Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Upumbavu wenu wenyewe kuikumbatia CCM,msitupigie kelele. Adui wa Zanzibar ni CCM.
 
Waambieni huko Zanzibar kuwa Tanganyika ni sehemu yao.

Pengine tutapata unafuu maisha yamebana mno.
 
Haiwezekani kwa sababu anayetawala Zanzibar ni kibaraka wenu nyie machogo. Kila uchaguzi mnaua, mnanajisi, mnawapa watu vilema ile muendelee kutawala Zanzibar.
CCM NDIYO INAYO UA KWANI UONI WAMASAI WANAVYO CHINJWA NA CCM
 
Walamba asali ya Tanganyika ndugu zako wazenji..ndio huomba msaada ili walindiwe ugali wao waendelee kulamba asali ya muungano..wewe endelea kulialia humu JF.

Nikuulize aliye futa na kusitisha uchaguzi 2015 ni nani kama sio Jecha mzenji mwenzenu.?au kuna mtanganyika alikuja huko kutangaza kusitisha uchaguzi.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona hujaweka ushahidi, weks voice note au video tuone akisema hivyo, ama wewe ni mzushi na ndie ambaye hutakiwi kuwa mtaani
Ninao ushahidi, mbona kila analosema kipo dhahiri, mnadhani anaogopa huyo. Angalia mahojiano yake akichambua kitabu cha Thabiti Kombo Jecha. Labda waifute leo, lakini ipo na amesema na hana wasiwasi ila ukimwangalia macho yake utaona ana kaibu fulani. Nenda youtube na uende kwenye uchambuzi wa vitabu wa Ismael Jussa. acheni uvivu...kila jambo limeanikwa wazi.
 
Useless thread
 
Paskali, asante kwa andiko lako. Sina haja ya kumchafua mtu, nina uwezo mkubwa wa kumbukumbu na kufanya analysis, niliyoyasema ni ya kweli. Kwa vile mmeniomba nitaweka leo, ila kama wameondoa leo hii sitaipata huo uchambuzi. Hiyo haiwezi kuwa "hearsay" unajua maana ya "hearsay". Nitaweka hapo online ni uchambuzi mrefu wa kitabu cha Thabit Kombo Jecha, kwa hiyo inabidi usikilize wote ndiyo uweze kuipata hiyo sehemu aliyomtuhumu Nyerere.
 
Aliposema muungano nikama koti likikubana unalivua hiyo kauli ndio ilisababisha kifo chake huo ndio ukweli anaebisha aendelee kubisha!
 
Aliposema muungano nikama koti likikubana unalivua hiyo kauli ndio ilisababisha kifo chake huo ndio ukweli anaebisha aendelee kubisha!
Kumsingizia marehemu mambo mabaya, kunapelekea kupata karma mbaya. Karume aliuliwa na Humudi, kisa cha Humudi kufanya mauaji hayo kinafahamika, unless ni mseme by that time intels zote za Zanzibar zilikuwa zinasimamiwa na TISS ya Bara na TISS walijua kila kitu na Nyerere was informed kuhusu mipango hiyo but he did nothing kuzuia, hilo linafikirika!, ila kwenye usalama wa nchi, kiongozi mkubwa akitoa kauli hatarishi kwa muungano wetu adhimu, by then even to think tuu kuwa muungano wetu adhimu unaweza kuvunjika ni uhaini tosha!, hivyo ukisikia mipango ya kumu eliminate mtu mwenye fikra ya uhaini dhidi ya uwepo wa JMT, na hukuzuia such elimination, then huko kutahesabika ni part and parcel ya kuulinda muungano. Ukisikia kuwa "tutaulinda muungano kwa gharama yoyote", kiusalama gharama hizo zinaweza kuwa ni pamoja na machozi, jasho na damu.
Katika kuulinda muungano, wengi wamegharimika akiwemo Abdul Jumbe.
P
 
Machifu walidanganywa watu wao wanaenda kufanya kazi na kuleta kipato nyumbani. Wakapewa zawadi na zawadi. Kila wakirudi wanaleta stor za kulubuniwa na kupewa viji zawadi tena na tena..

Machifu waliposhtuka na kujiuliza mbona nguvu kazi zetu zina zidi kuondoka tuu na hawaludi?

Baadhi waka jigawa na kuwaabarisha walanguzi wa utumwa na yakaanza mapigano..
Basi kila kabila likaja na style yake;Mf wamakonde wali chanja na kuweka ndonya..
Wazaramo wakaanza kukomboa mateka na kuwauza tena kwenye msafara mwengine. Kiufupi kuna mazito yalio tendeka tusio yajua....
Funika kombe mwanaharamu apite...
 
Paskali, asante kwa andiko lako. Sina haja ya kumchafua mtu, nina uwezo mkubwa wa kumbukumbu na kufanya analysis, niliyoyasema ni ya kweli.
Hakuna mashaka yoyote kuhusu uwezo wako mkubwa wa kumbukumbu na analysis na hakuna mashaka kuwa usemayo ni kweli, ila tuko kwenye digital world, seeing is believing, tukiona wenyewe kwa macho yetu, na kusikia wenyewe kwa masikio yetu, tutaamini zaidi kuliko kuhadithiwa pekee.
Kwa vile mmeniomba nitaweka leo, ila kama wameondoa leo hii sitaipata huo uchambuzi.
Nitakushukuru, na kama haipo pia nitakuelewa, kwasababu kuna baadhi ya watu huwa wanatamka vitu vya ajabu ajabu huko mitaani, vikipandishwa online, wakajisikia walisema nini, then hizo clips wanaziondoa fasta!. Mfano hata video za bandiko hili Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!. ziliondolewa baada ya bandiko hili

Hata hii video ya bandiko hili Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii ilifutwa kisha ikaeditiwa na kupandishwa tena.
Hata video ya Royal Tour kile kipande kuhusu Covid 19 ilivyokula kichwa fulani, kimeeditiwa!.
Hiyo haiwezi kuwa "hearsay" unajua maana ya "hearsay".
Nitakushukuru sana kama utanifundisha kuhusu hearsay.
Nitaweka hapo online ni uchambuzi mrefu wa kitabu cha Thabit Kombo Jecha, kwa hiyo inabidi usikilize wote ndiyo uweze kuipata hiyo sehemu aliyomtuhumu Nyerere.
Nitakushukuru na naahidi nitasikiliza yote.
P
 
Hawa jamaa ni wabagiz Sana na Sasa hivi ndo nmejua kwa nini Huwa hawapewi kuongoza dola .
 
Hearsay, bwana Paskali ni habari uliyoisikia mitaani. Hii habari sikupata mitaani (au rumours), hiyo siyo rumours (Nimesikia simulizi yake hiyo, itakuwaje Rumours?) hiyo ni definition ya "Hearsay" is information received from other people which cannot be substantiated; rumour. Kwa hiyo sikuleta rumours bali nimeandika kama nilivyosikia.
 

Mtauwa Wazanzibari wangapi kuulinda huo muungano? Kwa nini hamtaki kuungana na ndugu zenu wa Burundi au Wamakonde wenzenu wa Msumbiji mnang'ang'ania Zanzibar tuu? Zanzibar imewashinda, umaskini umeongezeka tangu mfanye uvamizi. Sasa faida ya huo muungano ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…