Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Maulana Dr Kahtaan,

Salaam,nami pia hufurahika mno kila nikusomapo bayana zako mubashar...chembilecho cha Shariff Ritz;"mipini ya nguvu"! Kwi! Kwi! Kwi,

Inanilazim nitoke kiduchu,maana wanao wametamani Ice cream kiduchu...maana leo hapa pana kijua uchwara kimechoza! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Teh teh teh teh!

Kila la kheri ndugu yangu!
Sallim alaa ikhwani wal awlad!
 
Sasa hapo unamtukana mama'ke Yesu bi Mariam, maana sijamuona bila ushungi katika masanamu na mapicha mnayojidai ni yake. Pata darsa kidogo hapa:
Matusi utakuwa umetukana wewe... hayo masanamu unayosema wewe mimi huwa siyaamini usifikiri kila mpenda Yesu ni Mkatoliki... mimi ni tofauti kabisa Msabato hutuweki sanamu wala mfano wa aina hiyo... so hilo Darsa lako kampe Pengo...

Nafahamu Nywele ni Fahari ya Mume kwani ndie anayepaswa kuziona Nywele za Mkewe ila nyie kwenu Tanzania mpo tofauti sometimes mmevaa sometimes hamvai wakati mwingine sio kuvaa hata wakati wa joto kali kwani ki afya sidhani kama ni sawa... Nimetizama picha za huko kwa wenye dini yao sio wote wanaovaa ambao ni muslim pia
 
kama viongozi wako wanaokuongoza wanasifa hizi si ajabu kwako kupost pumba

Isaiah 56:10-12

His watchmen are blind, 10
They are all ignorant;
They are all dumb dogs,
They cannot bark;
Sleeping, lying down, loving to slumber.
Yes, they are greedy dogs 11
Which never have enough.
And they are shepherds
Who cannot understand;
They all look to their own way,
Every one for his own gain,
From his own territory.
“Come,” one says, “I will bring wine, 12
And we will fill ourselves with intoxicating
drink;
Tomorrow will be as today,
And much more abundant.”.

Kwa mtu mjinga anaweza kusoma koran sehemu iliyoandikwa Sheitwan basi anaweza kufanya ubishi na kutangazia koran ni ya Shetani? soma vizuri hayo maneno alikuwa anaambiwa nani au weka kitabu chote wna wengine waone upumbavu wako.... and pia utafsiri kwa kiswahili na wengine waelewe....
 
Matusi utakuwa umetukana wewe... hayo masanamu unayosema wewe mimi huwa siyaamini usifikiri kila mpenda Yesu ni Mkatoliki... mimi ni tofauti kabisa Msabato hutuweki sanamu wala mfano wa aina hiyo... so hilo Darsa lako kampe Pengo...

Nafahamu Nywele ni Fahari ya Mume kwani ndie anayepaswa kuziona Nywele za Mkewe ila nyie kwenu Tanzania mpo tofauti sometimes mmevaa sometimes hamvai wakati mwingine sio kuvaa hata wakati wa joto kali kwani ki afya sidhani kama ni sawa... Nimetizama picha za huko kwa wenye dini yao sio wote wanaovaa ambao ni muslim pia

Nakupongeza kwa kuto kuabudu masanamu na kumuona kadinali Pengo kuwa hana lolote zaidi ya Ibada potofu!
Je! Ule msalaba mnao ndani ya hayo makanisa yenu mazuri yasio na sanamu?
Na je! Mnakubali kuwa Mungu alipigwa na alio waumba mpaka akuwawa msalabani!?
Nasubiri unipe elimu kidogo hapa!
Manake wewe huenda ikawa ni ndugu yangu lkn wa baba mwingine!
 
Teh teh teh teh!
We huna habari kuwa huyo mungu unaemuabudu ni mzungu!
Halafu alishapjgwa mpaka akuawa!
Na ulivyokuwa una akili nyingi unaenda dukani kununua picha ya mzungu kavaa nepi kuuuubwa halafu unaipigia goti ukaibusu kila siku!
Huyo ndie unasema aliye mbinguni yuko hai!?
Teh teh teh teh teh!
Mi.mbona nilikutana nae hapa Los Angeles!?

Whatch this! You goner love it;-

Watch "JESUS RETURNS (Official sequel to Jesus Will Survive)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=u6B1D0oyBK8&feature=youtube_gdata_player

Mkuu kwa maneno yako kama hayo mwenzio nilishamjibu nikala Ban kama sisi wasema tunasujudu na nyie mnabong'oa most of the time nikipita karibu na msikiti huwa nasikia vishuzi... by the way mimi si muabudu sanamu umenoa mimi ni Msabato usiwaudhi Katoliki kwa majibu yasiyonihusu...

