Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Utapaona wapi na wewe ni mwenye kukufuru.

Haki na dhulma ni vitu viwili tofauti na vinaweza kuthibitishwa

Kama ni kweli kuna mahali kuna haki ungeniambia nami nikajionea
Wewe kutokujibu ni ishara ya kujistukia na hujiamini
Kama unajiamini niambie huko kwenye haki ni wapi

Halafu kukufuru ni kitu gani?
 
Nadhani mamko ndie Kimwari nielekeze nije nimpose.... hayo mambo ya Rusha roho wayafanyao ni Waswahili ambao wengi ni Waislam mbona tunawaoneni mitaani ukitufungia barabara.... Nadhani kwa hii post yako utakuwa umewaudhi wenzako au pengine na wewe si Muislam sema unajifanya Muislam ili kuwakosha hao Wajinga wa Fikra.... Hayo mambo yenu ya Kubeli ndio kilevi kikubwa cha Ritz na Kungu ndio kipenda roho cha Faizafoxy ushawaudhi watakustukia soon kuwa wewe sio mwenzao
 
Dah, wanajamii huu kama si upunguani ni nini?

Anaandika kuwa "sijasoma kitabu chako" halafu anaandika "hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako".

Nyie huwa mnamatatizo makubwa sana ya kuelewa mambo
Umekikata kijisehemu na kujidai kujenga hoja kama vile mnavyotumia vitabu vya dini nyingine kuzikosoa dini hizo

Huna kipya wewe na kama unajua na unaamini kuwa ulichokiweka ni sahihi weka post nzima hapa ili kila mtu aone utumbo wako huo

Na kwa aibu kubwa wenzako wamekichukua na kukishabikia kwa nguvu zote bila hata tone la aibu

Mnasikitisha!

Au kwako huu mstari wa mwanzo hukuusoma au hujui hata kusoma?
Mzee hebu tuassume kuwa sijasoma kitabu chako
Halafu ninakuuliza maswali ambayo wewe ndie mwenye kitabu na hayo maswali ninayokuuliza majibu yake unayo na pia yapo kwenye kitabu chako

Hapo nilipo bold ndipo palikutoa akili kabisa na ukajifanya kutokupaona

Lakini sishangai kwani nyie ni mabingwa wa kudanganya
Ndivyo mlivyo lelewa!
 

Mudeer Muhammad Saeed
Assalaamu alaykum warahmatullaah,
Napenda kuchukua fursa hii kukutaka tadhi kama alivyonena swaahib gombesugu kuendelea kutugeiya haki ya alichokujaaliwa M/Mungu,
Mudeer MS nakukumbusha kupitia Suurat Huud aya ya 120 naomba kwa ihsaani yako niifasiri hapa,
Nayo yasema hivi : - Na yote tunayo kusimulia katika khabari za Mitume ni ya kukupa nguvu moyo wako.
Na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa Waumini.

Kutoka na aya hiyo Al-Mudeer Muhammad Saeed naomba tena utuendeleze katika yale tuna kuhitajia,

Naamini sijakamilika huenda pana pahala nimekukwaza nami ni kijana na kijana akikosea Mzazi himueka sawa, malezi yako juu yetu vijana wako naamini unaamini umetulea uzuri,

Shukran llaka.
 

Kila ukimwaga mapovu. Na mimi nawafundisha wagalatia wenzako ukiwemo na wewe!

Unasema Yesu alisema yeye ni Mwana wa Mungu na hio sio siri!
Kwani wewe ulidhani Yesu ni mwana wa Mungu peke yake??

Hebu pata raha hapa kidogo:-

Zaburi 2:7), daudi ni mwana wa mungu.

mambo ya Nyakati wa Kwanza 22:10 Nabii Suileman (Solomon) ni mwana wa mungu, na Nabii Adam ameitwa mwana wa Mungu katika Luka 3:38 katika agano jipya.

Katika hotuba ya YESU maarufu kule Mlimani ambayo imeelezewa kwa urefu katika Mathayo 5, Yesu anawaambia wasikilizaji wake:"Heri yao wapatanishi kwa maana wataitwa WANA WA MUNGU". (Mathayo 5:9)

sasa unaona hapo!.kumbe hata wewe @mlajana ni mwana wa mungu! Na yule mbakaji wa kanisa la kkkkkkt la kanda ya kasi mashariki ya pembeni pia ni mwana wa mungu!
Sasa nipe andiko linalosema "mimi yesu ni Mungu niabuduni"
Mnadandia vitu msivyokuwa na elimu navyo! Mtakuja tiwa sunnah bila ganzi!
 
Teh teh teh teh!

Ukhti FaizaFoxy wallahi umenivunja mbavu hapa!

Basi hayo ndio matunda ya ugalatia!

