Tatizo kubwa ni baadhi ya taasisi zilizotakiwa kuwa neutral, zimegeuka kuwa sympathizers wa HAMAS.
Hapana si kweli. Israel , US, UK, Canda n.k. ni sehemu ya UN . Kusema taasisi hizo siyo neutral si kweli.
Hatujasikia malalamiko ya nchi yoyote ikiwemo Israel kwamba UN wanatumiwa na Hamas.
Israel ilipiga Hospitali ya Al-shifa kwa madai ya kutumika na HAMAS.
Wameingia ni wiki 3 sasa hawajaonyesha 'control center au kitu kinachoashiria' ni mali ya HAMAS. Walijaribu wameshindwa, hata vyombo vya Magharibi vimehoji ushahidi ! Hakuna
Ukiangalia orodha ya wafanyakazi wa UN waliouawa na taasisi nyingine kama Red Crescent, kuna uwezekano mkubwa wamekuwa wanatumika kwa maslahi ya HAMAS. Jiulize kama kuna siku moja mashirika kama Red Crescent wamewahi kufanya jitihada zozote kujua kama wale waliochukuliwa mateka na Hamas wapo salama na wanatendewa haki.
Labda niamini ''kuna uwezekano' uliosema lakini huna uhakika.
Labda nikuulize, ni taasisi gani ya UN imerusiwa na Israel kuingia katika magezeza yenye Wafungwa wa Palestina?
Wanahabari nao ni hivyo hivyo. Fikiria uovu wa kupindukia uliofanywa na HAMAS ile Oct 7.
Israel imeua wanahabari takribani 100. Wlaiouawa ni wa vyombo vya habari nje ya vile vya US.
Wameuawa Reuters tena kwa kuwa targeted, Al Jazeera na TV nyingine ambazo hazifuati ' matakwa ya Israel'
Kama unafuatilia habari, mwaka jana aliuawa mwandishi wa Aljazeera (Shireen Abu Akleh) makusudi.
Katika vita inayoendelea Waandishi wamepelekewa habari za kuuawa na IDF na wameuawa.
Kama unafuatilia habari , juzi aliuawa Mwandishi mmoja baada ya Familia yake kuuawa wiki iliyopita.
Israel inataka Waandishi kama wa CNN wanao ambatana na IDF ili kuficha wanayofanya
Mabinti wa Kiisrael walibakwa na baada ya kubakwa wakauawa kwa kukatwa shingo.
Stop this none sense. Una ushahidi gani kwamba Walibakwa?
Kama unafuatilia habari Israel wametoa taarifa hiyo wakisema waliobakizwa hawaachiwi kwasababu watasema wamebakwa. Ni trick ya kuweka shinikizo, lakini jumuiya ya Kimataifa imepuuza kwa kujua hizo ni propaganda.
Una ushahidi gani kama walibakwa! Mtu akisema amebakwa huo si ushahidi, hebu wewe mwenye ushahidi tueleze
Baadhi ya watoto chini ya miaka 10 waliuawa kwa kukatwa shingo. Ni taarifa zilizothibitishwa, lakini habari hizo ziliandikwa na vyombo vichache sana vya habari, tena vile ambavyo havina reporters wa moja kwa moja huko Gaza. Wanahabari wamekuwa wakifanya kazi kwa manufaa ya HAMAS.
Hao watoto ni wa Israel au Palestina?
Ni hivi hakuna kuua kuzuri iwe kukatwa shingo au mabomu. Kuua watoto na akina mama ni ushenzi na hakuna ushenzi mzuri. Ushenzi ni ushenzi tu bila kujali nani kafanya ni ushenzi tu.
Na hali ikishakuwa hivyo, usitarajie adui yako atawatenganisha. UN na nchi za kiarabu, kama kweli ina dhamira njema, ilistahili kuwatenganisha raia na hao magaidi wa HAMAS. Maadam magaidi ya HAMS yameamua kuwatumia raia kama kinga, na nchi za kiarabu na UN wameikubali hali hiyo, basi ina maana wamebariki vifo vya wale wasiohusika. Na hapo ndipo ulipo unafiki wa Waarabu na UN.
Tafadhali rudi maktaba ukasome kuna mambo mengi huyafahamu .
JokaKuu