Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #61
Hizo unazoongea ni propagandaMkuu hujanielewa....Na kwa nini nikupe link....It seems your Intellectually lazy.....Inawekekana hata hujui UNRWA nini......! Naona kuna kundi la Wavivu ambao hawapendi kufanya their only research.......Sina muda huo Mkuu....!
Mimi nachojua siku hizi kigezo kimoja cha kuitwa gaidi lazima ujihusishe na uislamu au uwe muislamu kinyume na hivyo utaitwa tu jina lengine hata ufanye nini.Jamani kuna maswali nauliza hapa jamvini kila mara, hakuna anayejibu lakini watu wanarudia maneno yale yale
1. Ugaidi ni kitu gani?
2. Nani anatoa hadhi ya Ugaidi na nani anaondoa hadhi hiyo.
Hebu tuanzie hapo
Kwahiyo kinachoendelea sasa ni Israel kulipiza uchokozi au?unaleta huruma hapa.Pambaneni.si mliwachokoza.mnawachokoza mkipigwa mnaleta huruma hapa..hamasi wakati wanashambulia walishambulia vijana tu? komaa
Hata Hamas nao ni makatili tu. Ingawa huo ukatili wao kwa namna fulani umesababishwa na huo ukandamizaji wa miaka nenda, wanaofanyiwa na hao Mayahudi.Tate Mkuu:
Mbona unaangalia upande mmoja Mkuu! Just balance your argument, Kwani Hamas sio katili? Walichofanya October 7 ilikuwa ni nini? na viongozi wanasema wazi wanasema watarudia October 7 wakipata nafasi tena tena.....
'We will repeat October 7 again and again' - Hamas official
Hamas Official Ghazi Hamad: We Will Repeat the October 7 Attack Time and Again Until Israel Is Annihilated; We Are Victims - Everything We Do Is Justified #Hamas #Gaza #Palestinians pic.twitter.com/kXu3U0BtAP
— MEMRI (@MEMRIReports) November 1, 2023
Watu wengi hawana habari za kutosha
Mwaka 2006 Israel na Hezbollah. Israel imeunda kamati ya kuchunguza na kukiri ili''shindwa Vita.
Kilichoangaliwa ni uwezo wao wa kijeshi na zana ukilinganisha na Wapinzania wao. Israel ikakiri ilishindwa
Vita inayoendelea, katika '' War room' yaani mipango inapopangwa Wamarekani wanaongoza.
Waziri wa Ulinzi alikiri nwapo lakini Israel ndiyo inatekeleza, akasema kuanzia Oct 7 baada ya tangazo la vita drone zipo Gaza.
Israel inapata silaha kutoka Marekani ambazo hazijauzwa mahali pengine na toleo la mwisho na la kisasa.
Ushauri wote wa Vita unatolewa na Marekani. Nchi za Magharibi kama UK na France nao ni Washirika.
Kitendo cha Israel kupiga majengo kililenga kutengeneza mazingira ya wao kuingia Gaza na kupunguza majeruhi.
Marekani iliwaeleza Israel kwamba katika vita zote za Iraq na Afganistan, Taifa hilo lilipoteza askari wengine kwa kinachoitwa ''urabn warfare''
Israel inafahamu kona zote za Gaza, ina silaha za kisasa iwe maderaya, ndege za kivita, meli na mizinga ya masafa.
Hamas wana makombora na paraglider ya kutengeneza wenyewe , hawana maderaya wal meli
Kuna majeruhi wengi na vifo vingi vya askar wa IDF lakini wanasitiri aibu.
Hili limemonyesha wazi kile kinachoitwa tishio la IDF na MOSAD si kweli. Hivi MOSAD Walishindwaje kugundua siri ya watu zaidi ya 1000.
Tena limeonyesha udhaifu wa IDF bila Marekani na hilo limewapa jeuri Iran ndio maana wanatumia Houth na Hezbolla. Israel hawezi kusimama kidete na Iran ! Bila msaada wa Marekani Israel wanapigika vizuri sana
JokaKuu Pascal Mayalla
Andika utavyoandika lkn ukweli utabaki ukweli kwa sababu ni vita vya kuangamiza watoto wa waislamu. Ingalikua nchi yenye wakiristo wengi ukrain ungalisikia
Hizo unazoongea ni propaganda
Mkuu Nguruvi3: Gaza inafanywa magofu....Hiyo Nguvu ya Iran iko wapi? Unasema Israel bila US haiwezi kusimama, Je Hamas bila msaada wa Iran inaweza kusimama....Nguruvi3 I always respect the way put your arguments kwenye mada nyingine, hili limekushinda!.
