Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mimi nimetulia, wewe ndiye hujatulia kabisa.Sawa tulia kiranga
Ushahidi ni pale UN inapoilazimisha Israel isitishe mashambulizi kwa Hamas.Hebu naomba link ya chanzo cha habari cha kuaminika kinachosema kuwa
1. Wafanyakazi wa UN waliisadia Hamas katika mashambulizi ya October 7
2. Wafanyakazi wa UN wanawapa Hamas vifaa vya misaada kwenye kujiandaa ma vita
Kwa sababu za kibinadamuUshahidi ni pale UN inapoilazimisha Israel isitishe mashambulizi kwa Hamas.
Inashangaza sana.taifa teule hilo..
Magaidi yana mbinu sanaView attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Unasikia kwa Faiza na timu yakeMbona tunasikia hao jamaa mayahudi wanapata kichapo hatari?
Hayo majitu ni makatili sana. Huwa hayaoni kazi kuua familia/ukoo wote kwa kombora. Bila shaka Mmarekani Joe Biden ndiye anayewapa kiburi.
Wakiristo kimya kwa sababu mwenzao. Wangalikua wanauliwa Wakiristo ungalisikia siju NATO. Tunaona Ukraine akiuliwa mbwa tu unaona. Lkn tunaosoma quran tunajua haya
Hebu naomba link ya chanzo cha habari cha kuaminika kinachosema kuwa
1. Wafanyakazi wa UN waliisadia Hamas katika mashambulizi ya October 7
2. Wafanyakazi wa UN wanawapa Hamas vifaa vya misaada kwenye kujiandaa ma vita
View attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Hapana si kweli. Israel , US, UK, Canda n.k. ni sehemu ya UN . Kusema taasisi hizo siyo neutral si kweli.Tatizo kubwa ni baadhi ya taasisi zilizotakiwa kuwa neutral, zimegeuka kuwa sympathizers wa HAMAS.
Labda niamini ''kuna uwezekano' uliosema lakini huna uhakika.Ukiangalia orodha ya wafanyakazi wa UN waliouawa na taasisi nyingine kama Red Crescent, kuna uwezekano mkubwa wamekuwa wanatumika kwa maslahi ya HAMAS. Jiulize kama kuna siku moja mashirika kama Red Crescent wamewahi kufanya jitihada zozote kujua kama wale waliochukuliwa mateka na Hamas wapo salama na wanatendewa haki.
Israel imeua wanahabari takribani 100. Wlaiouawa ni wa vyombo vya habari nje ya vile vya US.Wanahabari nao ni hivyo hivyo. Fikiria uovu wa kupindukia uliofanywa na HAMAS ile Oct 7.
Stop this none sense. Una ushahidi gani kwamba Walibakwa?Mabinti wa Kiisrael walibakwa na baada ya kubakwa wakauawa kwa kukatwa shingo.
Hao watoto ni wa Israel au Palestina?Baadhi ya watoto chini ya miaka 10 waliuawa kwa kukatwa shingo. Ni taarifa zilizothibitishwa, lakini habari hizo ziliandikwa na vyombo vichache sana vya habari, tena vile ambavyo havina reporters wa moja kwa moja huko Gaza. Wanahabari wamekuwa wakifanya kazi kwa manufaa ya HAMAS.
Tafadhali rudi maktaba ukasome kuna mambo mengi huyafahamu .Na hali ikishakuwa hivyo, usitarajie adui yako atawatenganisha. UN na nchi za kiarabu, kama kweli ina dhamira njema, ilistahili kuwatenganisha raia na hao magaidi wa HAMAS. Maadam magaidi ya HAMS yameamua kuwatumia raia kama kinga, na nchi za kiarabu na UN wameikubali hali hiyo, basi ina maana wamebariki vifo vya wale wasiohusika. Na hapo ndipo ulipo unafiki wa Waarabu na UN.
