Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda kufanywa kwa kisingizio kwamba walichokozwa kitu ambacho kilikuwa ndani ya uwezo kuzuia.
Ndiyo maana kuna kelele nyingi eti wana haki ya kujilinda.