Ukilia bakora zinahusika na hata ukikaa kimya bado bakora utazila tu...si ulichokoza mwenyew?Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi
Maandamano yanasaidia nn?Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
sema tu inamalizia kusafisha ghaza kisha waanze ujenzi wa makazi mapya ya walowezi na makambi ya ya kijeshi ya marekani na UK.Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Maneno mengi ya nini si uende ukapigane kwani mbali mashariki ya kati?? Si bado wanarusha rocketi inatakiwa wabondwe mpaka wasagike hata wasibaki chembe chembe.....unataka shida zao wewe uzibebe basi beba hapo sudani wale sio waislam mbona upazi sauti au wale hawataki kuishi kama wewe muislam fake?.......kwanza aliyezuia maandamano tanzania jina lake atalikuta peponi yaani tuandamane huku wameteka watanzania na kuwaua bila sababu yeyote kweli eti free Palestine huo mbona unafiki badala ya kusema free Tanzanian people.........ambao hawakuwa na hatia kabisa au sababu sio waislam kama wewe janja wed ?? Unajua wale watanzania walikuwa na ndoto kiasi gani ? Unajua wazazi wao waliwekeza kiasi gani ?? Hata wafe wapalestina 1,000,000 hawawezi kufikia thamani ya wantanzania wale wawili waliopotea ..............wale wangekuja kuwa msaada kwa taifa letu kwenye masuala ya kilimo kwa faida yetu lakini wale magaidi wameua ndoto ya watu wale na wategemezi wao likiwamo taifa la Tanzania.............HAMAS KUFENI TU UKU MKISHINDILIWA NA MIZINGA YA MABOMU MIKUUUUUUUUUUUUUUUUUUNDUNI KWENUTuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Kwa haya mauaji yaliyofanyika Leo kwenye hii shule nimejikuta machozi yananitoka aisee hii ni zaidi ya mauaji ya kimbari... Israel wapunguze haya mauaji sasa maana sioni faida yeyote anapata hata hao mateka kama wamekufa bado haitasaidia kuuwa watotoAcha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
ulisema hawawez ingia Gaza , ss umebadili madaTuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Wacha Tanzania kuitisha hata raia wa Tanzania wametaka kufanya maandamano ya amani wamekatazwa.Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
hamas wanakimbia wanaachi waliwachagua kuwalindaAcha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
Wacha Tanzania kuitisha hata raia wa Tanzania wametaka kufanya maandamano ya amani wamekatazwa.