Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Inashangaza wanaposema rocket zaid ya mia tat zimepenya kwa myahud na bomba LA mafuta limelipuliwa lkn vifo ni vitano tuBBC naona wanajitahidi kubalance story kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza wanaposema rocket zaid ya mia tat zimepenya kwa myahud na bomba LA mafuta limelipuliwa lkn vifo ni vitano tuBBC naona wanajitahidi kubalance story kidogo
Mkuu fatilia Channel ya Al Jazeera hao ndio wanaonyesha kila kitu live, sitashangaa iwapo jeshi la Israel litapiga mabomu broadcasting systems zao huko Gaza na Israel - hawataki ukweli ujulikane mkuu.Tatizo LA mtanange huu habar zinazohusu uharibifu ktk maeneo ya Israel zinabanwa hazitolew kinagaubaga
Wayahud wamekataa maelezo kutoka UN kusitisha mapiganoMkuu fatilia Channel ya Al Jazeera hao ndio wanaonyesha kila kitu live, sitashangaa iwapo jeshi la Israel litapiga mabomu broadcasting systems zao huko Gaza na Israel - hawataki ukweli ujulikane mkuu.
Mkuu karibu nyumba zote nchini Israel kuna mahandaki yamejengwa mahususi kujikinga dhidi ya makombora. Raia wakisha sikia vingora wanakimbilia kwenye mahandaki.Inashangaza wanaposema rocket zaid ya mia tat zimepenya kwa myahud na bomba LA mafuta limelipuliwa lkn vifo ni vitano tu
Kutokana na ukorof wao wameandaa pa kukimbilia kabisaMkuu karibu nyumba zote nchini Israel kuna mahandaki yamejengwa mahususi kujikinga dhidi ya makombora. Raia wakisha sikia vingora wanakimbilia kwenye mahandaki.
Hii hali hii isijekuwa kama yaleyale ya Hizbullah! Walikataa, baada ya mambo kuwa magumu kwao wakataka lipitishwe kwa haraka. Baba yake US alimsaidia alisisitiza kwa nguvu mno.Wayahud wamekataa maelezo kutoka UN kusitisha mapigano
Mkuu, lakini hii mpaka lini? Taifa linalo support blindly ufedhuri wa Wayahudi ni Wamerikani hao ndio wanawashikiza washirika wao wasiiseme seme sana Israel - wanafikiri Israel itaendeleza ubabe wake wa kuwaonea Wapalestina miaka nenda rudi - Wayahudi wamesahau kwamba Umoja wa jmataifa ndio uliwapatia nchi kwa kuimega eneo la Taifa la Palestine mwaka 1949 - Churchill alipendekeza nchi ya Uganda ndio Wakoloni wa Uingereza watenge eneo la ku-create Taifa la Israel - Wayahudi walikataa pendekezo hilo na kupendelea eneo la Palestine,swali ni, je, kama Wayahudi wangekubali pendekezo la Churchill saa hizi Wahaya wote tungekuwa kwenye makambi ya wakimbizi au tuneisha uwawa wote, mkoa wote wa Kagera ungeporwa na Wayahudi!!Kutokana na ukorof wao wameandaa pa kukimbilia kabisa
Kitu ambacho wao wenyewe wayahudi kinachowaumiza kichwa ni kitendo cha kadr muda unavyokwenda ndivyo nguvu ya wapalestina inavyoongezeka walianza kurusha mawe mpaka sasa wanarusha rocket ndan ya telaviv na miji mingineMkuu, lakini hii mpaka lini? Taifa linalo support blindly ufedhuri wa Wayahudi ni Wamerikani hao ndio wanawashikiza washirika wao wasiiseme seme sana Israel - wanafikiri Israel itaendeleza ubabe wake wa kuwaonea Wapalestina miaka nenda rudi - Wayahudi wamesahau kwamba Umoja wa jmataifa ndio uliwapatia nchi kwa kuimega eneo la Taifa la Palestine mwaka 1949 - Churchill alipendekeza nchi ya Uganda ndio Wakoloni wa Uingereza watenge eneo la ku-create Taifa la Israel - Wayahudi walikataa pendekezo hilo na kupendelea eneo la Palestine,swali ni, je, kama Wayahudi wangekubali pendekezo la Churchill saa hizi Wahaya wote tungekuwa kwenye makambi ya wakimbizi au tuneisha uwawa wote, mkoa wote wa Kagera ungeporwa na Wayahudi!!
