Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo nimedokeza kuwa aina hiyo ya silaha ndio iliyotumika sijapaona lkn kitu ambacho Nina uhakika nacho ni HAMAS wanatumia viwanda vyao ambavyo vipo ndani ya ukanda wa Gaza kutengeneza silaha zao kwa sabab hilo eneo lipo kwenye mzingiro wa pande zote hakiingii kitu wala kutoka bila ridhaa ya myahud
Hapa umekalilishwa Maneno haya. Umeshajiuliza Hayo Makombora ya Iran na Russia ambayo Hammas wanayatumia yanaingiaje Gazza kama kweli imezingirwa?
 
Hammas wanaingiza Siraha nyingi sana kutoka Russia na Iran kupitia kwa Hezzibullah huko Lebanon.
 
Kuna mtu naona hataki kuonekana mnyama kwa kutumia nuclear systems zake, ila akikosea tu hasira zimzidi atoe, basi hapabaki mtu upande wa pili, itakuwa Syria nyingine kusipofanywa ceasefire hapo! Siombi yawe hivyo hata siku moja!
 
Ni Lini Hammas wameanza kutengeneza Siraha aina hiyo ya ATGM? Nijuavyo mimi ni kwamba ATGM ni Russian Guided Ant-Tank Missile ambayo inatengenezwa nchini Urusi. Pia Marekani anayo japo wao inaitwa FGM-148 Javelin Ant-Tank Missile.
Kwani nimesema wametengeneza wao
 
Hapa umekalilishwa Maneno haya. Umeshajiuliza Hayo Makombora ya Iran na Russia ambayo Hammas wanayatumia yanaingiaje Gazza kama kweli imezingirwa?
Labda unijuze yanaingizwaje ikiwa myahud kazingira na upande wa misr kivuko cha rafah pia kina ulinz mkali
 
Kuna mtu naona hataki kuonekana mnyama kwa kutumia nuclear systems zake, ila akikosea tu hasira zimzidi atoe, basi hapabaki mtu upande wa pili, itakuwa Syria nyingine kusipofanywa ceasefire hapo! Siombi yawe hivyo hata siku moja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atumie nuclear kwenye ardhi ya Palestina ambayo wao pia wanaikalia kwa mabavu? Kama jamaa anamtoa kamasi hivyo je Hizbullah atamuweza?
 
Wazungu hawa waliwauwa sana, waliwapiga sumu wafe wamalizike kwa bahati wakabaki wacheche kila nchi ilikua inawakataa so waliobakia ndio wakachukuliwa wakapelekwa kwenye ardhi ya Palestina na kupewa silaha, yaani ni kama kikundi kimepewa silaha ndio wakaanza kupora maeneo kwa huku kukiwa na support ya wakubwa zake Us na uk, Yaani walitawanyika na unapowakaribisha kwenye nchi yako wamejaa ufisadi
Mwezi uliopita niliona jamaa wanasema ni wawekezaji kutoka Israel wanataka kuja kuwekeza katika ufugaji wa kisasa wa Ng'ombe wa maziwa na nyama kama sikosei - wanasema wamezunguka Tanzania nzima lakini eneo lililo wavutia kuwekeza ni Mkoa wa Kagera!! Sasa sijui wanataka wapewe maeneo yaliyo kuwa runch ya Taifa,je, kiwanda cha maziwa ambacho Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi huko Karagwe ndio basi tena, je, wafugaji mmoja mmoja watanufahika vipi na ujio wa Waisrael au yatarudi yale yale kama wanavyo wanyanyasa Wapalestina, kupora aridhi yao na kuwaondoa kinguvu wapalestina kwenye nyumba zao - binafsi siwa amini Wayahudi hata siku moja, uwezi juwa long term plan yao ni nini katika eneo la maziwa makuu - wako karibu sana na Rais Kagame - zahama za wapakestina zisije kujirudia hapa kwetu - my opinion.
 
