Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
US ndio baba wa duniaView attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Israel wanajiita wateule wa Mola. Maswala ya binadamu wengine hayawahusu.View attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Siyo kwa kiburi Umoja wa Mataifa uwasaidie Israel kutafuta magaidi ya Gaza na yakamatwe ili sheria ifuate mkondo wake.Bila hivyo mimi nawaunga mkono Israel asilimia 100%View attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Basi,mbona kelele ni nyingi zinazotaka Israel wasitishe vita?Mnapenda kujisifu sana huku uwezo wa vita hamna kabisa.Mbona tunasikia hao jamaa mayahudi wanapata kichapo hatari?
Hamas waondoke kwenye makazi ya watu waache kujificha,sehemu za raia na kutafuta huruma ya duniaView attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Taifa teule la Mungu wa upendo.taifa teule hilo..
"I have condemned unequivocally the horrifying and unprecedented 7 October acts of terror by Hamas in Israel." United Nations Secretary General, Antonio Guterres.Hao UN ni sehemu ya magaidi ya hamas
Hatukuona mahali popote UN ikicondemn mauaji yaliyofanywa na hamas october 7 acha wapate dozi akili ziwakae sawa
Halafu kwenye operesheni ya wazayuni dhid ya maeneo walikuwa hamas vimekutwa vitu vingi kuanzia tshirt,mabegi,vest za UN ambazo vilitumiwa na hao magaidi wa hamas
View attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Israel wanajiita wateule wa Mola. Maswala ya binadamu wengine hayawahusu.
"mnavyofadhili" ilitakiwa iwe "wanavyofadhili"mnavofadhili ugaidi duniani kote vifo vya binadamu wengine huwa vinawahusu
Nipe na clip akikemea vifaa vyenye nembo yao kutumika na hamas kuanzia vest,mabegi,bendera kofia"I have condemned unequivocally the horrifying and unprecedented 7 October acts of terror by Hamas in Israel." United Nations Secretary General, Antonio Guterres.
View: https://twitter.com/SkyNews/status/1716823026690568227