Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Israel mbona anaiabisha ulimwengu huyu
Kwamba US kamkacha sasa anapambana kivyake??
 
Kwa mara ya kwanza maroketi ya hamasi yameweza kuilenga na kuipiga telaviv
 
Sasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliuwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.

Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
Unapozungumzia mzozo huu na kuendelea kwa teknolojia za kijeshi za Israel kunakosifiwa na mataifa ya nje.Na ukijuwa wapalestina wamezingirwa kila upande na kuzuiliwa aina zote za misaada. Tunaweza kusema Israel imezidiwa.Na tunaweza kusema Hamas mpaka hapa wameshinda kwani kila waliposema wana uwezo wa kupiga mpaka Telaviv ilionekana kama ni utani na ndoto za mchana.
 
Rocketi za Hamas zinavo watiya kiwewe madhaalim wa kizayuni
 
Kuna tukio jengine linalozidi kuwatia kiwewe mayahudi nalo ni maandamano yasijayowahi kufikia kiwango hicho yanayotokea ndani ya Israel yanayofanywa na jamii za kiarabu wakiunga mkono wenzao wa Palestina. Israel imesema ni kama vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Netanyau hii hali inahitaji ku survive kisiasa maana kashinwa kuunda serikali na mpinzani kaambiwa aanze kuunda serikali kama kawaida yawana siasa atatumia kila njia aweze kubaki madarakani. mahesabu yake hii vita vitampa umaarufu aonekane ni shujaa hilo moja, pili kuna watu wanasema wa israel wawili tu wamekufa wa palestine wengi yes true sababu ujuwe Israel wanayaona haya makombora wakipiga alarm wanaenda kujificha chini wana mahandaki yao kila sehemu sasa wa palestine hawana na zaidi Gaza ni sehemu ndogo sana ila kuna watu zaidi ya milioni 2 ardhi ndogo kuliko watu na Israel anaenda kupiga na ndege ni lazima sababu ya msongamano watakufa wengi sana.
 
Sasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.

Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
😀😀
 
Muda wa saa 9 usiku baada ya israel kushambulia gaza hamas nao wakajibu kwa maroketi yalio uwa watu 2 .baada ya kipigo hicho israel imepeleka vifaru karibu na gaza mpaka sasahivi hamas wanautawala uwanja wa vita
 
Muisrael mmoja sawa na wapalestina 100
Wa Israel wakiona makombora kwa radar wanapiga alarm wanaingia katika mahandaki wanalala huko chini nchi nzima ina mahandaki lakini Ghaza ni sehemu ndogo sana lakini inawatu zaidi ya million 2 yaani uwiano wa watu na ardhi ni mdogo sana wamejazana sana sehemu ndogo na Israel anapiga na ndege wale wanarusha makombora home made local tu maana ngumu kupata msaada toka sehemu yoyote. Vita vibaya wakiingia ardhini lile ndio balaa na hawa jamaa Hamas wangekuwa na silaha kiasi chake tu ni hatari sababu tofauti ya hawa wawili Hamas hawaogopi kifo ila wa israel waoga kufa.
 
Muda wa saa 9 usiku baada ya israel kushambulia gaza hamas nao wakajibu kwa maroketi yalio uwa watu 2 .baada ya kipigo hicho israel imepeleka vifaru karibu na gaza mpaka sasahivi hamas wanautawala uwanja wa vita
Yaani hamas inautawala uwanja?
Tunza maneno yako
 
Kwa upende mwingine inwezekana kukiri kwa Israel kuwa rocketi za Hamas zinafakiwa kutua kwenye maeneo ya raia, ni propaganda ya kutafuta sababu ya kuivamia Gaza na ukingo wa mto Jordan
 
Sasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.

Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
Kweli kabisa jeshi vs wanamgambo. Hamas siyo wa mchezo lakn
 
Kwa upende mwingine inwezekana kukiri kwa Israel kuwa rocketi za Hamas zinafakiwa kutua kwenye maeneo ya raia, ni propaganda ya kutafuta sababu ya kuivamia Gaza na ukingo wa mto Jordan
Huu mpango wano muda mrefu lakini kila siku mahesabu yanakataa.Kwamba jeshi lipo lakini itakuwaje baada ya kuvamia na kukalia maeneo yote kikamilifu na kuita nchi yao kidhulma.Majibu ya hofu hiyo ni kama kile kilichotokea jana mji wa Lod ndani ya Israel.
 
Hayo majitu ndio maana Hitler aliyanyonga ,kwa nini watake kupora ardhi za wenzao?

Pumbavu sana,mimi sio kiislamu lakini huu ujinga wa eti imani ni ushenzi wa kukiuka haki za Binadamu,,Irani awapenyezee silaha hao Wapalestina
Silaha gani sasa awapenyezee kama Irani tu mwenyewe anauwawa kumbe wao tena kwao wao ndo watafanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki mwingine ni wa kijinga sana!

Huku wapalestine wanateketea alafu kuna mwarabu mmoja huku anajimwambafai kama hivi
 
Halafu huyu ndio anataka kuapambana na Iran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…