WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Mungu wa IBRAHIM,ISAKA NA YAKOBO.Mungu yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wa IBRAHIM,ISAKA NA YAKOBO.Mungu yupi?
Zaman sana mrusi kashafika pande zote mbili Syria na UturukMrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
Yaani ww una haki ya kuwachukia Waarabu na waislam bila sababu ila mm sina haki ya kuichukia Israel?Mwafrika ni mtu wa ajabu sana. Sasa hapo ukiulizwa sababu kuu ya kukufanya uwachukie Israelites ni nini, utakuta huna sababu za msingi zaidi ya mafundisho ya kijinga ya hizi dini zenu za kijinga kijinga za kukaririshwa na waarabu au wazungu.
Hopeless Africans.
Jitu zima hovyo.Mpuuzi mwenyewe, kenge wewe.
Mrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
Mrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
Wewe umetoa dolali ngapi? unataka sema unateknolojia ya kuizidi Iran?Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Onesha mahali niliweka maneno ya chuki kwa waarabu.Yaani ww una haki ya kuwachukia Waarabu na waislam bila sababu ila mm sina haki ya kuichukia Israel?
Alafu kwenye maelezo yangu kuna sehemu yeyote nimeandika kuwa naichukia Israel?
Niichukie Israel kwa sababu zipi ?
Kwanza kabla ya kuhoji kwann naichukia Israel na ww niambie ni kwann unawachukia Waarabu na waislam walisha kufanyia nini au walisha kuharibia nn?
Kwa hiyo ww ulitaka tuache huyo mpumbavu mwenzio apotoshe watu atizamwe tu?
Israel katuma waokoaji 150 tu wakati nchi kama Iran imetuma zaidi ya waokoaji 500 na shehena na madawa kwa hiyo hapo ni nani aliye peleka msaada mkubwa zaidi ya mwenzie?
Acha uzwazwa.
Nimeona.Zaman sana mrusi kashafika pande zote mbili Syria na Uturuk
Hawapo hata Kati ya majeshi Bora kumi Bora.Jeshi lenye weledi wa hali ya juu zaidi duniani. Sijui hawa wenye vitambi wataaminiwa lini na wapi hapa duniani!!!?
Acha kukurupuka.Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan et al. Mnajisahau wapi ndugu zanguni?
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
View attachment 2511836View attachment 2511837
Hiyo research yako umefanya wapi ukajua hayo?Waarabu hawana teknolojia
Tuliza kipago dogo.
Teule la kuua watu hususani wanawake na watoto.Israeli ni taifa teule la Mungu.
Huyu mpuuzi Komeo Lachuma lengo la uzi wake ni kuanzisha chochoko na kejeli za kidini na nyuzi zake nyingi zimekaa hivyo huku akijinasibu kuwa yeye ni Muislamu ,bahati nzuri uzi umemlipukia ameumbuka vibaya kea kuleta taarifa uongo ..Tuishie kusema hivi katika dunia hii ya utandawazi usijaribu kudanganya utaumbuka vibaya sana
Embu ona sasa thread yko inavokuaibisha kwa chuki zako za kijinga
Hao wanawake na watoto ndiyo waliyopeleka msaada wa uokozi Uturuki hongera zao.Teule la kuua watu hususani wanawake na watoto.
Kwakweli nilicho jifunza humu JAMIIFORUM watu walio wengi au percentage kubwa ya members humu wana matatizo makuu mawili la kwanza ni UFUKARA na pili ni GENERAL KNOWLEDGE ya maisha yanayo mzunguka kwahiyo kuwa na CHUKI isiye kuwa na sababu ni lazima unayo.Huyu mpuuzi Komeo Lachuma lengo la uzi wake ni kuanzisha chochoko na kejeli za kidini na nyuzi zake nyingi zimekaa hivyo huku akijinasibu kuwa yeye ni Muislamu ,bahati nzuri uzi umemlipukia ameumbuka vibaya kea kuleta taarifa uongo ..
Naww onesha kwenye mahali nimeweka maneno kuwa naichukia Israel.Onesha mahali niliweka maneno ya chuki kwa waarabu.
Usibwabwaje maneno kama LQGBT.
Halafu jifunze historia , Iranians are not Arabs. Pussy wewe.