Sijui nikuwekee picha za ile movie ya Muhammad maana inaonekana akili za Muslim zinamini movie sana ndio maana huwa mnaleta machafuko zikitoka movie zinazohusu udanganyifu wa Muslim...

''Mods naomba nisipewe Ban ni bora Post zifutwe tu huyu Jamaa kasababisha nimjubu hivyo''
 
Kamuulize baba nyumba eti Dossa Aziz alikuwa nani kwenye TANU halafu muulize eti Mwalimu Nyerere alikuwa na asili ya Burundi (Mtusi) sawa kisha rudi JF tujadiliane.

Mimi nimuulize ili iweje nyie walalamikaji maisha yote... Pindueni basi nchi tujue kuwa ndio wenye Nchi... Kama Nyerere alikuwa ana asili ya Burundi basi elewa kuwa Burundi na Rwanda zilikuwa ni eneo moja na Tanganyika au uje uulize nini maana ya German east africa... unataka kuleta ushindani usiohitajika.... hata wa Rwanda wameshamnanga Kikwete na mkewe kuwa si Watanzania nini iwe huyo Dossa mwenye jina la Chakula cha baniani.... TANU kwanza ilishakufa kitambo na kabla ya TANU kulikuwa na vyama vingine kama TAA na wapigania uhuru hata Arusha walikuwepo kuna Meru ilitaka kujitawala.... Wewe ndie ulete habari ya huyo Dossa alifanya nini? yawezekana hata English alikuwa hajui... Kama sio juhudi zake Nyerere na Uhuru tungepata wapi.....kama sio
 
Kwa mtu mjinga anaweza kusoma koran sehemu iliyoandikwa Sheitwan basi anaweza kufanya ubishi na kutangazia koran ni ya Shetani? soma vizuri hayo maneno alikuwa anaambiwa nani au weka kitabu chote wna wengine waone upumbavu wako.... and pia utafsiri kwa kiswahili na wengine waelewe....

DOT QUOTE ME OUT OF CONTEXT

mpumavuu ni yule anayeamini kitu asichokijua.ukristo huujui.

wanaotajwa hapo ni wachungaji

umeshindwa kusema ni wakina nani mpaka muislam akwambie ha ha ha ha ha ha ha
 
DOT QUOTE ME OUT OF CONTEXT

mpumavuu ni yule anayeamini kitu asichokijua.ukristo huujui.

wanaotajwa hapo ni wachungaji

umeshindwa kusema ni wakina nani mpaka muislam akwambie ha ha ha ha ha ha ha
Wewe ni Muslim? ila kwa kuucheka cheka takuwa Muslim kweli maana mu wazuzu sana
 
Wewe ni Muslim? ila kwa kuucheka cheka takuwa Muslim kweli maana mu wazuzu sana

ha ha ha ha ha not all signs posted on the wall reflect real actions benind the screen.

Symbolism

&=and
%=percentage
ha ha ha =very Happy doest mean mouth is scattered

we kalagabao ulisoma wapi,na wasiwasi na elimu yako.mpaka na haya ni kufundishe.

[COLOR=#COCOCO]UKRISTO KAMWE HUTOUJUA[/COLOR]
 
Katika Uislamu wako huna unachokiamini zaidi ya Kumswalie Mtume wenu wakati yeye hakuwahi kuwaswalia... na mtu anayeswaliwa si mkamilifu... hivyo jamaa yenu aliyekuwa amefanya kila jambo ovu nanyi mnamfuata mjue mmepotea Yesu yupo sahihi hata Muhammad alishawahi kili
 
Al akhy polite huyu mtu achana nae mwenyezi mungu anasema ukimuona mtu anabishana na wewe mambo ya dini halafu anatukana achana nae mwisho mtaingia kwenye kufru
 
Huwa unaandika pumba nyingi ili kuficha mchele ulio enguliwa.

Inawezekana wewe ni mtu ambae ili mradi ubishe kwa kuwa inakuuma kuona "kundi fulani" lina historia. Hilo "kundi fulani" kwanini kinakushinda kusema ni Waislaam? usiogope.

Tazama hizi historia za Mataifa makubwa, hawaogopi kuziandika na kuzisoma historia za "kundi fulani", kulikoni leo kwako iwe mwao kwa Tanganyika aka Tanzania tu?