Tatizo bwana zako Hamas wanajificha kwa raiaView attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Na hili ni tatizo kubwa sana katika jamii yetuMimi nachojua siku hizi kigezo kimoja cha kuitwa gaidi lazima ujihusishe na uislamu au uwe muislamu kinyume na hivyo utaitwa tu jina lengine hata ufanye nini.
Tatizo bwana zako Hamas wanajificha kwa raia
Anakipata kwa Mmarekani na Muingereza na sasa ni NATO yote, kwani Waingereza na Wamarekani ndiyo walimtetea apewe ardhi Palestina na wameahidi kumlinda kwa lolote lile.View attachment 2851446
Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel
Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Kuna nyakati kuna mijadila isiyofurahisha 'uncomfortable' , ni lazima.
Kwa wengine ukweli unatuongoza si mihemuko ya kipuuzi kama ya udini.
Tunafuatilia habari hizi kwa undani kutoka vyanzo tofauti hivyo perspective yangu na yako ni tofauti.
We can agree to disagree lakini hatuwezi kuwa na disputes katika facts.
Ni kweli mabomu yaliyopigwa Gaza yameiguza magofu. Hii wanaita 'indiscrimite bombing' wakitumia mabomu yanayoitwa 'dumb bomb' waliyopewa na Marekani. Upo Mkataba wa kimataifa wa kutoyatumia kwasababu hayana 'precision' lakini Israel inayatumia ''with impunity'' kama unanielewa.
Marekani inakingia kifua Israel kwa namna zote, UN kwa kura ya Veto, Intelejensia na silaha vitani .
Katika 'war room' mipango ni CIA na Pentagon kwa kushirikiana na IDF na MOSAD
Ikiwa Israel ina nguvu za kijeshi na kiintelejensia kama tunavyoaminishwa, Marekani inafanya nini katika War room?
Tofautisha kati ya Hamas na Hezbollah. Pili, Gaza ipo chini ya Israel hakuna kinachoingia au kutoka bila Israel kujua.
Mabomu ya Hamas ni 'local made' ndiyo maana haya 'precision'.
Influence ya Iran kwa Hamas ni kupitia Hezbollah, hakuna msaada wa moja kwa moja kama ilivyo Israel kwa USA
USA ina Fleet Carriers mbili katika Bahari ya Mediterranean pwani ya Israel.
Meli zinatoa msaada wa intelejensia na vifaa kwa Israel. Inatosha kusema ni '' Marekani Vs Hamas '' kupitia Israel
Kwasasa kuna vita kaskazini kati ya Hezbollah na Israel. Hezebollah wanatumia zana kutoka Iran na zina precision ya hali ya juu, Israel imekiri.
Kwamba wiki kadhaa wameweza kupiga vituo vya mawasiliano vya Israel kwa uhakika wakikwepa ' Iron dome' inayotumika kuzuia makombora ya Hamas ya Katush. Wameingiza drone na zimerudi kutoka Israel
Tishio la Hezbollah limelazimu Israel kuita askari 350,000 wa akiba. Fikiri kwamba hili ni Taifa linalosadikika kuwa na nguvu na vifaa . Hii ina maana hali si njema na wanahofia mzozo ukisambaa Iran ikaingia Israel ina wakati mgumu . Wataweza kusaidiwa na Marekani lakini wenyewe hawawezi kusimama kidete na Iran
Eneo la Israel ni sababu nyingine ya kuwafanya wawe Vulnerable. Sijui kama unajua eneo leneyewe linaukaribu wa Bagamoyo, Dar, Pwani . Hivyo Kombora moja linakuwa tishio.
Iran ilipiga kombora kwa kambi ya Marekani baada ya kumuua kiongozi wao Iraq. Unajua nini kilitokea, mamia ya askari wa Marekani walipata 'concussion' na madhara mengine. Kombora hilo lituua Tel Aviv ni madhara tupu.
Nadhani nimekusaidia kuona picha kwa ukubwa wake na si kwa jicho la ' kukaririshwa, headlines, dini '' n.k.
Kwani hamasi wameshauawawa wangapi mpaka muda huu. Ukipata jibu hilo utaona wacha kichapo kiendeleeView attachment 2851446