Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Israeli ni taifa teule la Mungu.Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Wana nini sasa?Waarabu hawana teknolojia
MafutaWana nini sasa?
ImaniWana nini sasa?
Wana nini sasa?
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Upumbavu mtupu! Mungu bibi yako?]Israeli ni taifa teule la Mungu.

Mkuu una jambo lingine? Tena hili ni gazeti la Israel hiyo ni picha za ndege ya israel na Iran zikiwa zimetua sehemu moja zikileta misaada wakiwemo waokoaji. Nchi nyingi zimetuma misaada na waokoaji pia so ni kuamua wataka wewe kusoma na kusambaza taarifa gani
Safi sana mkuu,Nia ya mtoa hoja hii binafsi siijui, wewe unaongelea Iran, je Tanzania tumepeleka nini kusaidia wahanga au rambi rambi zimetosha?
Acha uongo au unataka hadi na wao wajipost mapicha kama bongo muviNimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Mbweha we! Unaandika andika bila ushahidi bwege we! Hawa ni nani? Bibi zako?Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Punguza unafikiNimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Wana fake news na primitive mythologiesWana nini sasa?