1) Islam in America

2) BBC - Religions - Islam: History of Islam in the UK

3) Muslims in China - History of Islam in China

5) History of Islam in Russia | IslamDag.info

6) France and Islam from 732 AD to the 21 Century

7) History of Islam in Kenya

8) Islam in Ghana | Islam Story - Supervised by Dr. Ragheb Elsergany

9) How Islam Spread in India | Lost Islamic History

10) ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA

Huna pakukwepa Historia ya Uislaam kokote uendapo, nakuona wa ajabu sana ikiwa roho inakuuma inapoandikwa historia ya Uislaam na Waislaam wa Tanganyika /Tanzania.

Sijui kwanini roho ikuume kiasi hicho. Au unaumia zaidi unaposoma kuwa Nyerere alikuta watu tayari wako kwenye harakati na hata jina la TANU hakutunga yeye na lilikuwepo kabla ya ujio wake Dar?

Dada Faiza Sukran sana kwa bandiko lako hili murua,

Ndug yangu nguvuriv3,ile hoja yetu ya nyerere na uasisi wake wa bakwata ni chanzo cha haya yote tunayoyaona kwa sasa ndan ya taifa letu nakuomba tuendelee nayo kwa kuanzia hapa tafwadhali,hata kama ukiamua kuja na rationalization kama ulivotaka mwenyewe hapo awali sawa tuh,haya changanjuga tusonge mbele insha allah,

Nakusubiri ndug yangu,njoo tuzungumze hapa tuijenge tanzania yetu kwa ukweli na uwazi,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa maneno yako kama hayo mwenzio nilishamjibu nikala Ban kama sisi wasema tunasujudu na nyie mnabong'oa most of the time nikipita karibu na msikiti huwa nasikia vishuzi... by the way mimi si muabudu sanamu umenoa mimi ni Msabato usiwaudhi Katoliki kwa majibu yasiyonihusu...

Sijui nikuwekee picha za ile movie ya Muhammad maana inaonekana akili za Muslim zinamini movie sana ndio maana huwa mnaleta machafuko zikitoka movie zinazohusu udanganyifu wa Muslim...

''Mods naomba nisipewe Ban ni bora Post zifutwe tu huyu Jamaa kasababisha nimjubu hivyo''

Teh teh teh teh!

Kijana usije kufa na pressure!
Matusi hayana maana wala nafasi ktk jukwaa hili!
Na kama unakosa adabu basi BAN ndio itakayo kufunza adabu!
Lkn hata mimi nakuombea usipigwe BAN!
manake utakosa kuelimishwa!!
 
Katika Uislamu wako huna unachokiamini zaidi ya Kumswalie Mtume wenu wakati yeye hakuwahi kuwaswalia... na mtu anayeswaliwa si mkamilifu... hivyo jamaa yenu aliyekuwa amefanya kila jambo ovu nanyi mnamfuata mjue mmepotea Yesu yupo sahihi hata Muhammad alishawahi kili

Kijana hebu nianze kuuliza hapa!

We unamfuata yesu kama Mungu sio?

Andiko linasema;-

Mara tu Yesu alipobatizwa" (Mathayo 3: 16). Aliyembatiza ni Yohane kama ilivyo katika msitari wa 15 katika kitabu hicho cha Mathayo.

"Yohane mbatizaji alitokea jangwani…Siku hizo, Yesu alitoka kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani" (Marko 1: 4 – 9).

"Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa" (Luka 3: 21).

Sasa hapa tunaona Mungu yesu anabatizwa.
Na wewe pia umebatizwa sio?
We unaenda choo na mungu yesu anaenda choo!

Nini tofauti yenu??
 
**Mkuu chabusoUmenifanya niende LIBRARY na kutafuta habari za Historia hii;

Written by Mohamed Said;

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

What is saddening about the history of Tanganyika’s struggle for independence is the fact that, more than four decades after achieving freedom, that important period of the people’s resistance to foreign domination has yet to be written about.

The few attempts made so far to write that history have focused on hero worship and idolising Nyerere.

What we thus have is a one-sided official history full of distortions and even half-truths.

Meanwhile, vital documents and photographs of the times still remain in private hands and will soon be destroyed or lost for ever.

It is now 50 years since the Tanganyika African National Union made the historic decision in Tabora in 1958to take part in the first general election to the Legislative Council under extremely discriminatory conditions — an ultimately wise decision that came to be known as Uamuzi wa Busara.

In that election, seats were contested not only along racial lines but also saw the locking out of candidates who did not have a formal education or were not employed in a recognised profession.

But what incensed the people most was the condition that Africans would have to vote for a European, an Asian and an African. Mohamed Said’s new book tells the story of that election.

The conditions set by the colonial government seemed on the face of it unacceptable for Tanu.

