Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Mbona huku Zanzibar mumemuweka mtanganyika mwenzenu tena wa mkuranga
Huyo unaye dai ni mtanganyika ni kiongozi mzuri kuliko wote mliokuwa nao ...hata hivyo aliye mkubwa ni nani si mzanzibari kwanini msifanye kitu ili kuvunja muungano ? Sasa tumejua kuwa nyinyi ni wanafiki tu ...namimi nawaambia hii ndiyo fursa yenu ya mwisho msipo itumia vizuri mtalia na kusaga meno na mtaikumbuka sana hii fursa mliyokuwa nayo sasa kwa kutokuitendea akili bali mnafanya unafiki usio na tija kwa zenji
 
kwani nyinyi matako....rais wa tz si mzanzibar mwenzenu kwanini mnatupigia kekele sisi wananchi wa kawaida...kwa sasa madai yenu yote yamekuwa upumbavu kwangu kwa sababu marais wote ni wazanzibar hata wakitaka kuvunja muungano wanaweza sijui mnasubiri nini kuvunja muungano au mnategemea mbara akiwa rais ndiyo atavunja muungano?
Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
 
Mkuu field marshall1 , it's good ungeleta links, tukamsikia na sio hii hearsay uliyoleta. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Kuna ukweli kwenye hili, biashara ya utumwa ilikuwa na stages 3.
1. Wakamata watumwa, hawa hawakuwa Waarabu, hawa walikuwa wenyeji na machifu wetu, waliwakamata watu, miongoni mwao wahalifu na mateka, na kuwauzia Waarabu akina Tippu Tip ambao hao waliwanunua watumwa toka kwa wenyeji na kuwasafirisha mpaka soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko Kuu la Zanzibar.
2. Wachuuzi wa watumwa, hawa ndio Waarabu, waliwanunua Watumwa kwa wenyeji na kuwasafirisha hadi soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko kuu la Zanzibar.
3. Wanunuzi wakubwa wa watumwa, hawa pia sio Waarabu, ni Wahindi, Waarabu na Wazungu, waliokuja soko la Zanzibar na meli kubwa, kuwanunua watumwa na kwenda kuwauza masoko ya Europe, India na Arabia.

Hii sii kweli, Wenyeji halisi wa asili wa Zanzibar ni Wahadimu ambao asili yao ni huku bara, kiongozi wao aliitwa Mwinyi Mkuu. Wareno walivamia Zanzibar, hivyo Mwinyimkuu akaomba usaidizi wa Waarabu kuwapiga Wareno, baada ya kuwashinda Wareno, ndipo mwaka 1732 Sultan Seyyid Said, akahamishia makao makuu ya Sultanate yake from Oman to Zanzibar na kuvitwaa visiwa hivyo as if wameviokota, sijui walimfanya nini Mwinyimkuu, ila mwaka 1964 wajukuu wa Mwinyimkuu walilipiza kisasi na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

It's true, huwezi kutenganisha Zanzibar na Uislamu kwasababu ya Waarabu, baada ya Sultanate ya Oman kuhamia Zanzibar, Zanzibar iliyokuwa ni Islamic nation. Ni muungano wetu ndio umeifanya Zanzibar kuwa a secular state.

It's very true kuna watu wetu wakaichangamkia biashara hii akiwemo Tippu Tip, Baba Mwarabu na mama Mnyamwezi.QAaa

Anza na kutuletea huo ushahidi humu, tuna wataalamu wa kutosha wa ku ascertain criminal liabilities, tutashauri, na tuliwahi kushauri humu, kama tuhuma zozote zenye criminal liabilities, ukileta tuhuma humu lazima ulete ushahidi, ukileta tuhuma humu bila ushahidi, usitaje majina na kuchafua watu bure bila ushahidi. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
P
Tip tippu alikua chotara la kiarabu acha kuwatenganisha Waarabu na wazungu kwenye biashara ya utumwa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
Wewe Bepari acha fujo, hakuna wa kuvunja muungano. Ni sisi hadi tupende, tukitaka tutawaachia, lakini hakuna justification ya kuwaachia. Ni sawa na Texas itake kujitenga na Marekani au Hawaii waseme hawataki muungano, Ninyi hamna ubavu wa kuvunja muungano, hata hivyo mmetula sana na kutuibia sana pesa zetu. Tunawalisha kama watoto wadogo, hamlimi chochote na pesa hamna ninyi mafukara. Tutaendelea kuwabeba beba hivyo ila mkileta za kuleta tutawaomba Somalia wapokee angalau wakimbizi millioni moja.....kutabaki wazi hapo. Aagh, nilikuwa natania tu, tunawapenda sana ninyi wazanzibari, yaani sura zenu zilivyo ni burudani tu, yaani midomo imechongoka (kama ya OMO) kwa ajili ya kuongea sana kama samaki.
 