Sipendi kinachoendelea lakini Israel ana msimamo sana. Akisema watalipa gharama anafanya kweli. Nilihisi hatafanya kitu lakini kwa yanayoendelea hadi naogopa.Hawa waarabu wanaojificha nyuma ya wananchi wanasababisha raia wafe?? angalia wanavyopukutishwa
Unataka kuniambia ATGM ambayo ni Russian Made Ant-Tank Missile Luncher ni Siraha duni? Make ndio imetumiwa na Hammas Kutungua gari la jeshi la Israel. Acheni kuongopa, kwenye hiyo Vita ya Hammas Na Israel,ukweli ni kwamba Israel anapigana pekee yake kwa kutumia Siraha zake na Zile alizonunua kutoka USA,Wakati Hammas Wakishirikiana na Mamluki kutoka Yemen plus Wapiganaji na Hizzibollah kutoka Lebano plus Siraha za Urusi na Makombora Kutoka Iran. Usijidanganye eti Hammas anatumia Siraha duni hata siku moja.Siraha duni isafiri kutoka Gazza Strip mpaka Tel Aviv umbali wa karibu 100Km? Impossible. Israel anapambana na Vikosi vingi sana pale Gaza plus Siraha kutoka kila Hasimu wa Israel.Kila siku huwa nakwambia na nitaendelea kuwaambia vita si kitu rahisi kama unavyo fikiri aijalishi ni mpinzani gani unaye kabiliana naye.
Hamas ni kikundi cha watu ambacho akizidi 30000 tena lenye silaha duni.
Lakini limeshabisha Israel inayo tumia mabilion ya$ kunua silaha za kila aina kutangaza hali ya dharura sasa hivi mayahudi wamejificha kwenye maandaki kama mapanya.View attachment 1781884View attachment 1781885View attachment 1781886
Ww mani kakwambia, Hamas wako kama wao tu mpka sasa, niliskia wakiamua kuomba msaada wataomba but sio kwa sasaUnataka kuniambia ATGM ambayo ni Russian Made Ant-Tank Missile Luncher ni Siraha duni? Make ndio imetumiwa na Hammas Kutungua gari la jeshi la Israel. Acheni kuongopa, kwenye hiyo Vita ya Hammas Na Israel,ukweli ni kwamba Israel anapigana pekee yake kwa kutumia Siraha zake na Zile alizonunua kutoka USA,Wakati Hammas Wakishirikiana na Mamluki kutoka Yemen plus Wapiganaji na Hizzibollah kutoka Lebano plus Siraha za Urusi na Makombora Kutoka Iran. Usijidanganye eti Hammas anatumia Siraha duni hata siku moja.Siraha duni isafiri kutoka Gazza Strip mpaka Tel Aviv umbali wa karibu 100Km? Impossible. Israel anapambana na Vikosi vingi sana pale Gaza plus Siraha kutoka kila Hasimu wa Israel.
Hapa Unapotosha. Lini Hammas walirusha Mawe? Wanaorusha Mawe ni raia wa kawaida wa Palestina ambao wamechoshwa na uonevu wa Israel,Hammas tangu mwanzo amekuwa akirusha Makombora sio mawe,na Makombora yanatoka Iran na Urus. Hammas hajawahi kutumia Siraha duni,Rocket inayosafiri umbali wa zaidi ya 100km haiwezi kuitwa duni hata siku moja.Kitu ambacho wao wenyewe wayahudi kinachowaumiza kichwa ni kitendo cha kadr muda unavyokwenda ndivyo nguvu ya wapalestina inavyoongezeka walianza kurusha mawe mpaka sasa wanarusha rocket ndan ya telaviv na miji mingine
Kwahiyo hiyo ATGM Ant-tank Missile Luncher imetengenezwa na Hammas hapo hapo Gaza?Ww mani kakwambia, Hamas wako kama wao tu mpka sasa, niliskia wakiamua kuomba msaada wataomba but sio kwa sasa
Eneo LA ukanda wa Gaza ni eneo lililofungwa hakiingii kitu wala MTU mpaka Israel iridhie na na hata upande wa baharin kuna umbali ambao ndio mwisho wa kwenda ukizid chombo kinazamishwa na ndio maana hawa jamaa hawapat silaha kutoka kwa wale wanaowasapot kule zinapelekwa fomla wanadizain wenyewe kienyejUnataka kuniambia ATGM ambayo ni Russian Made Ant-Tank Missile Luncher ni Siraha duni? Make ndio imetumiwa na Hammas Kutungua gari la jeshi la Israel. Acheni kuongopa, kwenye hiyo Vita ya Hammas Na Israel,ukweli ni kwamba Israel anapigana pekee yake kwa kutumia Siraha zake na Zile alizonunua kutoka USA,Wakati Hammas Wakishirikiana na Mamluki kutoka Yemen plus Wapiganaji na Hizzibollah kutoka Lebano plus Siraha za Urusi na Makombora Kutoka Iran. Usijidanganye eti Hammas anatumia Siraha duni hata siku moja.Siraha duni isafiri kutoka Gazza Strip mpaka Tel Aviv umbali wa karibu 100Km? Impossible. Israel anapambana na Vikosi vingi sana pale Gaza plus Siraha kutoka kila Hasimu wa Israel.
