Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Ingekua vzr Kama watu wote tungeungana kukemea vita hii ikome inamaliza uhai wa watu watoto,Akina mama,wazee,vijana kuliko kuwasifia hao kikundi Cha wanamgambo ,alafu hao ndo wajinga kila siku wanawaletea shida ndugu zao wanaichikoza Israel alafu wanajificha nyuma ya raia
Tatizo lipo kwa hawa wabarikiwa badala ya kutumia akili kumalizana na hamas na vikund vingine wao wanatumia miguvu tu
 
Kwa uchum wao hawana ubavu wa kugharamia vita mbili kwa wakat mmoja alafu hawa jamaa wameshazoea kupiga na kukimbia lkn ukiwakazia kuwa hakuna kukimbia hawamaliz wiki bwana wao anaingilia kati.
Huu ukimya wa bwana wao sio mzuri...unamshindo mkubwaa
 
Iron domes zinafanya vizuri sana, asilimia 85-95 za maroketi zinapanguliwa. Pengine huu mfumo ndio best wa air defense. Hamas wanarusha maroketi kila mahali lakini Israel inalenga watu na maeneo maalum.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mfumo unajaribiwa na roketi za kutengeneza kienyeji kwanini usiwe effective.........ubora wake ungethibitika kama ingejaribiwa kwa makombora ya maana.....hapo wanachofanya ni kutiana hasara tu
 
Sasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.

Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
Update ya muda huu Al Jazeera Mpka sasa wapalestina 86 wameshakufa huku Israel ikiendelea na mashambulizi makali na imetishia itaenda mbali kwa wale wote wanaochezea uhuru wao wa kujirinda
 
Iron domes zinafanya vizuri sana, asilimia 85-95 za maroketi zinapanguliwa. Pengine huu mfumo ndio best wa air defense. Hamas wanarusha maroketi kila mahali lakini Israel inalenga watu na maeneo maalum.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unasemaje iron domes best air defence kwa vikombora vya Hamas wanavyotengeza uwani hata speed havina?
 
wachapane weee kisha badae watahishimiana.

ila hamasi wamepigika! nao sas zamu yao kujibu mapigo ya kiutu uzima

kinacho waumiza wapalestina ni UNAFIKI WA NCHI ZA KIARABU.
 
Rest in jahannam
20210514_090158.jpg
 
Back
Top Bottom