Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Hii ndio Anti tank ambayo imeipiga jeep ya jeshi la Israel sasaiviView attachment 1781778
20210512_090532.jpg
 
Hayo majitu ndio maana Hitler aliyanyonga ,kwa nini watake kupora ardhi za wenzao?

Pumbavu sana,mimi sio kiislamu lakini huu ujinga wa eti imani ni ushenzi wa kukiuka haki za Binadamu,,Irani awapenyezee silaha hao Wapalestina
Waambie wenzako waache uchokozi
 
Muda wa saa 9 usiku baada ya israel kushambulia gaza hamas nao wakajibu kwa maroketi yalio uwa watu 2 .baada ya kipigo hicho israel imepeleka vifaru karibu na gaza mpaka sasahivi hamas wanautawala uwanja wa vita
Unajipa moyo
 
Sisi tunawaua TU hatujali kitu
Kichapo ilichochezea Israel jana na leo hawatokisahau alaf eti ndio anaenda kupigana na Iran huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muda wa saa 9 usiku baada ya israel kushambulia gaza hamas nao wakajibu kwa maroketi yalio uwa watu 2 .baada ya kipigo hicho israel imepeleka vifaru karibu na gaza mpaka sasahivi hamas wanautawala uwanja wa vita
Kuna uwezekano kuwa majeshi watatu wa Israel wametekwa mda huu
 
BREAKING: 6 IDF members dead after Hamas strike IDF Jeep with Russian made ATGM and others in critical condition
Mnapenda jifurahisha
Hio sasaivi mpaka wa Gaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
israel yote mitaani mle kuna mahandaki, watu huwa wanakimbilia handakini. vilevile, imekuwa vyema kwa waisrael kupigwa kwani hiyo itasaidia kutathmini uwezo wa ulinzi wao/iron dome ili kuboresha. wasingejua udhaifu huo wasingeboresha. hapo haimaanishi waarabu wameshinda, aaa wapi, bado israel ni mshindi tu kwasababu kipigo atakachokitoa siku zote huwa kina athari kubwa kwa waarabu, ni bora wakakaa chini kujadiliana kuliko kupigana kwasababu wakipigana israel atashinda siku zote.
 
Kichapo ilichochezea Israel jana na leo hawatokisahau alaf eti ndio anaenda kupigana na Iran huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
nimeuliza ngapi ngapi??

leta statistical data of death toll sio unasema fulani kachezea kichapo😎😎
 
Kwaio FB ni reference 😀 😀 😀
Kila siku huwa nakwambia na nitaendelea kuwaambia vita si kitu rahisi kama unavyo fikiri aijalishi ni mpinzani gani unaye kabiliana naye.
Hamas ni kikundi cha watu ambacho akizidi 30000 tena lenye silaha duni.
Lakini limeshabisha Israel inayo tumia mabilion ya$ kunua silaha za kila aina kutangaza hali ya dharura sasa hivi mayahudi wamejificha kwenye maandaki kama mapanya.View attachment 1781884View attachment 1781885
Screenshot_20210512-115728.jpg
 
Back
Top Bottom