Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Mambo mengine bwana! Kwa hiyo kwa maoni yako maeneo ya Jerusaleem na Tela Aviv hayana umuhimu?

Usiku huu nimeangali kwenye TV jinsi Iron Dome zilivyo zidiwa na maroketi ya wapalestina - yaani aibu tupu, mbwembwe zote za kuipigia debe na propaganda uchwara kwamba Iron DOME ndio baba lao kumbe wapi? Nilishangaa zilipo rushwa roketi tano Tela Aviv - Dome ikadhibiti moja tu nne zikapenya - sasa wanakuja na visingizio eti roketi za kipalestina wamezifanyia marekebisho zinaruka parallel na aridhi hazichukui mtindo wa ki-projectile hivyo si rahisi kuonekana kwenye scanning radar ili system ifanye mahesabu ya uhakika wapi pa kuzi-intercept - nilipo sikia kisingizio hicho cha Wayahudi nilicheka sana na kuwasikitikia, nikajua hapo Iran imekwisha wapa mbinu na wafunzo Wapalestina jinsi ya kuwazidi kete Waisrael.

Usiku huu tena nikaona matela yamebeba vifaru kwenda Gaza eti kuwamaliza wapiganaji wa kipalestina wanao rusha roketi, yaani mara hii Israel imekwisha sahau vifaru vyake vilivyo teketezwa huko Lebanon 2016 baada ya kuingia kichwa kichwa huko, hawakuamini macho yao, leo hii tena mjinga huyu Natenyahu anataka Wayahudi wapate balaa nyingine tena kwa kuvamia Gaza - hataki kuondoka madarakani anag'ang'ania kama luba - anaogopa kushtakiwa akiondoka madarakani - vita hii ndio itamumaliza kisiasa - akumbuke kwamba vita hii wapalestina hawapo peke yao huko Gaza,watasaidiana na kundi la Hezibolla,Wairan, Syria, Wa Lebanon na Waturuki,yaani dalili zinaonyesha Wapalestina wamejipanga kweli kweli ku-deal na ujeuri wa Natenyahu na genge lake vilivyo, wamefikia hatua ya kuvurumisha mpaka roketi za masafa marefu yenye uwezo wa kusababisha uharibifu mkubwa sana sana, nimeona kwenye TV live madhara ya makombora hayo si mchezo, Israel hisipo kuwa makini this time around watakuja kuaibika.
Bado una la kusema ?
 
Tayari wameshazipiga
Bib
Screenshot_20210512-195539.jpg
 
Iron dome imeshindwa vibaya sana.

Mdaa huu shule na viwanja vya ndege vimefungwa baada ya baada ya maroketi kufanikiwa kupiga sehemu za kiraia ni nandra kusikia vifo huko israel ila huwezi amin mda mfupi ulio pita wamekufa watu watatu
Baba na bintiye, wote wana asili ya kiarabu lakini ni wakaazi wa Israel, pamoja na mama m Israel mmoja...kwa hiyo Hamas wakirusha wajue wanaua watu wenye asili ya kiarabu pia, sio Wayahudi wote.
 
Duuuu???!! Wameshaanza mapambano ya uso kwa macho
Ni kweli. Angalia anavyosema meya wa mji wa Lod
"The mayor of Lod, Yair Revivo, said decades of coexistence had been "trampled."
He said Arab-Israeli rioters had been "burning synagogues, Talmud Torah, dozens of vehicles, burning garbage containers, destroying Israeli flags and worse, lowering the Israeli flag and hoisting the Palestinian flag, on a night of riots that injured policemen and residents who found themselves besieged."
1620898945508.png

A truck burns at the entrance of the mixed Jewish-Arab city of Lod, where a state of emergency has been declared.
 
Baba na bintiye, wote wana asili ya kiarabu lakini ni wakaazi wa Israel, pamoja na mama m Israel mmoja...kwa hiyo Hamas wakirusha wajue wanaua watu wenye asili ya kiarabu pia, sio Wayahudi wote.
Na hata huko palestina kuna wakazi ambao asili yao ni wayahudi
 
