Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Unaanzaje kurusha jiwe linaloweza kujeruhi vibaya askari au mwanajeshi. Si kukosa akili huko?True mkuu afuatili kipindi ,cha akina yasir Arafat mtu anarusha jiwe anapigwa risisi ya moto ,uonevu ulioje
Silaha ya nyuklia katika dunia ya sasa haina maana yoyote.Labda kama watu watahamia Mars ndio itakuwa inatumika kupiga huko.Uzuri Israel ukubwa wa eneo lake ni 22,145 km² tu(eneo dogo sana) so madhara ya Nuclear hata yenyewe Israel itayapata kwa uzuri kabisa.
Mimi nikiona waisrael 2 nazidisha mara kumiHadi sasa wapalestina 136 wamekufa wanaojulikana, waisrael 3 tu.. Hadi kesho itakuwa wapalestina 800 na waisrael 8. Ndio utajua nani anachinjwa chinjwa.
Mfano kama Misri na Jordan kusingekuwa na vibaraka wa Marekani na Israel kukawa kuna viongozi wanaowaunga mkono wenzao wa Palestina wakafungua ile mipaka basi Israel ingepotea katika kipindi kifupi sana.wachapane weee kisha badae watahishimiana.
ila hamasi wamepigika! nao sas zamu yao kujibu mapigo ya kiutu uzima
kinacho waumiza wapalestina ni UNAFIKI WA NCHI ZA KIARABU.
Kamwe hutaskia Israel kauawa hata mmoja wanajua kupka data
Hawana vyombo vya habar vyenye nguvuIt’s called War Propaganda,sasa Hamas wanashindwa hata kwenye propaganda.
watumie vya iran si ina nguvu.Hawana vyombo vya habar vyenye nguvu
Sio rahisi kihivyo linapokuja swala LA nchi moja kuisaidia nyingineWatumie vya iran si ina ngu
watumie vya iran si ina nguvu.
Wapinzani wake wameshindwa kuunda serikaliLicha ya yote haya yanayotokea lkn netanyau ana hali tete kisiasa
Hata kwa Israel inaongezeka ila kidogo, iron domes zinapangua mengi.Naangalia aljazeera naona vifo vya Gaza vinaongezeka lkn Israel namb ni ileile yanaongezeka idad ya maroket tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23], wanachanja mbuga kukimbia au kwenda wapi, dunia inapiga kelele Gaza inateketea wewe upo sijui Mpiji Magoe unasema wanachanja mbuga.Ya spidi kali hawana kabisa,hayo hayo ya kutengeza uwani speed ya kinyonga yanachanja mbuga,fikiria sasa kama Hamas wangekua na silaha za maana Israel angekuwaje hadi hivi sasa!
Unarusha jiwe ili iweje?True mkuu afuatili kipindi ,cha akina yasir Arafat mtu anarusha jiwe anapigwa risisi ya moto ,uonevu ulioje
Kawasaidie kuipiga mkuu, kama wanachelewa flan hivi.Hiyo Iron dome yenyewe ikipigwa ndio itapendeza zaidi.
Kawasaidie kuifungua, wote uliotaja walishawahi kushindwa vita na Israel na hawataki tena vita na yeye.Mfano kama Misri na Jordan kusingekuwa na vibaraka wa Marekani na Israel kukawa kuna viongozi wanaowaunga mkono wenzao wa Palestina wakafungua ile mipaka basi Israel ingepotea katika kipindi kifupi sana.
Gharama inteceptor rocket = $ 80000 usdHata kwa Israel inaongezeka ila kidogo, iron domes zinapangua mengi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
I agree that war is always very expensive. But sometimes, the language of fighter jets and canons is far better understood as compared to empty words along a round table.Gharama inteceptor rocket = $ 80000 usd
Gharama qassam rocket = $ 500 usd
Israel inatumia dola elfu themanini kudaka dola mia tano.
Peace is a better option ,miltary solution is madness.
The hard truth is ,there is no alternative to a political settlement. Else havoc,total destruction mideast.I agree that war is always very expensive. But sometimes, the language of fighter jets and canons is far better understood as compared to empty words along a round table.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app