Huyo baba upako Eiyer anaandika kama kaazima ubongo kwa jirani!
Teh teh teh teh!
Lahaula wala kuwwata !!

Na wewe bila hata kuwa muungwana na kumuambia huyo mwenzako kuwa anadhihirisha kuwa ni punguani unacheka cheka tu hovyo

Huoni kama manjitia aibu?
 

Haya ndio matatizo ya kukariri bila tafakuri!
 
Mkuu Umeniacha hoi baada ya kuku uliza kuhusu NSSF umetetea mpaka povu linataka kukutoka wewe ulikuwa unaleta statics za waislam na wakristo kwenye sehemu mbali mbali mimi nimeuliza tu tena kiswali kidogo umehamaki nadhani ningekuwa karibu ungenimeza... muahahahahaha hayo yote yamekuja vipi kuwa tuna chuki mara chadema mara wakristo.... bull shait... hebu kuweni na akili japo ndogo tu wakati mnajibu maswali ndio maana huwa mnafeli sana.... Cha muhimu katika maswala ya kuwa na kazi za maana kwenye mashirika au serikalini ni Elimu so unaweza ukaweka list ya wasomi wa Kikristo na Wasomi wa Kiislam haya mambo si ya kufanyia kiupendeleo ndio maana Nyerere alisakamwa na anaendelea kusakamwa na Waislam hadi leo hii.... au mnadhania kuogoza Mashirika ni kama Klabu zenu za Simba na Yanga? unaweza kuwa kiongozi hata kama hujasoma! Elimu ya Madrasa tu inatosha...!

Waislam mnachotakiwa mjibu maswali mliyoulizwa muache kutapatapa na Mipasho kama kiongozi wenu
 

Eiyer,
Huenda mie sikukuelewa.

Mimi nilidhani wewe ni mtu hujui sasa unauliza ili upate kujua.
Ndiyo sababu nikakuelekeza ukasome kitabu.

Ingekuwa umesoma kitabu usingeniuliza vipi Nyerere aliingia katika ule mkole
wakati ulikuwa haumuhusu ndewe wala sikio.

Lakini sasa ndiyo natambua kuwa wewe uko hapa kutaka kubishana.
Ikiwa kubishana samahani mimi si mtu wa hivyo.

Niko hapa kueleza kile ambacho hakikuwa kinajulikana.
Unaweza kuniita majina uyapendayo.

Hapana neno.
Hayo ni ya kawaida hapa jamvini.

Hilo la kusoma au kutosoma kitabu changu kwa hapa kitabu kilipofika kwa hakika
si kitu muhimu sana kwangu.

Uamuzi ni wako.
Ni sawa na sheria za afya.

Ukijiweka msafi hutopata maradhi.
Ukijiachia uwe mchafu kitakachokupata unakifahamu.

Ukisoma kitabu changu utaongeza elimu na kujuwa kwako hata kama hukubaliani
na yale niliyoandika.

Sasa usome au usisome kitabu changu kwangu mimi yote ni mamoja.

Nataka nikupe mfano mdogo sana.

Kuna mtu alipata mshtuko wa moyo kusikia kuwa nimesema Abdu Sykes alizungumza
na Chief Kidaha kuhusu kuunda TANU 1950.

Huyu bwana yeye akiamini kuwa TANU alikujanayo Nyerere 1954.

Mimi jibu langu kwake lilikuwa huenda Nyerere hakuwa anajua kuwa Abdu na Chief Kidaha
walikuwa wakishauriana kuhusu TANU kuanzia 1950 hadi 1953.

Huyu ndugu yangu alipomaliza kusoma kitabu changu alinitafuta...
Alinipongeza.

Eiyer,
Uamuzi ni wako.
Wewe ni mtu huru una hakl ya kuamini ukipendacho.
 


We lazima utetee vimini!
Si mzee wa chabo! Teh teh teh teh! Wakati unahubiri macho yote yako chini!

Halafu kibaya zaidi juu ya mifazaiko mliyonayo! Eti mnamuiga yesu kuto kuoa!
Menzenu kwanza alikuwa nabii! Halafu aliondoka duniani akiwa kijana mdogo sana!
Sasa weww mzee wa chabo Eiyer una umri mkubwa kuliko Yesu halafu mke huna! Kama sio kutafuta kesi ya kumtafuna mwanakondoo kule nyuma ya madhabahu ni nini!?
Mnadanganyana kuwa matanio ya mwili mtayashinda kwa damu ya yesu!
Halafu mkinywa hio damu ya yesu (a.k.a. dodoma wine) ndio mnabaka hadharani kabisaa!
Teh teh teh teh!
Damu ya bwana my foot!
 
Last edited by a moderator:
Huko kwenye haki ni wapi?

