Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Waarabu Msaada Zero,, umemsahau Wakati wa Vita vya vyao Huko walikimbia wahanga wa Vita
Tofauti ni kwamba waarabu hawajitangazi, Ka nchi kadogo tu kama kuwait ambako ni size ya Wilaya ya Tanzania ila kanasaidia Africa kwa Matrilioni, tunauana huku Ma alibino misaada inatoka Kuwait, wametujengenea barabara kibao, Hospitali etc.

Hii link Nchi nyingi za Kiarabu zimepeleka misaada

Wananchi tu Wa Saudia wamejichanga wenyewe zaidi ya Bilioni 10 wamepeleka hela zao mfukoni bado Serikali yao ambayo imepeleka kikosi cha Uokozi.
 
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.

But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?

Baniani mbaya kiatu chake dawa.

View attachment 2511836View attachment 2511837
Mrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
 
Mrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
Na bado wengine wanapeleka moto ukraine
Screenshot_20230209-203223_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230209-203250_Samsung Internet.jpg
 
Kwa hiyo wakipeleka waje wakutangazie ?

Kwanza kabla ya kuhoji misaada ya Waarabu kwanini usihoji waafrika wenzako wamepeleka msaada gani mpaka sasa,au nyinyi waafrika ndo mna haki ya kusaidiwa ila nyinyi hamtakiwi kusaidia wengine?

Hata hivyo ukiangalia kwenye orodha ya nchi zilizo toa masaada Israel imetoa msaada mdogo sana ukilinganisha na wengine, nchi ambazo zimetoa misaada mkubwa mpaka sasa ni Urusi, Ujerumani, na Iran.

Iran unayo isema mpaka sasa imesha peleka kikosi cha uokozi cha wamajeshi miatano nchini Syria na Uturuki, imesha peleka shehena nne za madawa na buranket kwa ajili ya kujikinga na baridi.
 
WAARABU WEUSI WAJUKUU WA MUDY,MASALIA TOKA MACCA WAMEMSHUKIA MTOA MADA KAMA MVUA😜😜😜
 
Kwa hiyo wakipeleka waje wakutangazie ?

Kwanza kabla ya kuhoji misaada ya Waarabu kwanini usihoji waafrika wenzako wamepeleka msaada gani mpaka sasa,au nyinyi waafrika ndo mna haki ya kusaidiwa ila nyinyi hamtakiwi kusaidia wengine?

Hata hivyo ukiangalia kwenye orodha ya nchi zilizo toa masaada Israel imetoa msaada mdogo sana ukilinganisha na wengine, nchi ambazo zimetoa misaada mkubwa mpaka sasa ni Urusi, Ujerumani, na Iran.

Iran unayo isema mpaka sasa imesha peleka kikosi cha uokozi cha wamajeshi miatano nchini Syria na Uturuki, imesha peleka shehena nne za madawa na buranket kwa ajili ya kujikinga na baridi.
Buranket
 
Back
Top Bottom