Historia ilikosea sana kukomesha utumwa kabla watu wa aina mleta mada hawajatiwa utumwani
 
Wewe Bepari acha fujo, hakuna wa kuvunja muungano. Ni sisi hadi tupende, tukitaka tutawaachia, lakini hakuna justification ya kuwaachia. Ni sawa na Texas itake kujitenga na Marekani au Hawaii waseme hawataki muungano, Ninyi hamna ubavu wa kuvunja muungano, hata hivyo mmetula sana na kutuibia sana pesa zetu. Tunawalisha kama watoto wadogo, hamlimi chochote na pesa hamna ninyi mafukara. Tutaendelea kuwabeba beba hivyo ila mkileta za kuleta tutawaomba Somalia wapokee angalau wakimbizi millioni moja.....kutabaki wazi hapo. Aagh, nilikuwa natania tu, tunawapenda sana ninyi wazanzibari, yaani sura zenu zilivyo ni burudani tu, yaani midomo imechongoka (kama ya OMO) kwa ajili ya kuongea sana kama samaki.
Hapo kwenye midomo hahahhah
 
Huyo unaye dai ni mtanganyika ni kiongozi mzuri kuliko wote mliokuwa nao ...hata hivyo aliye mkubwa ni nani si mzanzibari kwanini msifanye kitu ili kuvunja muungano ? Sasa tumejua kuwa nyinyi ni wanafiki tu ...namimi nawaambia hii ndiyo fursa yenu ya mwisho msipo itumia vizuri mtalia na kusaga meno na mtaikumbuka sana hii fursa mliyokuwa nayo sasa kwa kutokuitendea akili bali mnafanya unafiki usio na tija kwa zenji
Hii fursa kuja kuipata tena myb miaka 100 ijayo..waitumie vzr sana kama kuwa na taifa kamili wafanye hivyo mapema..wasije anza chokochoko badae.

#MaendeleoHayanaChama
 
Zanzibar mmeweka kibaraka wenu Rais. Asingekuwepo ungevunjika. Ndiyo maana kila uchaguzi mko tayari kuua, kuwapa watu vilema, kunajisi watu ili mradi muendelee kuitawala Zanzibar.
Nikwambie tu watu wakwanza watakao kupinga ni hao wazenji wenzako wanao lamba asali huku Tanganyika kupitia bunge na vyeo mbalimbali vya serikali...nani ataishi zenji kwa mishahara wa bofulo wengi wenu mmekimbilia bara waliobaki huko zenji ni vikongwe na wahafidhina kama wewe.

Rais mwenye nguvu tz ni raisi wa tz na ni mzanzibar ...sasa kwanini muungano usivunjwe
 
Hii fursa kuja kuipata tena myb miaka 100 ijayo..waitumie vzr sana kama kuwa na taifa kamili wafanye hivyo mapema..wasije anza chokochoko badae.

#MaendeleoHayanaChama
Wasije sema atukuwaambia
 
Wasije sema atukuwaambia
Wanalamba asali sasahivi wanakenua vijimeno tu..siku akikaa mtanganyika kwenye kiti cha enzi wakakosa kulamba asali ndio wataanza chokochoko zao za kero za muungano.

Hawa jamaa wako na mental retardation

#MaendeleoHayanaChama
 
Nikwambie tu watu wakwanza watakao kupinga ni hao wazenji wenzako wanao lamba asali huku Tanganyika kupitia bunge na vyeo mbalimbali vya serikali...nani ataishi zenji kwa mishahara wa bofulo wengi wenu mmekimbilia bara waliobaki huko zenji ni vikongwe na wahafidhina kama wewe.

#MaendeleoHayanaChama

Kama ni kweli nyie machogo msingetumia majeshi kuua, kunajisi, kulemaza Wazanzibari ili muweke kibaraka wenu atawale Zanzibar. Zanzibar haihitajii bara kupata maendeleo. Itajiunga OIC, itajiunga Arab League, itatumia diaspora kuleta maendeleo Zanzibar.
 
Rais mwenye nguvu tz ni raisi wa tz na ni mzanzibar ...sasa kwanini muungano usivunjwe

Haiwezekani kwa sababu anayetawala Zanzibar ni kibaraka wenu nyie machogo. Kila uchaguzi mnaua, mnanajisi, mnawapa watu vilema ile muendelee kutawala Zanzibar.
 
Back
Top Bottom