kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Maulana Dr Kahtaan,
Salaam,nami pia hufurahika mno kila nikusomapo bayana zako mubashar...chembilecho cha Shariff Ritz;"mipini ya nguvu"! Kwi! Kwi! Kwi,
Inanilazim nitoke kiduchu,maana wanao wametamani Ice cream kiduchu...maana leo hapa pana kijua uchwara kimechoza! Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
Teh teh teh teh!
Kila la kheri ndugu yangu!
Sallim alaa ikhwani wal awlad!