Mnaakasha ulotuletea haya tuendelea nayo,

Endelea kujitoa fahamu tu! Ila nijuavyo mimi kuelewa pole pole yaruhusiwa, sasa slow leaner kama wewe twajua vipi tukupeleke hadi ufike, kutoroka itakuwa kazi kwako,

Kwasababu you can take a donkey to the river but you can't force it to drink,

Twendelee na maswali ila tukumbuke Tito 3 mtari wa 9

Lakini maswali ya upuuzi ujiepushe nayo, na nasaba na magomvi na mashindano na Sheria kwa kuwa hayana faida tena hayana maana kwako,

Sasa pale ambapo huenapo tumekaa kimya tunatumia pia kifungu hicho,
Usijitie hamnazo ukiitaji kitu tumia heshma.
 

Sina cha kumeza cha mmarekani.... hali halisi ndio ilivyo wataka nimeze kutoka kwako? woi...! nimejijibu mwenyewe kivipi? mbona mecca vurugu ni nyingi sana tu au huna access ya kuona mambo ya mecca nikuwekee? mecca ni sehemu ya vurugu tokea mtume wenu alipokuwepo na ndie alikuwa kinara na hili halipingiki kwani alikuwa akisema kwa jina la allah ambae si Mungu... kwani alishawahi kili.... na nyie mwafahamu na kila siku mnamuombea na kumswalia wakati yeye hakuwahi waswalia... hahahaha...

Joseph Kony anafanya kama uhalifu kama alioufanya mtume wenu kuua na kubaka Sheikh yeyote anafahamu haya...

Acha kabisa kusema propaganda zilizopitwa na wakati na kama ndio hivyo hivyo vitabu vya dini ndio vimepitwa na wakati kabisa ungesema kwanza
 

Najibu kwa niaba hapa:
Kukufuru ni kusema yafuatayo-
Mungu ni mzungu!
Mungu ni mmoja kwa watatu!
Mungu alikula na akaenda choo!
Mungu aliwapa vyeo mapadri na wachungwaji KUWEZA KUSAMEHE DHAMBI!

Mungu alivishwa nepi akasulubiwa!

Halafu wacha nyie mnampa cheo cah uungu YESU tu,
bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi.-!!

Kama Biblia inavyosema kwamba:
A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).

B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1)

SASA ASEMAYO NA KUYAAMINI NILOTAJA HAPO JUU,

HUYO NI KAFIRI!
 
Kiboko au Nguchiro?

Kiboko nimemaanisha Fimbo ya kuwachapia nyie.... hapo umeonesha hasira zako tu ndio ukasema Nguchiro na umemfurahisha FaizaFoxy Hamna la kesemeshana na mimi nyie nyote jikusanyeni hata Mje na Masheikh wenu
 
Last edited by a moderator:

We kikojozi, toka umeanza kumwaga hayo mapovu yako ya kunuka! Hatujaona USHAHIDI HATA KIDUCHU WA KITU CHOCHOTE UNACHO ANDIKA!
Niemkwambia hapa sio kwenye rusha roho!
Kama umelewa damu ya bwana. Nakushauri ukakojoe ulale ( manake unaweza kujikojolea)!!
Pumba za namna hii peleka kule kwenye hayo maparokia ambayo huruhusiwi kuuliza maswali!
Hapa umegonga ukuta
 
Sykes hakuwa Muislam alipoingia Tanganyika kutoka South Africa... ni Sawa tu na Muhammed Ali
 
Unachekesha kweli wewe sindiyo bingwa wa kukata vipande vya maandishi na kuvitolea majibu ya chekechea, wengine wakikata vipande vyako hautaki.

Teh teh teh.
 

Tia adabu kwa Wastaarabu,
Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo,

Si ruhusa lakini waonekana umekaa kimaropoko ropoko,
Jihishimu watu wapate faida hapa jamvini ama umetumwa?!

Matusi twayaweza sana ziada ya utufikiriavyo,

Alokupa haluli akutafutie choo.

Kwani wewe ninyi bila matusi hamna maulizo?
 

Sasa unapokataa kuwa Minara ya Babeli haikuwahi fika Mbinguni then unacheka ndio maana kwenye koran kuna Aya za Ushetani hahahaha na Allah ndio kubwa lao....... Safi hiyo
 
Adabu ndio unaniambia mimi peke yangu wewe shwaini nini kesi haiamuliwi kwa upande mmoja au hukuona alichoandika huyo mjinga... kwa kunitusi kuwa kimwari ? kaa pembeni kama unakereka na sio kutoa hukumu kizembe... mimi nikiitwa Kimwari ndio wewe unapata Faida? Jiheshimu na wewe kwanza... na umwambie huyo ili na mimi nitulie... Tusiwe kama Viongozi wanaotoa matangazo ya Amani redioni wakati haki hakuna.... nini wanachofanya? Haki ndio Msingi wa Amani.... kaa Pembeni Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…