza mahaba kwa mapalestina kijana utazidisha chumvi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Israeli terrorist regime never thought they would face an existential threat from Gaza.

They're now being taught a good lesson.

Eat all those rockets & UAVs.
Splendid indeed, Natenyahau and his like mind never saw it coming - now they gonna regret their own folly the hard way!!
 
Hizo 1000 unajua ni za aina gani? Hizo wanapasha tu na wao silaha kali zitatumika hali inavyozidi kubadilika...........hizo 1000 sio lazima zipige target ya maana ............wanawatia hasara tu hao wayahudi hata wao wanajua hivyo vikombora haviwezi leta uharibifu wa maana shida yao ni hio iron dome na hapo usikute wanarusha ili kuisoma inavyofanya kazi pia
Hiyo dome kila bom moja inapointasept ni mamilion ya dola Israel inawagharim bila ya msaada wa us uchumi lazima uporomoke
 
Hiyo dome kila bom moja inapointasept ni mamilion ya dola Israel inawagharim bila ya msaada wa us uchumi lazima uporomoke
Na watu wanaona hamas ni wajinga kwa kurusha makombora 1000
 
Mnashangilia ila mwishonwa siku mnaanza kulia lia.

Mbasahau hata kuwatetea mashehe wenu wapo lokapu miaka nenda rudi mnashadadia wapestina na waisrael ambao ni ndugu na wataendelea kupigana hadi milele.

Kwanza ami njoo hapa mwenge nyuma ya tra tule mdudu
 
Ila wabongo nomaa!! Yaani wape tittle tu mengine watajazia. Humu kuna watu wanatoa maelezo mpaka utabiri utadhani wenyewe ndo wanacontrol vita daaah 😀😀
 
Iron dome inapata shida kuzuia makombora zaidi ya 400 kwa Dakika... Ndicho kilichotokea kwani Hamas wametandika idadi hiyo kwa Dakika.
Baadhi yamepita ila machache yamegusa ardhi ya Israel.
 
Kila siku huwa nakwambia na nitaendelea kuwaambia vita si kitu rahisi kama unavyo fikiri aijalishi ni mpinzani gani unaye kabiliana naye.
Hamas ni kikundi cha watu ambacho akizidi 30000 tena lenye silaha duni.
Lakini limeshabisha Israel inayo tumia mabilion ya$ kunua silaha za kila aina kutangaza hali ya dharura sasa hivi mayahudi wamejificha kwenye maandaki kama mapanya.View attachment 1781884View attachment 1781885View attachment 1781886
Ingekua vzr Kama watu wote tungeungana kukemea vita hii ikome inamaliza uhai wa watu watoto,Akina mama,wazee,vijana kuliko kuwasifia hao kikundi Cha wanamgambo ,alafu hao ndo wajinga kila siku wanawaletea shida ndugu zao wanaichikoza Israel alafu wanajificha nyuma ya raia
 
Back
Top Bottom