Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Mwafrika ni mtu wa ajabu sana. Sasa hapo ukiulizwa sababu kuu ya kukufanya uwachukie Israelites ni nini, utakuta huna sababu za msingi zaidi ya mafundisho ya kijinga ya hizi dini zenu za kijinga kijinga za kukaririshwa na waarabu au wazungu.

Hopeless Africans.
Rabi mkuu wa Israel alisema Weusi ni manyani na wanapaswa Kuwa watumwa hii sio sababu ya kuwachukia? Aliwatuhumu watu weusi kusababisha majanga ya Vimbunga Usa hili nalo si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanateswa kila siku Israel si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanahasiwa ili wasizae na weupe huko israel si sababu ya kuchukia?

Kifupi kwa Mtu wa Africa kuwapenda israel ni ajabu kuliko Mu Africa kumchukia.

 
View attachment 2511846
Mkuu una jambo lingine? Tena hili ni gazeti la Israel hiyo ni picha za ndege ya israel na Iran zikiwa zimetua sehemu moja zikileta misaada wakiwemo waokoaji. Nchi nyingi zimetuma misaada na waokoaji pia so ni kuamua wataka wewe kusoma na kusambaza taarifa gani
Huyo mtoa mada ndio wale walio potezwa na Paulo, nchi za kiarabu zote karibu zimepeleka msada
 
Rabi mkuu wa Israel alisema Weusi ni manyani na wanapaswa Kuwa watumwa hii sio sababu ya kuwachukia? Aliwatuhumu watu weusi kusababisha majanga ya Vimbunga Usa hili nalo si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanateswa kila siku Israel si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanahasiwa ili wasizae na weupe huko israel si sababu ya kuchukia?

Kifupi kwa Mtu wa Africa kuwapenda israel ni ajabu kuliko Mu Africa kumchukia.

Bakini kwenye nchi zenu muendeleze mazingira yawe mazuri kama huko mnakokimbilia, sio kupenda kukimbilia kwenye mataifa ya wenzetu walio toil kuyafikisha hapo yalipo leo halafu mnajiliza kutopendwa.

Mind u ukiwa resourcesful hakuna sehemu yoyote utakayosumbuliwa duniani.
 
Kwani israel huwa wanawalipa kuwatangaza?mmewatumia kwa bibilia sasa mnawaabudu waziwazi.
 
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.

But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?

Baniani mbaya kiatu chake dawa.

View attachment 2511836View attachment 2511837
Nchi ya kwanza kufika uturuki kutoa msaada ni Russia, ikafiatia iran, kisha Israel,, timu ya israel imewakuta warusi na iran washafika,
Pia lebanon, UAE, jordan, iraq, iran, russia wanaokoa pia Syria, wazungu wamezira,, Israel alikataliwa kutoa msaada Syria
 
Jeshi lenye weledi wa hali ya juu zaidi duniani. Sijui hawa wenye vitambi wataaminiwa lini na wapi hapa duniani!!!?
bed3f1d34a1c7ed099994754a9067232(1).png

Baada ya kupata kichapo cha hizb😂😂🙆‍♀️
 
Upumbavu mtupu! Mungu bibi yako?]
Chief kama itakupendeza hiyo kauli tafuta kauli nyengine m'badala uitumie ili uweze kuendana na jamii iliyostaarabika.

Leo tu ni zaidi ya mara sita nakutana na post zako ulizotanguliza hilo neno,na kimantiki halina maana yoyote unamtukana mtu usiyemjua inakuingia akilini?
 
Huwa napata FURAHA SANA kuona nchi za wazungu&waarabu zikipata majanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo kwa mujibu wenu ni vibaya maana wafadhiri wenu wanafanya uchumi unayumba mpka huku dunia ya3.

Najiuliza hiv hayo yangetokea huku Africa hao watu mngeona hata chembe ya misaada?? Ni majanga makubwa yanatokea afrika lkn hakuna Push up ya media wala misaada ya maana zaidi zaid kufunikwa ili ionekane hakuna linalotokea.

Acha wafe na wazikane, Africa kuna mambo mengi ya kufanya, chaajabu kuna Viongozi washenzi kutoka afrika utawaona eti wakijifanya kutoa michango ya misaada, hao hawafai kusaidiwa zaidi ya kupewa pole inatosha, Congo, burundi, msumbiji, sudani, somalia, huku maisha yanatisha mauwaji kila muda, njaa ya kutisha na magonjwa yanamaliza wamama kwa watoto and no one care hakuna media wala Nchi inayofanya la maana zaid ya kutangazia kwa mabaya tu, huo moyo wa kuwasaidia hao wazungu na kuwaacha ndugu zenu Africa mnaupata wapi huo moyo wa kishetani?

Acha wafe, ikiwezekana wazikane wote majanga yasafishe race zote zisizo na maana dunian
 
Umemuumbua kweli kweli, jana niliangalia taarifa kupitia Star TV na BBC dira ya dunia; walionyesha misaada ya Iraq na nchi fulani nimeisahau...

Ila hii mioyo hii na nafsi hizi..........ACHA TU!
Huyo ana chuki zimemkaa kwenye lila kiungo.
 
Yaani ww una haki ya kuwachukia Waarabu na waislam bila sababu ila mm sina haki ya kuichukia Israel?

Alafu kwenye maelezo yangu kuna sehemu yeyote nimeandika kuwa naichukia Israel?

Niichukie Israel kwa sababu zipi ?

Kwanza kabla ya kuhoji kwann naichukia Israel na ww niambie ni kwann unawachukia Waarabu na waislam walisha kufanyia nini au walisha kuharibia nn?

Kwa hiyo ww ulitaka tuache huyo mpumbavu mwenzio apotoshe watu atizamwe tu?
Israel katuma waokoaji 150 tu wakati nchi kama Iran imetuma zaidi ya waokoaji 500 na shehena na madawa kwa hiyo hapo ni nani aliye peleka msaada mkubwa zaidi ya mwenzie?
Acha uzwazwa.
Yeye kila kitu anakigeuza bibilia.
 
Back
Top Bottom