Jamani kuna maswali nauliza hapa jamvini kila mara, hakuna anayejibu lakini watu wanarudia maneno yale yaleSiyo kwa kiburi Umoja wa Mataifa uwasaidie Israel kutafuta magaidi ya Gaza na yakamatwe ili sheria ifuate mkondo wake.Bila hivyo mimi nawaunga mkono Israel asilimia 100%
Jumamosi juzi wanajeshi 10 wa Israel wameuawa kwa mpigo kwa mujibu wa CNN na Netanyau ametuma salalmu za pole kwa familia za wanajeshi.Siyo kwa kiburi Umoja wa Mataifa uwasaidie Israel kutafuta magaidi ya Gaza na yakamatwe ili sheria ifuate mkondo wake.Bila hivyo mimi nawaunga mkono Israel asilimia 100%
Ugaidi ni kitu gani? Nani ametoa hadhi ya Ugaidi kwa Hamas? Nani anaondoa hadhi hiyo?Magaidi watafutwe mpk wapatikane.
Nionyeshe nikienda Israel wapi nitaona askari? Pili, hivi unajua ukubwa wa gaza na ulitegemea Kambi za Hamas ziwe wapi? Tatu, kwani kambi za JWTZ zipo porini? Nani anajua askari wapo wapi wa nchi ipi?Palestina inakubali magaidi wajifiche kweny makazi ya watu ili wazalishe uharamia wao.
Mwaka huu Israel imeshambulia Gaza mara ngapi? Mwaka jana Wapalestina 255 wamuawa , je kulikuwa na shambulio gani la Hamas? Mwaka 1948 kulikuwa na Naqba, je unajua Naqba ni kitu gani?Acha wagigwe wakome. Kwanin waliwavizia waisrael na kuwaua. Uchokoze nyuki wakuume alaf ulalamikie mzinga eti funga wasije.
Kwani ni mara ya kwanza haya kutokea? Mwaka 1956 kuna kijana aliitwa Rantis, yeye alishuhdia kuuawa kwa ndugu zake na Israel. Mwaka 2006 kijana huyo akawa kiongozi wa Hamas, akauawa na Israel.Nachukia magaidi HAMAS. Na ngwe hii wameteketezwa, hata kama watajiunda tena badae itawachukua miaka mingi na Dunia itapumua.
OK, kuna kijana wetu aliuawa Ukraine. Kwanini Russia walimpeleka? Kwanini Ukraine wasifanye unavyoshauri.Mi HAMAS imetuulia vijana wetu wa Ki Tanzania bila hatia. Kwanin isingefanya sensa ya mateka wakawaondoa ambao sio wa israel. Kwao HAMAS yeyote aliyesimama kwenye ardhi ya Israel ni adui yao. Acha wapewe mkongoto next time watajua kuchokoza nyuki ukipange.
Jumamosi juzi wanajeshi 10 wa Israel wameuawa kwa mpigo kwa mujibu wa CNN na Netanyau ametuma salalmu za pole kwa familia za wanajeshi.
Sasa kama wanamgambo tu wanawapukutisha wanajeshi wenye mafunzo ya juu kabisa vipi huyu Israel aingie vitani na Taifa kubwa kama Iran lenye teknolojia ya hali ya juu kabisa?
Hamas wanatumia silaha za jadi wanazotengeneza wenyewe lakini bado Israel anapigika na kupoteza wanajeshi dhidi ya wanamgambo tu. Israel bila shoga yake Marekani ni mwepesi kama karatasi.
Andika utavyoandika lkn ukweli utabaki ukweli kwa sababu ni vita vya kuangamiza watoto wa waislamu. Ingalikua nchi yenye wakiristo wengi ukrain ungalisikiaMalaria 2.
Sipendi sana kuingiza aspect ya dini....Lakini kwa sababu umeileta, ni kuulize unajua Charter ya Hamas? Ukiisoma is purely fighting Israel for purely religious reasons? Iko wazi mno! Hebu Soma Charter yao......
Article 3:
The basic structure of the Islamic Resistance Movement consists of Muslims who have given their allegiance to Allah whom they truly worship
Article 4:
The Islamic Resistance Movement welcomes every Muslim who embraces its faith, ideology, follows its program, keeps its secrets, and wants to belong to its ranks and carry out the duty. Allah will certainly reward such one.
Article 5:
By adopting Islam as its way of life, the Movement goes back to the time of the birth of the Islamic message, of the righteous ancestor, for Allah is its target, the Prophet is its example and the Koran is its constitution.
Article 6:
It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine, for under the wing of Islam followers of all religions can coexist in security and safety where their lives, possessions and rights are concerned. In the absence of Islam, strife will be rife, oppression spreads, evil prevails, and schisms and wars will break out.
Article 8:
Jihad is its path and death for the sake of Allah is the loftiest of its wishes.