Ndio watoe kafara raia wake 1000 huku wengine 150+ wakiwa mateka ?..... anyway huenda upo sahihi.Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Nilitaka kushangaa yaani wasipate taarifa kabisaaa?? Ahsante sana kwa kutujuza kutokea hapo Tel Aviv ya Buza yalipo Makao Makuu ya MossadHii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Probably hawakujua extent ya hiyo "kafara" lakini imekidhi malengo yao ya kuangamiza Palestine. Ndiyo Misri inakataa kuruhusu wakimbizi waingie kwao. Wapalestine watakuwa wamefutwa Gaza na kwinginekoNdio watoe kafara raia wake 1000 huku wengine 150+ wakiwa mateka ?..... anyway huenda upo sahihi.
900Una elimu Gani mkuu
Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Ficha ujinga wako unajitia aibu hizi hoja zako peleka vijiweni huko buzaHii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Mmoja are TAIFA LIPONE! [emoji123]Una elimu Gani mkuu
Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Kwahio wamekua wakinga wanatoa kwanza kafara.... Kama huu ndo ujasusi basi mafi matupuHii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Makundi yanayomtamani muisraeli hayapo gaza tu,,, hapo pia wakiendelea wanaweza kuwapa sababu na wengine wapembeni kulipa kisasi mwisho wa siku hapatakalika kote...., hapo ni Hamas tu, bado hezbollah na bado Houthi, unaweza ukasema pia Hamas kajitoa muhanga kuwapa sababu wengine pia....... jamaa kawaonyesha tu ubovu wa myahudi ulipo hata kama atachezea kichapo,,, ukitoa zile iron dome israel ni ndogo sana kusambaratishwa na makombora haichukui muda mwingiProbably hawakujua extent ya hiyo "kafara" lakini imekidhi malengo yao ya kuangamiza Palestine. Ndiyo Misri inakataa kuruhusu wakimbizi waingie kwao. Wapalestine watakuwa wamefutwa Gaza na kwingineko
Acha kujifariji walikua hawana taarifa yoyoteHii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Askari 154 Raia 900Una elimu Gani mkuu