The conference deliberations in Tabora, a small town in the then Western Province, threatened to split the party into two camps —moderates in favour of participating in the elections; and radicals calling for a total boycott.

But Tanu and indeed Nyerere survived an internal crisis that swiftly took on religious and racial undertones.

Radicals like Sheikh Suleiman Takadir, chairman of the Tanu Elders, and Zuberi Mtemvu, then Tanu organising secretary, were all set to stage a coup against Nyerere and take over the party.

And they would have succeeded were it not for the ingenuity of Mwalimu and a group of Tanu members from Tanga handpicked by Nyerere to confront the onslaught.

There are no existing records to give us an insight into Nyerere’s own position on the tripartite voting nor is there any indication that he even discussed the issue at the headquarters privately with Sheikh Takadir and Mtemvu, or close associates Idd Faiz, Haidar Mwinyimvua, Dossa Aziz, Bibi Titi Mohamed and the Tanu propagandist Ramadhani Mashado Plantan, owner of the radical paper Zuhra – Nyererere’s mouthpiece. Indeed, it would seem Nyerere played his cards close to his chest right up to the voting.

So, what was Nyerere’s strategy — the one he never revealed even privately in later life?

The book attempts to solve this mystery through interviews with Tanu veterans, fleshing out a picture of Nyerere “riding” the wave of opposition within Tanu and neutralising radicals like Mtemvu and Sheikh Takadir.

That was the first test of his capabilities as a leader of a mass party and the young Nyerere passed with flying colours.

The writer takes the reader through a labyrinth of intrigues, plots and counter plots that eventually led to Tanu and Nyerere triumphing in the tripartite voting over the Tanganyika United Party — a political grouping dominated by whites that had been cobbled together by the government to counter Tanu.

Nyerere’s opponents resigned from Tanu, with Zuberi Mtemvu forming the African National Congress and Ramadhani Mashado Plantan and a group of Muslims forming the All Muslim National Union of Tanganyika — raising the spectre of racial and religious conflict.

Mtemvu’s policy was Africa for Africans while Plantan’s group wanted assurances about the future of Muslims in free Tanganyika.

These long forgotten players in Tanganyika politics seem to live again in the pages of this book.

What Said brings out, though, is how Nyerere and Tanzania weathered this delicate passage thanks to the many Muslims patriots who remained committed to the original vision.

Said has moving stories to tell of patriotism and sacrifice.

There is the story of Tanu stalwart Mzee Mshume Kiyate, whose contribution as party financier and close friend of Nyerere’s family has never been acknowledged.

Kiyate was a prominent fishmonger at Kariakoo in Dar es Salaam when he met Nyerere in early 1950s; he was to become friend and mentor to the young leader.

Also forgotten are patriots like Said Chamwenyewe, who presented Tanu’s appeal to the United Nations Visiting Missions to the Mandate Territories when it visited Tanganyika in 1955.

Chamwenyewe had earlier mobilised the first Tanu members from Rufiji in 1954, visiting villages on a bicycle to campaign for Tanu, collecting funds from members and turning the money over to Tanu treasurer Idd Faiz Mafongo without asking anything for himself. Nothing is today known about the fate of these people.

The book contains a number of rare photographs collected from private hands.

There are pictures of a young Nyerere surrounded by Muslims townsmen in kanzu and other paraphernalia — people like Issa Nassir, Sheikh Haidar Mwinyimvua, Mwinjuma Mwinyikambi, Jumbe Tambaza, Sheikh Suleiman Takadir, Mshume Kiyate, Said Chamwenyewe and many others.

There is one touching photograph of Nyerere with Mzee Mshume Kiyate taken soon after the army mutiny of January 20, 1964, showing Mshume covering Mwalimu with a piece of cloth traditionally worn by people from the coast known as “kitambi” or “msuli

The gesture was a show of support by Tanu elders in the face of the mutiny that almost overthrew Nyerere’s government. Mzee Mshume died in the early 1970s, alone, poor and forgotten.

The book ventures into the uncharted terrain of Islam as an ideology of colonial resistance, depicting the central role of Muslims in the struggle against the British, a topic still considered a no-go zone in Tanzania.

The writer portrays Nyerere in a light unfamiliar even to his fervent admirers, narrates how during the tripartite voting campaigns the young leader participated in Islamic rituals specifically conducted to safeguard him and the movement against enemies.

Mohamed Said deserves kudos for documenting this important chapter in the history of nationalism in Tanganyika.

He puts meat on the skeleton of Tanu’s history in a book that, once you start reading, you will not put down until you get to the end.

