Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Uzuri Israel ukubwa wa eneo lake ni 22,145 km² tu(eneo dogo sana) so madhara ya Nuclear hata yenyewe Israel itayapata kwa uzuri kabisa.
Silaha ya nyuklia katika dunia ya sasa haina maana yoyote.Labda kama watu watahamia Mars ndio itakuwa inatumika kupiga huko.
 
Hadi sasa wapalestina 136 wamekufa wanaojulikana, waisrael 3 tu.. Hadi kesho itakuwa wapalestina 800 na waisrael 8. Ndio utajua nani anachinjwa chinjwa.
Mimi nikiona waisrael 2 nazidisha mara kumi

Tusipangiane namna ya kuongopeana
 
wachapane weee kisha badae watahishimiana.

ila hamasi wamepigika! nao sas zamu yao kujibu mapigo ya kiutu uzima

kinacho waumiza wapalestina ni UNAFIKI WA NCHI ZA KIARABU.
Mfano kama Misri na Jordan kusingekuwa na vibaraka wa Marekani na Israel kukawa kuna viongozi wanaowaunga mkono wenzao wa Palestina wakafungua ile mipaka basi Israel ingepotea katika kipindi kifupi sana.
 
Ubaya wa Iron Dome ni kuwa kombora moja la iron dome ni very expensive wakati maroketi ya Hamas ni very cheap, kwa hiyo Israel kuintercept makombora ya Hamas inatumia mahela mengi, na kwa mtindo huu Hamas wanaitia hasara Israel
 
Ya spidi kali hawana kabisa,hayo hayo ya kutengeza uwani speed ya kinyonga yanachanja mbuga,fikiria sasa kama Hamas wangekua na silaha za maana Israel angekuwaje hadi hivi sasa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23], wanachanja mbuga kukimbia au kwenda wapi, dunia inapiga kelele Gaza inateketea wewe upo sijui Mpiji Magoe unasema wanachanja mbuga.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mfano kama Misri na Jordan kusingekuwa na vibaraka wa Marekani na Israel kukawa kuna viongozi wanaowaunga mkono wenzao wa Palestina wakafungua ile mipaka basi Israel ingepotea katika kipindi kifupi sana.
Kawasaidie kuifungua, wote uliotaja walishawahi kushindwa vita na Israel na hawataki tena vita na yeye.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hata kwa Israel inaongezeka ila kidogo, iron domes zinapangua mengi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Gharama inteceptor rocket = $ 80000 usd
Gharama qassam rocket = $ 500 usd
Israel inatumia dola elfu themanini kudaka dola mia tano.
Peace is a better option ,miltary solution is madness.
 
Gharama inteceptor rocket = $ 80000 usd
Gharama qassam rocket = $ 500 usd
Israel inatumia dola elfu themanini kudaka dola mia tano.
Peace is a better option ,miltary solution is madness.
I agree that war is always very expensive. But sometimes, the language of fighter jets and canons is far better understood as compared to empty words along a round table.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
I agree that war is always very expensive. But sometimes, the language of fighter jets and canons is far better understood as compared to empty words along a round table.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
The hard truth is ,there is no alternative to a political settlement. Else havoc,total destruction mideast.
 
Back
Top Bottom