Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Kwenye Siasa shutuma za maauji hata wewe ukiingia utapewa.

Kuendekeza wapumbavu ni upumbavu, sasa Kama Nyerere ndio nafanya hayo Sisi tufanyaje?
Wewe hukuisikiliza kesi kwenye tv ulikuwa hujazaliwa sikulaumu kamuulize Bibi yako
 
Ninachofahamu Karume aliuwawa na Captain Humud kwa sababu ya kulipa kisasi cha baba yake aliyeuwawa akiwajela tena aliapa mbele ya wanafunzi wenzake wakiwa Urusi akisoma kwamba akirudi Zanzibar lazima atalipa kisasi (Alkisas). Karume alijulishwa hilo lakini alipuuza akidhani kwamba akimpandisha cheo huyo kijana atasahau lakini ikawa hivyo tena
 
Jussa mmoja ni sawa na akili za wabunge 300 wa chama cha ccm walioko bungeni na kama inakuma jussa kusema hivo kamulize mjukuu kinda kindaki wa mwana mapinduzi fatma karume ukweli wote atakwambia na wazanzibar wote wanajua
Mbona unachekesha tunazungumzia mwendawazimu alafu wewe unataka tukamuulize kichaa?
 
Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la Jumbe, Salmin Amour, na wengine, halafu akarejea kuwa pia alihusika wakati wa mapinduzi na wakati wa mauaji ya Karume.

Ninavyoelewa Karume aliuawa na Kanali Humudi na sababu wanazijua fika, kusema Nyerere kahusika ili aendelee kuinyonya ZNZ inahitaji ushahidi ambao kimsingi huyo Jussa na hiyo TV Kamili ya ZNZ wanapaswa kuuleta.

Kuna mengi yanaongewa ambayo yametiwa chumvi na hilo kundi la Jussa na wenzake akiwemo yule anayeitwa OMO, badala ya kufanya kazi ya kuijenga nchi ya Zinjibari anazunguka huko na huko kuichafua Serikali na Rais wa ZNZ.

Kuna kipindi kimoja Jussa alikaririwa akisema kuwa Waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa, akawatupia lawama wananchi Waafrika weusi, aka-justify kuwa Zanzibar ilikaliwa kwanza na Waarabu....yaani ndiyo first people. Wengine wote, yaani Waafrika weusi walikuja kutoka Bara na kuwa huwezi kutenganisha ZNZ na Uislaam, yaani Serikali na dini ni kitu kimoja....Ni ya kweli hayo?

Eti kuna mtu mweusi alikuwa akimiliki watumwa ndiyo moja ya justification kwamba kila mtu alihusika na biashara ya utumwa, lakini akikataa kuwa waarabu siyo wahusika...atuthibitishie hayo.

Lingine alisema kuwa Waingereza walishindwa kwenye vita vya SUEZ CANAL na misri ndiyo maana walikuwa na hasira na ZNZ, Wakati kila mtu anajua kuwa Egypt ilipigwa na mfereji ukafunguliwa kwa meli zote zipite hapo hadi leo hakuna anayethubutu kuufunga tena....Hata hajui hiyo ilikuwa ile vita iliyoitwa " Six day war" au Yom Kippur. Kwanini anatudanganya?

Kuna mengi ambayo anahitaji kuthibitisha....mpelekeni polisi akathibitishe, ila safari hii msimvunje miguu tena.
Kwanini mnaruhusu non-credible sources of information katika nchi hii iendelee kueneza uongo wa mtu mmoja au wawili wajinga
Soma vizuri historia ya zanzibar waandishi wengi sana wameandika.
Soma kwa kutulia ndo utajua nani alimuua karume.
 
Mkuu pascal mayalla nlikuwa nakuheshimu sana na kukufuatilia contents zako ila kwa hili umeniacha hoi.umeshindwa nini kusema tu mwalimu alihusika kwa asilimia zote ???? Hadi unazunguka zunguka.???.......comment yako ina double standards mzeee.kama teacher alijua kinachoenda kwann alipiga kimya.??? Nyie watu wabara mbona sio wa kweli.....mwenzenu kamla kichwa karume .full stop. Acheni kuficha ficha mambo dunia nzima inajua labda nyie tu ndio mnaona kitu cha uongo..........

Na huyo teacher ni maagizo kutoka mbele.

Kuhusu suala la waarabu na biashara ya utumwa sio kweli.ni kichaka cha kujifichia na kuwalinda wazungu.waarabu walijiingiza pwani huku kufanya biashara ila lengo lao kubwa ni kusambaza elimu .ndio maana athari ya elimu ya dini ya kiislamu ni kubwa kwa miji ya pwani ni kubwa kuliko mbeya na iringa.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Mahaba ya waarabu yamekuzidia hadi huuoni ukweli..huwezi tenganisha biashara ya utumwa afrika mashariki na uhusika wa mwarabu.

Mwarabu kawadumaza watu wa pwani..kwa kuwapa elimu feki ya imani bila kuwapa elimu ya kidunia..kiufupi mwarabu alikuja kumnyonya mwafrika kiakili,kijamii na kiuchumi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Paskali wakati mwingine anakuwa anafanya makusudi, anajua kabisa kwamba hakuna...justification whatsoever unavyoshiriki kwenye uuzaji wa watumwa au ununuzi wa watumwa, ni offenders. Sasa utawakwepesha vipi hao waarabu na biashara ya utumwa, wao walikamata wakishirikiana na waafrika wachache, kimsingi biashara ya utumwa walioanzisha ni WAARABU NA WAINGEREZA.
 