Wazungu hawa waliwauwa sana, waliwapiga sumu wafe wamalizike kwa bahati wakabaki wacheche kila nchi ilikua inawakataa so waliobakia ndio wakachukuliwa wakapelekwa kwenye ardhi ya Palestina na kupewa silaha, yaani ni kama kikundi kimepewa silaha ndio wakaanza kupora maeneo kwa huku kukiwa na support ya wakubwa zake Us na uk, Yaani walitawanyika na unapowakaribisha kwenye nchi yako wamejaa ufisadiWakati mwingine nikiona vitendo vya kikaburu vikiendeshwa na Mayahudi kwa Wapalestina bila aibu wala kujali maoni ya International Community ni wazi jamaa hawa Yesu Kristo akirudi Duniani watamuua kwa mara nyingine tena - ni mikatiri kupindukia na mibaguzi ya rangi - sina shaka hulka zao za ukatiri wa kuzaliwa nao ndio Hitler aliwahi kukumbana nazo katika ujana wake, ndio maana yeye na wenzake walipo pata fulsa wakabuni final solution ya ku-deal na Wayahudi - jamaa hawa ni hatari sana kwa amani ya Dunia wako radhi kuchonganisha Iran na Amerika wapigane on behalf ya Israel huku wakijuwa wazi wazi Urusi itaingilia kati kuinusuru Iran utatokea uwezekano mkubwa wa kuzuka WW3 - Jews don't give damn wanajuwa cousins wao Mabenki ya Rothschild watavuna fedha ndefu kwa kutoa mikopo ya kuendeleza vita hayo ndiyo yalifanyika wakati wa WW1 na WW2 na major conflicts zilizo wahi kutokea hapa Duniani.
Haya mapambano yalianza tangu karne ya ishirin mnama haya maroket hamas wameanza kutumia miaka ya elf mbiliHapa Unapotosha. Lini Hammas walirusha Mawe? Wanaorusha Mawe ni raia wa kawaida wa Palestina ambao wamechoshwa na uonevu wa Israel,Hammas tangu mwanzo amekuwa akirusha Makombora sio mawe,na Makombora yanatoka Iran na Urus. Hammas hajawahi kutumia Siraha duni,Rocket inayosafiri umbali wa zaidi ya 100km haiwezi kuitwa duni hata siku moja.
Nimekuuliza hiyo ATGM Ant-tank Missile Luncher ambayo imetumiwa na Hammas kutungua Gari la jeshi la Israel imetengenezwa hapo hapo Gaza? Au hata Specification zake huzijui?Eneo LA ukanda wa Gaza ni eneo lililofungwa hakiingii kitu wala MTU mpaka Israel iridhie na na hata upande wa baharin kuna umbali ambao ndio mwisho wa kwenda ukizid chombo kinazamishwa na ndio maana hawa jamaa hawapat silaha kutoka kwa wale wanaowasapot kule zinapelekwa fomla wanadizain wenyewe kienyej
Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo nimedokeza kuwa aina hiyo ya silaha ndio iliyotumika sijapaona lkn kitu ambacho Nina uhakika nacho ni HAMAS wanatumia viwanda vyao ambavyo vipo ndani ya ukanda wa Gaza kutengeneza silaha zao kwa sabab hilo eneo lipo kwenye mzingiro wa pande zote hakiingii kitu wala kutoka bila ridhaa ya myahudNimekuuliza hiyo ATGM Ant-tank Missile Luncher ambayo imetumiwa na Hammas kutungua Gari la jeshi la Israel imetengenezwa hapo hapo Gaza? Au hata Specification zake huzijui?
Ni Lini Hammas wameanza kutengeneza Siraha aina hiyo ya ATGM? Nijuavyo mimi ni kwamba ATGM ni Russian Guided Ant-Tank Missile ambayo inatengenezwa nchini Urusi. Pia Marekani anayo japo wao inaitwa FGM-148 Javelin Ant-Tank Missile.#IDF Military Jeep targeted in the ATGM attack by #Hamas Al-Qassam Brigades.