[emoji23][emoji23][emoji14]wayahudi hawana ujamaa kabisa
usishangae baadae wakasema Tz ndiyo nchi yao ya ahadi
 
Watu wanaoshabikia sana hii vita ya Hammas dhidi ya Israel,lakini ukweli ni kwamba,Sio Hammas wala IDF atakayepoteza baada ya vita hii bali ni wananchi wa Palestina. Kwanini? Angalia sababu hizi:

1.Kwani baada ya Vita Hammas hapotezi chochote? Ni kwamba,Hammas ambao majengo yao rasmi pale Gazza hayajulikani wao kazi yao ni kuvurumisha makombora kuelekea Israel tu,Makombora baadhi hutunguliwa na mifumo ya Ulinzi ya Israel,Mengine huangukia Maeneo ya Wazi na Machache huweza Ku-HIT Target na kusababisha Madhara kwa Wananchi wa Israel. Baada ya kurusha Makombora Hammas hujificha na hivyo kuwa vigumu kwa Israel kujua walipo.

2.Kwanini Israel Haipotezi baada ya Vita? Ukweli ni kwamba,vita nyingi kati ya Israel na Hammas husababishwa na POLITICAL TENSION huko Israel. Netanyahu amekalia kuti Kavu huko Israel,kupunguza TENSION ya kisiasa huko Nyumbani,huamua kuzusha Msala wowote ule wa Kivita dhidi ya Hammas. Mfano,yaani vita hii imetokana na Mpango wa Israel kuondoa Makazi 6 ya Wapalestina yaliyobaki huko Jerusalem Mashariki kitu ambacho hakina Mantiki kabisa.

3. Kwanini raia wa Palestina ndio wanaopoteza mwisho wa Vita hii? Kwasababu,Baada ya Hammas kushambulia Israel kwa Makombora na kujificha kusiko julikana na hivyo kumpa ugumu Israel jinsi ya Kutarget kambi za Hammas. Kwa kuona hilo,Israel hana Chaguo zaidi ya kutuma Makombora ya ndege na Drones kwenye Majengo yenye rais wa Palestina na kutangaza kwamba amelipua kambi za Hammas ili kuwaridhisha raia wa Israel waone kwamba serikali yao iko inalipa kwa kile kilichofanywa na Hammas. Mwisho wa Siku raia wengi wa Palestina hufa,wengine kuachwa Vilema na wengine bila Makazi.

Mfano Mzuri ni hili ghorofa ambalo limeangushwa na Israel huko Gazza katika harakati za kujibu mashambulizi ya Hammas. Wapalestina wengi hapo mwisho wa vita wataachwa bila Makazi huku raia wa Israel waliobomolewa paa zao na Makombora ya Hammas wakijengewa Nyumba nzuri zaidi kabisa.
JamiiForums1176076332.jpg
 
Mkuu karibu nyumba zote nchini Israel kuna mahandaki yamejengwa mahususi kujikinga dhidi ya makombora. Raia wakisha sikia vingora wanakimbilia kwenye mahandaki.
Handaki linazuia kombora?????
 
Sipendi kinachoendelea lakini Israel ana msimamo sana. Akisema watalipa gharama anafanya kweli. Nilihisi hatafanya kitu lakini kwa yanayoendelea hadi naogopa.
Ina maana Palestina hana msimamo kwa anachofanyiwa???
 
Eneo LA ukanda wa Gaza ni eneo lililofungwa hakiingii kitu wala MTU mpaka Israel iridhie na na hata upande wa baharin kuna umbali ambao ndio mwisho wa kwenda ukizid chombo kinazamishwa na ndio maana hawa jamaa hawapat silaha kutoka kwa wale wanaowasapot kule zinapelekwa fomla wanadizain wenyewe kienyej
Aiseeee ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili
 
Kwani hawana pesa ya kununulia silaha kubwa???
Watoe wapi? Kama kuna nchi zinashindwa kununua silaha za wanajeshi mpya, itakuwa hivyo vikundi. Labda wasaidiwe na sijui ni nani huyo ataanza kumpa. Vita ni ghali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atumie nuclear kwenye ardhi ya Palestina ambayo wao pia wanaikalia kwa mabavu? Kama jamaa anamtoa kamasi hivyo je Hizbullah atamuweza?
Israel ni nchi ndogo lakini sio ya kitoto. Wako radhi walaumiwe ila walinde nchi na wananchi wao. Pia kwenye vita both parties lazma kuwe na loss, ndivyo ilivyo, lakini atakaye enda loss kubwa ni nani? Inaonekana tayari! Mfano nchi ndogo iwe na silaha za kisasa nyingi na nchi nyingine kubwa haina silaha kubwa ila ina wapiganaji wengi, unaona hiyo hesabu vita vikianza kati yao.
 
Back
Top Bottom