Ndiyo mafundisho ya kanisani kwenu?
 
Mbona unachekesha tunazungumzia mwendawazimu alafu wewe unataka tukamuulize kichaa?
NIMEKUMBUKA BUNGE LA KATIBA

Na Ismail Jussa

Kwenye Bunge la Katiba mwaka 2014 nilitoa hoja kwamba kwenye Katiba Mpya ya Shirikisho la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kiwepo kifungu kinachoruhusu nchi nyingine ya Kiafrika inayotaka kujiunga na Muungano huu na ambayo itatimiza masharti yatakayowekwa iweze kuruhusiwa. CCM wakakataa!

Sasa hapo ndiyo huja swali: Ikiwa miaka yote mmetuaminisha kwamba Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar ulisukumwa na dhana ya Umoja wa Afrika (Pan-Africanism) na ulikusudiwa kuwa mwanzo wa Muungano mkubwa zaidi wa Bara la Afrika, kwa nini tena CCM wanakataa Muungano mkubwa zaidi?

Katika Bunge la Katiba hilo hilo, CCM wakayashambulia na kuyaponda ponda maoni ya Watanzania walio wengi (61%) waliotaka Serikali Tatu huku waking'ang'ania muundo uliofeli wa Serikali Mbili uendelee. Tukawaambia tuko tayari tuendelee na Serikali Mbili lakini sasa Zanzibar na Tanganyika tubadilishane nafasi katika Serikali Mbili hizo.

Tukawaambia sasa Zanzibar iwe ndiyo Serikali ya Muungano na ishughulikie mambo yote ya Muungano (yakiwemo mapato yote yatokanayo na mambo ya Muungano kama ilivyo sasa) na pia ishughulikie mambo ya Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Na kuwe na Serikali ya Tanganyika itakayokuwa kama ilivyo Serikali ya Zanzibar ya sasa ili ishughulikie mambo ya Tanganyika yasiyo mambo ya Muungano. Wakakataa!

Nimekumbuka tu!
 
Watu hawajui kuwa biashara ya utumwa ilikuwa sawa na biashara zingine za import and export. Ilihitaji Letter of Credit kwa masharti ya kawada FOB, CIF, nk. Kazi ya merchant banking ilikuwa ni y Wahindi, kina Jussa. Waarabu walifanya kazi zote za shulubu lakini wengi walikuwa wametumwa tu na matajiri kina Tippu Tip lakini the guns kwa merchat bankers, mabaki yao ni kina Jussa. Huu upande wa pili haujaandikwa sana lakini unatisha. Jussa kujiita mzawa asijivune, mabaki yetumwa wapo. Mwulizeni alikujaje hapa, yeye na babu zake, lini, nk

jiulize wewe ulikujaje duniani wakati adamu na hawa waliumbwa ni watu weupe na wakaambiwa wakaitawale dunia
 
Ndiyo mafundisho ya kanisani kwenu?
Hili nalo unalisemaje wewe mke wa waarabu..punguza mahaba.

#MaendeleoHayanaChama
20220614_184343.jpg
 
Paskali wakati mwingine anakuwa anafanya makusudi, anajua kabisa kwamba hakuna...justification whatsoever unavyoshiriki kwenye uuzaji wa watumwa au ununuzi wa watumwa, ni offenders. Sasa utawakwepesha vipi hao waarabu na biashara ya utumwa, wao walikamata wakishirikiana na waafrika wachache, kimsingi biashara ya utumwa walioanzisha ni WAARABU NA WAINGEREZA.
Mwarabu hajaanzisha biashara ya utumwa. Soma biblia au tukusaidie mistari?
 
Mambo mengine ni watu wa intelligence ndio wanayajua sisi watu wa kawaida hayo tutayajuaje, tunachojua ni mauaji ya Karume ni visasi, mmatumbi alitaka kumtwaa dada wa Humudi awe mkewe, Baba wa binti akagoma, Mzee mzima akaingia front, ikapigwa action fulani huku Humudi akishuhudia, akajiapiza atalipiza kisasi, akajinga jeshi, muda muafaka akatimiza lengo.
Hayo mengine hatuyajui!.
P

Labda iwe hutaki kuyajua mkuu
 
Labda iwe hutaki kuyajua mkuu
No sio sitaki kujua bali binadamu hujua yale tuu anayojulishwa ama kwa kushuhudia, ama kwa kusimuliwa ama kwa kusoma. Niliyoyasoma ndio hayo, kama kuna mengine ya chini ya kapeti, ama tuhadithieni tuyasikie au yaandikeni tuyasome.
P
 
Ninachofahamu Karume aliuwawa na Captain Humud kwa sababu ya kulipa kisasi cha baba yake aliyeuwawa akiwajela tena aliapa mbele ya wanafunzi wenzake wakiwa Urusi akisoma kwamba akirudi Zanzibar lazima atalipa kisasi (Alkisas). Karume alijulishwa hilo lakini alipuuza akidhani kwamba akimpandisha cheo huyo kijana atasahau lakini ikawa hivyo tena

Bila ya shaka hiyo ndiyo vision muliolishwa na watawala
 
Back
Top Bottom