Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
 
Ndio watoe kafara raia wake 1000 huku wengine 150+ wakiwa mateka ?..... anyway huenda upo sahihi.
 
Nilitaka kushangaa yaani wasipate taarifa kabisaaa?? Ahsante sana kwa kutujuza kutokea hapo Tel Aviv ya Buza yalipo Makao Makuu ya Mossad
 
Ndio watoe kafara raia wake 1000 huku wengine 150+ wakiwa mateka ?..... anyway huenda upo sahihi.
Probably hawakujua extent ya hiyo "kafara" lakini imekidhi malengo yao ya kuangamiza Palestine. Ndiyo Misri inakataa kuruhusu wakimbizi waingie kwao. Wapalestine watakuwa wamefutwa Gaza na kwingineko
 
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Ficha ujinga wako unajitia aibu hizi hoja zako peleka vijiweni huko buza
 
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Kwahio wamekua wakinga wanatoa kwanza kafara.... Kama huu ndo ujasusi basi mafi matupu
 
Probably hawakujua extent ya hiyo "kafara" lakini imekidhi malengo yao ya kuangamiza Palestine. Ndiyo Misri inakataa kuruhusu wakimbizi waingie kwao. Wapalestine watakuwa wamefutwa Gaza na kwingineko
Makundi yanayomtamani muisraeli hayapo gaza tu,,, hapo pia wakiendelea wanaweza kuwapa sababu na wengine wapembeni kulipa kisasi mwisho wa siku hapatakalika kote...., hapo ni Hamas tu, bado hezbollah na bado Houthi, unaweza ukasema pia Hamas kajitoa muhanga kuwapa sababu wengine pia....... jamaa kawaonyesha tu ubovu wa myahudi ulipo hata kama atachezea kichapo,,, ukitoa zile iron dome israel ni ndogo sana kusambaratishwa na makombora haichukui muda mwingi
 
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.

Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.

Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.

Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.
Acha kujifariji walikua hawana taarifa yoyote
 
Kwa upande wangu wawe walijua au hawakujua, najua neno moja kwamba Israel imetangaza vita na askari wake wa akiba wameitwa. Kelele zote hizi za Palestina tunasema "BADO HUJASEMA" kwa maana ndo kwanza jua limezama na giza halisi linakuja. Wakijua kuyakoroga, wawe tayari kuyanywa pia.
 
Back
Top Bottom