STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji599] Al Qassam brigades announces using locally produced "Shehab" suicide drone against an Israeli offshore gas platform and several military targets
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee Hamas boy, potea hemu! 🤣 🤣 🤣Uzuri Israel ukubwa wa eneo lake ni 22,145 km² tu(eneo dogo sana) so madhara ya Nuclear hata yenyewe Israel itayapata kwa uzuri kabisa.
Latest news :83 Palestinians dead while 7 Israelites dead so far...Unajibishana na kichwa maji, yaani wao wanacomment tu ilimradi aonekane
Wapalestine 83 na makuu wa majeshi na viongozi 3 hammas wameuawaSasa wamezidiwa vipi? Waisrael waliouwawa mpaka sasa ni wawili tu kwa mujibu wa taarifa yako. Wapalestine mpaka sasa wameshauwawa watu 28.
Sasa wepi wamezidiwa? Wapalestine au Waisraeli??
😂😂😂😂 aiseeee.Wee Hamas boy, potea hemu! 🤣 🤣 🤣
Hamna cha ALLAH WALA YESU hawa wanauana kwasababu sizokuwa na mashiko.Allah is happy this time 😆😆😆😆😂😂
nimeuliza ngapi ngapi??
leta statistical data of death toll sio unasema fulani kachezea kichapo😎😎
83 na viongozi 6 wa hammasIdadi imefikia 50 kwa Wafilisti waliokufa
Na Bado israel isisikilize usitishwaji wowote wavita ishushe mashambulizi ya kutosha mpaka Palestina washike adabu haiwezekani warushe vikombora vyao israel ikaanza kujibu ndio UN wanataka vita visitishweSipendi kinachoendelea lakini Israel ana msimamo sana. Akisema watalipa gharama anafanya kweli. Nilihisi hatafanya kitu lakini kwa yanayoendelea hadi naogopa.
Hapo umewashika wanafiki haoNimekuuliza hiyo ATGM Ant-tank Missile Luncher ambayo imetumiwa na Hammas kutungua Gari la jeshi la Israel imetengenezwa hapo hapo Gaza? Au hata Specification zake huzijui?
Propaganda kali kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo mengine bwana! Kwa hiyo kwa maoni yako maeneo ya Jerusaleem na Tela Aviv hayana umuhimu?
Usiku huu nimeangali kwenye TV jinsi Iron Dome zilivyo zidiwa na maroketi ya wapalestina - yaani aibu tupu, mbwembwe zote za kuipigia debe na propaganda uchwara kwamba Iron DOME ndio baba lao kumbe wapi? Nilishangaa zilipo rushwa roketi tano Tela Aviv - Dome ikadhibiti moja tu nne zikapenya - sasa wanakuja na visingizio eti roketi za kipalestina wamezifanyia marekebisho zinaruka parallel na aridhi hazichukui mtindo wa ki-projectile hivyo si rahisi kuonekana kwenye scanning radar ili system ifanye mahesabu ya uhakika wapi pa kuzi-intercept - nilipo sikia kisingizio hicho cha Wayahudi nilicheka sana na kuwasikitikia, nikajua hapo Iran imekwisha wapa mbinu na wafunzo Wapalestina jinsi ya kuwazidi kete Waisrael.
Usiku huu tena nikaona matela yamebeba vifaru kwenda Gaza eti kuwamaliza wapiganaji wa kipalestina wanao rusha roketi, yaani mara hii Israel imekwisha sahau vifaru vyake vilivyo teketezwa huko Lebanon 2016 baada ya kuingia kichwa kichwa huko, hawakuamini macho yao, leo hii tena mjinga huyu Natenyahu anataka Wayahudi wapate balaa nyingine tena kwa kuvamia Gaza - hataki kuondoka madarakani anag'ang'ania kama luba - anaogopa kushtakiwa akiondoka madarakani - vita hii ndio itamumaliza kisiasa - akumbuke kwamba vita hii wapalestina hawapo peke yao huko Gaza,watasaidiana na kundi la Hezibolla,Wairan, Syria, Wa Lebanon na Waturuki,yaani dalili zinaonyesha Wapalestina wamejipanga kweli kweli ku-deal na ujeuri wa Natenyahu na genge lake vilivyo, wamefikia hatua ya kuvurumisha mpaka roketi za masafa marefu yenye uwezo wa kusababisha uharibifu mkubwa sana sana, nimeona kwenye TV live madhara ya makombora hayo si mchezo, Israel hisipo kuwa makini this time around watakuja kuaibika.