Huyo unaye dai ni mtanganyika ni kiongozi mzuri kuliko wote mliokuwa nao ...hata hivyo aliye mkubwa ni nani si mzanzibari kwanini msifanye kitu ili kuvunja muungano ? Sasa tumejua kuwa nyinyi ni wanafiki tu ...namimi nawaambia hii ndiyo fursa yenu ya mwisho msipo itumia vizuri mtalia na kusaga meno na mtaikumbuka sana hii fursa mliyokuwa nayo sasa kwa kutokuitendea akili bali mnafanya unafiki usio na tija kwa zenjiMbona huku Zanzibar mumemuweka mtanganyika mwenzenu tena wa mkuranga
Kwani Mwinyi ni Mtanganyika? Tangu lini Yakhe.....mbona hizo habari hatuna mkuu?Mbona huku Zanzibar mumemuweka mtanganyika mwenzenu tena wa mkuranga
Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.kwani nyinyi matako....rais wa tz si mzanzibar mwenzenu kwanini mnatupigia kekele sisi wananchi wa kawaida...kwa sasa madai yenu yote yamekuwa upumbavu kwangu kwa sababu marais wote ni wazanzibar hata wakitaka kuvunja muungano wanaweza sijui mnasubiri nini kuvunja muungano au mnategemea mbara akiwa rais ndiyo atavunja muungano?
Tip tippu alikua chotara la kiarabu acha kuwatenganisha Waarabu na wazungu kwenye biashara ya utumwaMkuu field marshall1 , it's good ungeleta links, tukamsikia na sio hii hearsay uliyoleta. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Kuna ukweli kwenye hili, biashara ya utumwa ilikuwa na stages 3.
1. Wakamata watumwa, hawa hawakuwa Waarabu, hawa walikuwa wenyeji na machifu wetu, waliwakamata watu, miongoni mwao wahalifu na mateka, na kuwauzia Waarabu akina Tippu Tip ambao hao waliwanunua watumwa toka kwa wenyeji na kuwasafirisha mpaka soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko Kuu la Zanzibar.
2. Wachuuzi wa watumwa, hawa ndio Waarabu, waliwanunua Watumwa kwa wenyeji na kuwasafirisha hadi soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko kuu la Zanzibar.
3. Wanunuzi wakubwa wa watumwa, hawa pia sio Waarabu, ni Wahindi, Waarabu na Wazungu, waliokuja soko la Zanzibar na meli kubwa, kuwanunua watumwa na kwenda kuwauza masoko ya Europe, India na Arabia.
Hii sii kweli, Wenyeji halisi wa asili wa Zanzibar ni Wahadimu ambao asili yao ni huku bara, kiongozi wao aliitwa Mwinyi Mkuu. Wareno walivamia Zanzibar, hivyo Mwinyimkuu akaomba usaidizi wa Waarabu kuwapiga Wareno, baada ya kuwashinda Wareno, ndipo mwaka 1732 Sultan Seyyid Said, akahamishia makao makuu ya Sultanate yake from Oman to Zanzibar na kuvitwaa visiwa hivyo as if wameviokota, sijui walimfanya nini Mwinyimkuu, ila mwaka 1964 wajukuu wa Mwinyimkuu walilipiza kisasi na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
It's true, huwezi kutenganisha Zanzibar na Uislamu kwasababu ya Waarabu, baada ya Sultanate ya Oman kuhamia Zanzibar, Zanzibar iliyokuwa ni Islamic nation. Ni muungano wetu ndio umeifanya Zanzibar kuwa a secular state.
