Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Yaani ww una haki ya kuwachukia Waarabu na waislam bila sababu ila mm sina haki ya kuichukia Israel?

Alafu kwenye maelezo yangu kuna sehemu yeyote nimeandika kuwa naichukia Israel?

Niichukie Israel kwa sababu zipi ?

Kwanza kabla ya kuhoji kwann naichukia Israel na ww niambie ni kwann unawachukia Waarabu na waislam walisha kufanyia nini au walisha kuharibia nn?

Kwa hiyo ww ulitaka tuache huyo mpumbavu mwenzio apotoshe watu atizamwe tu?
Israel katuma waokoaji 150 tu wakati nchi kama Iran imetuma zaidi ya waokoaji 500 na shehena na madawa kwa hiyo hapo ni nani aliye peleka msaada mkubwa zaidi ya mwenzie?
Acha uzwazwa.
 
Wewe umetoa dolali ngapi? unataka sema unateknolojia ya kuizidi Iran?
Haujui Ibrahim alitokea nchi ya Irani, kabla ya kuamuliwa kwenda atakapomuonesha Mungu?
 
Onesha mahali niliweka maneno ya chuki kwa waarabu.

Usibwabwaje maneno kama LQGBT.

Halafu jifunze historia , Iranians are not Arabs. Pussy wewe.
 
Acha kukurupuka.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tuishie kusema hivi katika dunia hii ya utandawazi usijaribu kudanganya utaumbuka vibaya sana
Embu ona sasa thread yko inavokuaibisha kwa chuki zako za kijinga
Huyu mpuuzi Komeo Lachuma lengo la uzi wake ni kuanzisha chochoko na kejeli za kidini na nyuzi zake nyingi zimekaa hivyo huku akijinasibu kuwa yeye ni Muislamu ,bahati nzuri uzi umemlipukia ameumbuka vibaya kea kuleta taarifa uongo ..
 
Huyu mpuuzi Komeo Lachuma lengo la uzi wake ni kuanzisha chochoko na kejeli za kidini na nyuzi zake nyingi zimekaa hivyo huku akijinasibu kuwa yeye ni Muislamu ,bahati nzuri uzi umemlipukia ameumbuka vibaya kea kuleta taarifa uongo ..
Kwakweli nilicho jifunza humu JAMIIFORUM watu walio wengi au percentage kubwa ya members humu wana matatizo makuu mawili la kwanza ni UFUKARA na pili ni GENERAL KNOWLEDGE ya maisha yanayo mzunguka kwahiyo kuwa na CHUKI isiye kuwa na sababu ni lazima unayo.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Onesha mahali niliweka maneno ya chuki kwa waarabu.

Usibwabwaje maneno kama LQGBT.

Halafu jifunze historia , Iranians are not Arabs. Pussy wewe.
Naww onesha kwenye mahali nimeweka maneno kuwa naichukia Israel.

Jitu zima hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…