Mkuu
field marshall1 , it's good ungeleta links, tukamsikia na sio hii hearsay uliyoleta.
Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Kuna ukweli kwenye hili, biashara ya utumwa ilikuwa na stages 3.
1. Wakamata watumwa, hawa hawakuwa Waarabu, hawa walikuwa wenyeji na machifu wetu, waliwakamata watu, miongoni mwao wahalifu na mateka, na kuwauzia Waarabu akina Tippu Tip ambao hao waliwanunua watumwa toka kwa wenyeji na kuwasafirisha mpaka soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko Kuu la Zanzibar.
2. Wachuuzi wa watumwa, hawa ndio Waarabu, waliwanunua Watumwa kwa wenyeji na kuwasafirisha hadi soko la Bagamoyo kisha kupelekwa soko kuu la Zanzibar.
3. Wanunuzi wakubwa wa watumwa, hawa pia sio Waarabu, ni Wahindi, Waarabu na Wazungu, waliokuja soko la Zanzibar na meli kubwa, kuwanunua watumwa na kwenda kuwauza masoko ya Europe, India na Arabia.
Hii sii kweli, Wenyeji halisi wa asili wa Zanzibar ni Wahadimu ambao asili yao ni huku bara, kiongozi wao aliitwa Mwinyi Mkuu. Wareno walivamia Zanzibar, hivyo Mwinyimkuu akaomba usaidizi wa Waarabu kuwapiga Wareno, baada ya kuwashinda Wareno, ndipo mwaka 1732 Sultan Seyyid Said, akahamishia makao makuu ya Sultanate yake from Oman to Zanzibar na kuvitwaa visiwa hivyo as if wameviokota, sijui walimfanya nini Mwinyimkuu, ila mwaka 1964 wajukuu wa Mwinyimkuu walilipiza kisasi na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
It's true, huwezi kutenganisha Zanzibar na Uislamu kwasababu ya Waarabu, baada ya Sultanate ya Oman kuhamia Zanzibar, Zanzibar iliyokuwa ni Islamic nation. Ni muungano wetu ndio umeifanya Zanzibar kuwa a secular state.
It's very true kuna watu wetu wakaichangamkia biashara hii akiwemo Tippu Tip, Baba Mwarabu na mama Mnyamwezi.QAaa
Anza na kutuletea huo ushahidi humu, tuna wataalamu wa kutosha wa ku ascertain criminal liabilities, tutashauri, na tuliwahi kushauri humu, kama tuhuma zozote zenye criminal liabilities, ukileta tuhuma humu lazima ulete ushahidi, ukileta tuhuma humu bila ushahidi, usitaje majina na kuchafua watu bure bila ushahidi.
Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
P