It's very true kuna watu wetu wakaichangamkia biashara hii akiwemo Tippu Tip, Baba Mwarabu na mama Mnyamwezi.QAaa
Anza na kutuletea huo ushahidi humu, tuna wataalamu wa kutosha wa ku ascertain criminal liabilities, tutashauri, na tuliwahi kushauri humu, kama tuhuma zozote zenye criminal liabilities, ukileta tuhuma humu lazima ulete ushahidi, ukileta tuhuma humu bila ushahidi, usitaje majina na kuchafua watu bure bila ushahidi. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
P
Wewe Bepari acha fujo, hakuna wa kuvunja muungano. Ni sisi hadi tupende, tukitaka tutawaachia, lakini hakuna justification ya kuwaachia. Ni sawa na Texas itake kujitenga na Marekani au Hawaii waseme hawataki muungano, Ninyi hamna ubavu wa kuvunja muungano, hata hivyo mmetula sana na kutuibia sana pesa zetu. Tunawalisha kama watoto wadogo, hamlimi chochote na pesa hamna ninyi mafukara. Tutaendelea kuwabeba beba hivyo ila mkileta za kuleta tutawaomba Somalia wapokee angalau wakimbizi millioni moja.....kutabaki wazi hapo. Aagh, nilikuwa natania tu, tunawapenda sana ninyi wazanzibari, yaani sura zenu zilivyo ni burudani tu, yaani midomo imechongoka (kama ya OMO) kwa ajili ya kuongea sana kama samaki.Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
Hapo kwenye midomo hahahhahWewe Bepari acha fujo, hakuna wa kuvunja muungano. Ni sisi hadi tupende, tukitaka tutawaachia, lakini hakuna justification ya kuwaachia. Ni sawa na Texas itake kujitenga na Marekani au Hawaii waseme hawataki muungano, Ninyi hamna ubavu wa kuvunja muungano, hata hivyo mmetula sana na kutuibia sana pesa zetu. Tunawalisha kama watoto wadogo, hamlimi chochote na pesa hamna ninyi mafukara. Tutaendelea kuwabeba beba hivyo ila mkileta za kuleta tutawaomba Somalia wapokee angalau wakimbizi millioni moja.....kutabaki wazi hapo. Aagh, nilikuwa natania tu, tunawapenda sana ninyi wazanzibari, yaani sura zenu zilivyo ni burudani tu, yaani midomo imechongoka (kama ya OMO) kwa ajili ya kuongea sana kama samaki.
Hii fursa kuja kuipata tena myb miaka 100 ijayo..waitumie vzr sana kama kuwa na taifa kamili wafanye hivyo mapema..wasije anza chokochoko badae.Huyo unaye dai ni mtanganyika ni kiongozi mzuri kuliko wote mliokuwa nao ...hata hivyo aliye mkubwa ni nani si mzanzibari kwanini msifanye kitu ili kuvunja muungano ? Sasa tumejua kuwa nyinyi ni wanafiki tu ...namimi nawaambia hii ndiyo fursa yenu ya mwisho msipo itumia vizuri mtalia na kusaga meno na mtaikumbuka sana hii fursa mliyokuwa nayo sasa kwa kutokuitendea akili bali mnafanya unafiki usio na tija kwa zenji
Psychopaths mmoja hivi..mabaki ya waarabu.Huyo Jussa ndo nani?
Nikwambie tu watu wakwanza watakao kupinga ni hao wazenji wenzako wanao lamba asali huku Tanganyika kupitia bunge na vyeo mbalimbali vya serikali...nani ataishi zenji kwa mishahara wa bofulo wengi wenu mmekimbilia bara waliobaki huko zenji ni vikongwe na wahafidhina kama wewe.Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
Nani alikuwa anamng'ata mwenzake?Huyu Jussa tunajua pia siri yake na Maalim Seif kuwa walikuwa wapenzi
Kwamba maalim alikuwa akiweka vitu vyake paleHuyu Jussa tunajua pia siri yake na Maalim Seif kuwa walikuwa wapenzi
Rais mwenye nguvu tz ni raisi wa tz na ni mzanzibar ...sasa kwanini muungano usivunjweZanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
Wasije sema atukuwaambiaHii fursa kuja kuipata tena myb miaka 100 ijayo..waitumie vzr sana kama kuwa na taifa kamili wafanye hivyo mapema..wasije anza chokochoko badae.
#MaendeleoHayanaChama
Wanalamba asali sasahivi wanakenua vijimeno tu..siku akikaa mtanganyika kwenye kiti cha enzi wakakosa kulamba asali ndio wataanza chokochoko zao za kero za muungano.Wasije sema atukuwaambia
Kilikuwa kitafunwa cha maalim.Huyo Jussa ndo nani?
Naam.Kwamba maalim alikuwa akiweka vitu vyake vya kibailojia pale
Nikwambie tu watu wakwanza watakao kupinga ni hao wazenji wenzako wanao lamba asali huku Tanganyika kupitia bunge na vyeo mbalimbali vya serikali...nani ataishi zenji kwa mishahara wa bofulo wengi wenu mmekimbilia bara waliobaki huko zenji ni vikongwe na wahafidhina kama wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Rais mwenye nguvu tz ni raisi wa tz na ni mzanzibar ...sasa kwanini muungano usivunjwe