Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Waarabu Msaada Zero,, umemsahau Wakati wa Vita vya vyao Huko walikimbia wahanga wa Vita
Tofauti ni kwamba waarabu hawajitangazi, Ka nchi kadogo tu kama kuwait ambako ni size ya Wilaya ya Tanzania ila kanasaidia Africa kwa Matrilioni, tunauana huku Ma alibino misaada inatoka Kuwait, wametujengenea barabara kibao, Hospitali etc.

Hii link Nchi nyingi za Kiarabu zimepeleka misaada


Wananchi tu Wa Saudia wamejichanga wenyewe zaidi ya Bilioni 10 wamepeleka hela zao mfukoni bado Serikali yao ambayo imepeleka kikosi cha Uokozi.
 
Mrusi si ni superpower , anasubiri nini kwenda kutoa msaada kwa jirani yake ?
 
Kwa hiyo wakipeleka waje wakutangazie ?

Kwanza kabla ya kuhoji misaada ya Waarabu kwanini usihoji waafrika wenzako wamepeleka msaada gani mpaka sasa,au nyinyi waafrika ndo mna haki ya kusaidiwa ila nyinyi hamtakiwi kusaidia wengine?

Hata hivyo ukiangalia kwenye orodha ya nchi zilizo toa masaada Israel imetoa msaada mdogo sana ukilinganisha na wengine, nchi ambazo zimetoa misaada mkubwa mpaka sasa ni Urusi, Ujerumani, na Iran.

Iran unayo isema mpaka sasa imesha peleka kikosi cha uokozi cha wamajeshi miatano nchini Syria na Uturuki, imesha peleka shehena nne za madawa na buranket kwa ajili ya kujikinga na baridi.
 
WAARABU WEUSI WAJUKUU WA MUDY,MASALIA TOKA MACCA WAMEMSHUKIA MTOA MADA KAMA MVUA😜😜😜
 
Buranket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…