Udini ni kitu kibaya saaana..!!Hawa wazee woote waliotajwa kwenye hicho Kitabu hawakuwa watanganyika?walidai uhuru kwasabaubu ya uislam wao au utanganyika wao?Kama kwa ajili ya uislam wao basi walikipata walichokitafuta nacho si kitu kingine bali kusahauliwa na historia ,kwasababu Tanganyika ni ya Watanganyika na si ya waislam.Na kama walipigania uhuru kwasababu ya utanganyika wao ni sikitiko kubwa kwa wao kutotajwa kwenye historia na hata kama wamgetajwa hakuna mantkiki yoyote kwa wao kutajwa kama waislam,wamgetajwa kama Watanganyika wengine waliopigania uhuru.
 
Typical copy and paste...it is not gonna help here though!

Before there was life on earth,there were molecules. A primordial soup.

At some point a few specialized molecules began replicating.

This self-replication,Scientists agree,kick-started a biochemical process that would lead to the first organisms.

But exactly how that happened!?...how those molecules began replicating has been one of "Science's" enduring mysteries!!

Hope you got da message Sir!?

Ahsanta.

Cc; Al Murid THE BIG SHOW
penye blue;
i'm not own those words, yes i copied and paste.
reasons
1. to ensure conformity and avoid any ambiguity which may alter the intended meaning
2. i normally don't paraphrase words which are overtly seen. Matter fact i believe ya'll aware of it... right??
follow
link: Abuja Declaration - Wikipedia, the free encyclopedia

penye red:
go through bing bang theory, i hope you'll' learn something new.
 
Kijana hebu nianze kuuliza hapa! We unamfuata yesu kama Mungu sio? Andiko linasema;-
Mara tu Yesu alipobatizwa" (Mathayo 3: 16). Aliyembatiza ni Yohane kama ilivyo katika msitari wa 15 katika kitabu hicho cha Mathayo.
"Yohane mbatizaji alitokea jangwani…Siku hizo, Yesu alitoka kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani" (Marko 1: 4 – 9).
"Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa" (Luka 3: 21). Sasa hapa tunaona Mungu yesu anabatizwa.
Na wewe pia umebatizwa sio?
We unaenda choo na mungu yesu anaenda choo! Nini tofauti yenu??
Duh Maulana Dr. kahtaan! mara nyingi tatizo si dini, ni watu na Sheikh Mohamed Said ni mojawapo, nanukuu;
As they strolled through Westgate Mall, guns strapped to their torsos, the attackers chatted on their cell phones while they sprayed bullets at terrified shoppers.

Ruthless and nonchalant, they randomly gunned down shoppers at the upscale mall in the Kenyan capital. At one point, they took turns to pray, removing shoes to perform the ritual washing in a room stacked with boxes. They bowed down in Islamic prayer, taking a break from incessant gunfire.
Jaribu kusoma tena uliyoyaandika...tatizo si Uislaam, tatizo ni wewe Maulana Dr. kahtaan! Tafakari...
 
Udini ni kitu kibaya saaana..!!Hawa wazee woote waliotajwa kwenye hicho Kitabu hawakuwa watanganyika?walidai uhuru kwasabaubu ya uislam wao au utanganyika wao?Kama kwa ajili ya uislam wao basi walikipata walichokitafuta nacho si kitu kingine bali kusahauliwa na historia ,kwasababu Tanganyika ni ya Watanganyika na si ya waislam.Na kama walipigania uhuru kwasababu ya utanganyika wao ni sikitiko kubwa kwa wao kutotajwa kwenye historia na hata kama wamgetajwa hakuna mantkiki yoyote kwa wao kutajwa kama waislam,wamgetajwa kama Watanganyika wengine waliopigania uhuru.

Donxxx,
Ingekuwa ni hivyo mambo yangekuwa mepesi sana.
Lakini ukweli ni mkubwa kuliko unavyodhania.

Ndiyo maana tupo hapa miezi nenda miezi rudi...

Wako wanaofurahi na historia ya kweli ya uhuru wa
Tanganyika na wapo wanaokereka.

Sababu ya kufurahi ni kuwa historia yao imeenziwa na
wale wenye kukereka ni kwa kuwa historia ya uhuru
iliwapita pembeni.

Hawakushiriki kama walivyoshiriki Waislam.

Ala kumbe ile kuambiwa ati Nyerere ndiye aliyeasisi TANU
si kweli vile!

Haya ndiyo matatizo yaliyopo.

Si rahisi hivyo useme kuwa waliikomboa nchi kama wazalendo
ukategemea kuwa utaachiwa na fikra hiyo.

Ukweli lazima usemwe.
 
Back
Top Bottom