Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

Rabi mkuu wa Israel alisema Weusi ni manyani na wanapaswa Kuwa watumwa hii sio sababu ya kuwachukia? Aliwatuhumu watu weusi kusababisha majanga ya Vimbunga Usa hili nalo si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanateswa kila siku Israel si sababu ya kuwachukia? Watu weusi wanahasiwa ili wasizae na weupe huko israel si sababu ya kuchukia?

Kifupi kwa Mtu wa Africa kuwapenda israel ni ajabu kuliko Mu Africa kumchukia.

 
Huyo mtoa mada ndio wale walio potezwa na Paulo, nchi za kiarabu zote karibu zimepeleka msada
 
Bakini kwenye nchi zenu muendeleze mazingira yawe mazuri kama huko mnakokimbilia, sio kupenda kukimbilia kwenye mataifa ya wenzetu walio toil kuyafikisha hapo yalipo leo halafu mnajiliza kutopendwa.

Mind u ukiwa resourcesful hakuna sehemu yoyote utakayosumbuliwa duniani.
 
Kwani israel huwa wanawalipa kuwatangaza?mmewatumia kwa bibilia sasa mnawaabudu waziwazi.
 
Nchi ya kwanza kufika uturuki kutoa msaada ni Russia, ikafiatia iran, kisha Israel,, timu ya israel imewakuta warusi na iran washafika,
Pia lebanon, UAE, jordan, iraq, iran, russia wanaokoa pia Syria, wazungu wamezira,, Israel alikataliwa kutoa msaada Syria
 
Upumbavu mtupu! Mungu bibi yako?]
Chief kama itakupendeza hiyo kauli tafuta kauli nyengine m'badala uitumie ili uweze kuendana na jamii iliyostaarabika.

Leo tu ni zaidi ya mara sita nakutana na post zako ulizotanguliza hilo neno,na kimantiki halina maana yoyote unamtukana mtu usiyemjua inakuingia akilini?
 
Huwa napata FURAHA SANA kuona nchi za wazungu&waarabu zikipata majanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo kwa mujibu wenu ni vibaya maana wafadhiri wenu wanafanya uchumi unayumba mpka huku dunia ya3.

Najiuliza hiv hayo yangetokea huku Africa hao watu mngeona hata chembe ya misaada?? Ni majanga makubwa yanatokea afrika lkn hakuna Push up ya media wala misaada ya maana zaidi zaid kufunikwa ili ionekane hakuna linalotokea.

Acha wafe na wazikane, Africa kuna mambo mengi ya kufanya, chaajabu kuna Viongozi washenzi kutoka afrika utawaona eti wakijifanya kutoa michango ya misaada, hao hawafai kusaidiwa zaidi ya kupewa pole inatosha, Congo, burundi, msumbiji, sudani, somalia, huku maisha yanatisha mauwaji kila muda, njaa ya kutisha na magonjwa yanamaliza wamama kwa watoto and no one care hakuna media wala Nchi inayofanya la maana zaid ya kutangazia kwa mabaya tu, huo moyo wa kuwasaidia hao wazungu na kuwaacha ndugu zenu Africa mnaupata wapi huo moyo wa kishetani?

Acha wafe, ikiwezekana wazikane wote majanga yasafishe race zote zisizo na maana dunian
 
Umemuumbua kweli kweli, jana niliangalia taarifa kupitia Star TV na BBC dira ya dunia; walionyesha misaada ya Iraq na nchi fulani nimeisahau...

Ila hii mioyo hii na nafsi hizi..........ACHA TU!
Huyo ana chuki zimemkaa kwenye lila kiungo.
 
Yeye kila kitu anakigeuza bibilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…