Wazungu hawa waliwauwa sana, waliwapiga sumu wafe wamalizike kwa bahati wakabaki wacheche kila nchi ilikua inawakataa so waliobakia ndio wakachukuliwa wakapelekwa kwenye ardhi ya Palestina na kupewa silaha, yaani ni kama kikundi kimepewa silaha ndio wakaanza kupora maeneo kwa huku kukiwa na support ya wakubwa zake Us na uk, Yaani walitawanyika na unapowakaribisha kwenye nchi yako wamejaa ufisadi
Mayahudi wakiingia katika nchi,watajipenyeza kijanja kwenye taasisi za fedha na vitega uchumi vikubwa kama vile madini.Kwa kuwatumia viongozi fisadi wa serikali mara amri zinakuwa ni zao na wananchi wanaanza kuona machungu yake.
Nchi za kiarabu zilizorudisha uhusiano karibuni na Israel hivi sasa umasikini wa raia unapanda kwa kasi na wengi wao wanatamani kukimbia wakaishi nchi za mbali.
Wazungu hawa waliwauwa sana, waliwapiga sumu wafe wamalizike kwa bahati wakabaki wacheche kila nchi ilikua inawakataa so waliobakia ndio wakachukuliwa wakapelekwa kwenye ardhi ya Palestina na kupewa silaha, yaani ni kama kikundi kimepewa silaha ndio wakaanza kupora maeneo kwa huku kukiwa na support ya wakubwa zake Us na uk, Yaani walitawanyika na unapowakaribisha kwenye nchi yako wamejaa ufisadi
Mayahudi wakiingia katika nchi,watajipenyeza kijanja kwenye taasisi za fedha na vitega uchumi vikubwa kama vile madini.Kwa kuwatumia viongozi fisadi wa serikali mara amri zinakuwa ni zao na wananchi wanaanza kuona machungu yake.
Nchi za kiarabu zilizorudisha uhusiano karibuni na Israel hivi sasa umasikini wa raia unapanda kwa kasi na wengi wao wanatamani kukimbia wakaishi nchi za mbali.
 
Mkuu kinacho isaidia Israel ni kwamba yale maroketi yana uwezo mdogo wa kusababisha mripuko kutokana na kwamba yametengenezwa kwa teknorojia duni, maana hayo maroketi yana tengenezwa kienyeji tu.

Na mbaya zaidi hayo maroketi yana kasi ndogo kwa hiyo ni rahisi kwa mifumo ya ulinzi ya Israel kakabiliana nayo lakini bado wameshidwa kuyazuia.

Hivi mkuu umesha fikiria ni hali gani ambayo wangekuwa nayo Israel iwapo hayo maroketi yangekuwa na uwezo sawa na kakombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani?
Ni kweli mkuu uwezo mdogo wa hizo roketi ni faida kwa Israel. Laiti yangekua ni makombora ya kisasa hali ingekua mby mno kwa Netanyahu
 
#BREAKING: Rockets from Gaza again heading to central Israel including Tel Aviv


Hii iron dome huwa inalala?
 
Watanzania wajinga sana kwa jinsi wanavyoongelea hii vita kwa uchungu utadhani bibi na babu zao ndio wanauawa huko, wakati shangazi zao wapo vijijini choka mbaya na wameliwa na funza bado yanakenua tu meno kama kenge mzee
 
#BREAKING: Hamas now sending suicide drones laden with explosives to border communities in southern Israel
 
Hamas announces they carried out multiple ops with suicide drones. At the same time, suicide drones are on the way to Israel.
 
#BREAKING: Israelis in Gaza border area asked to turn off security cameras in homes and businesses, following intelligence that Hamas is waging cyber warfare, taking over the systems and may gather intelligence. Residents also asked to disconnect the systems from the internet.
 
Israel's nightmare is becoming reality.

Palestinian forces just used Loitering Munition (suicide drones) to target Israeli terrorists.

Attack was successful and Palestine will soon reveal the details of the operation.
 
Sipendi kinachoendelea lakini Israel ana msimamo sana. Akisema watalipa gharama anafanya kweli. Nilihisi hatafanya kitu lakini kwa yanayoendelea hadi naogopa.
Tayari keshafanya yake wavaa makobazi badala ya kuwasifia kama awali saivi wanalaumu

Wanadamu bhana
FB_IMG_1620845784530.jpg
FB_IMG_1620807245439.jpg
 
Kuna mtu naona hataki kuonekana mnyama kwa kutumia nuclear systems zake, ila akikosea tu hasira zimzidi atoe, basi hapabaki mtu upande wa pili, itakuwa Syria nyingine kusipofanywa ceasefire hapo! Siombi yawe hivyo hata siku moja!
Uzuri Israel ukubwa wa eneo lake ni 22,145 km² tu(eneo dogo sana) so madhara ya Nuclear hata yenyewe Israel itayapata kwa uzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom