Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

HAMAS wanastahili wanachopata, mchuma janga hula na wakwao. Hao wamama wanaolia ndio wazazi wa hao vijana walio amua kuyatoa maisha yao kwa kuanzisha mashambulizi na nchi ambayo unajua huta shinda. Huo kama sio utahira ni nini? MCHUMA JANJA HULA NA WAKWAO
 
Katika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Ukilia bakora zinahusika na hata ukikaa kimya bado bakora utazila tu...si ulichokoza mwenyew?
 
Kwa maumivu tuliyo pata Kwa kuuwawa kwa kijana wetu asie na hatia ambae vita havimuhusu kabisa nikilinganisha na Ile video ya mwanamke wa ki Israel alie uwawa na kuvuliwa nguo akiwa amepakiwa kwenye pickup 🛻 uku Hamas na hao wanawake na watoto wakimtukuza Mungu Kwa Yale mauaji Kwa kusema Allah akubar

Now I do understand why Israel use air strikes

Israel do us one favor KILL EM ALL mazafanta
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi

Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Maandamano yanasaidia nn?
 
sema tu inamalizia kusafisha ghaza kisha waanze ujenzi wa makazi mapya ya walowezi na makambi ya ya kijeshi ya marekani na UK.
Eneo hilo halita itwa ghaza tena litabadlishwa jina mpaka kwenye ramani ya dunia...
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Maneno mengi ya nini si uende ukapigane kwani mbali mashariki ya kati?? Si bado wanarusha rocketi inatakiwa wabondwe mpaka wasagike hata wasibaki chembe chembe.....unataka shida zao wewe uzibebe basi beba hapo sudani wale sio waislam mbona upazi sauti au wale hawataki kuishi kama wewe muislam fake?.......kwanza aliyezuia maandamano tanzania jina lake atalikuta peponi yaani tuandamane huku wameteka watanzania na kuwaua bila sababu yeyote kweli eti free Palestine huo mbona unafiki badala ya kusema free Tanzanian people.........ambao hawakuwa na hatia kabisa au sababu sio waislam kama wewe janja wed ?? Unajua wale watanzania walikuwa na ndoto kiasi gani ? Unajua wazazi wao waliwekeza kiasi gani ?? Hata wafe wapalestina 1,000,000 hawawezi kufikia thamani ya wantanzania wale wawili waliopotea ..............wale wangekuja kuwa msaada kwa taifa letu kwenye masuala ya kilimo kwa faida yetu lakini wale magaidi wameua ndoto ya watu wale na wategemezi wao likiwamo taifa la Tanzania.............HAMAS KUFENI TU UKU MKISHINDILIWA NA MIZINGA YA MABOMU MIKUUUUUUUUUUUUUUUUUUNDUNI KWENU
 
Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
Kwa haya mauaji yaliyofanyika Leo kwenye hii shule nimejikuta machozi yananitoka aisee hii ni zaidi ya mauaji ya kimbari... Israel wapunguze haya mauaji sasa maana sioni faida yeyote anapata hata hao mateka kama wamekufa bado haitasaidia kuuwa watoto
 
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
ulisema hawawez ingia Gaza , ss umebadili mada
 
Wacha Tanzania kuitisha hata raia wa Tanzania wametaka kufanya maandamano ya amani wamekatazwa.

Tanzania tumeshatiwa nfukoni na mazayuni,

Mnafik yule alikuwa anajifanya kumpenda sana nyerere, cha ajabu, nyerere aliwatimua hapa mazayuni yeye akawarudisha wakati wa utawala wake.
 
Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
hamas wanakimbia wanaachi waliwachagua kuwalinda
 
Acheni kelele, wanaume wako kazini mnatapatapa kuwaharibia watu mood tu. Waache vita halafu wafanye nini wauze SEMBE? Hao HAMAS nawao wakawauwe wa Israel kwani hawajui waliko, au wanapigana na nani? Mara ohoo cese fire ,mara humanitarian aid, visingizio tu.
Piganeni, mpaka kieleweke muache kujilegeza legeza hapa.
Tanzania tuandamane ili iweje. Msituingize kwenye migogoro isiyo tuhusu.
 
Unajiita una nguvu za kijeshi duniani halafu unatandikwa na jamaa wamevaa flip flops na viatu vya adidas licha ya kusaidiwa na airfoce na misaada yote toka USA.

Hamas wanasema askari zaidi ya 3000 IDF wameliwa vichwa na Israel haijachukua hata miili, tanks zaidi ya 300 zimepigwa na gari zaidi ya 60 zimepigwa. Hizi ni habari ambazo IDF haitaki zitoke, ndicho chanzo askari wa IDF wanaamua kuingia misikitini na kurusha mabomu ya mikononi na kuua wasio na hatia.

Wachambuzi wakubwa kijeshi tena wamarekani wanasema Israel haiwezi pigana na Hamas face to face, na Israel imeshindwa vita, mtu kama Scott Ritter ambae ni former United States Marine Corps intelligence officer, mwanasiasa na alishiriki vita ya Iraq anasema Israel haina uwezo kupambana na Hamas.

video hii.

View: https://www.youtube.com/watch?v=PeaLnDprf7g&t=58s

Ona Sasa kama huyu mpumbavu anakwenda msikitini anarusha grenade, humo kuna wanawake , watoto, hakuna Hamas humo, hii video imelitia aibu sana jeshi la Israel, anaua watu msikitini ambao hawana hatia, ndio maana wachambuzi wanasema Israel vita imeshindwa,kila wakikutana na Hamas face to face wanatandikwa, video hii imepelekea IDF kumsimamisha huyu askari na hapo ni aibu kwa dunia baada ya dunia kuona video, isingeonekana wangemsifu askari huyo na kumpa cheo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=nkvXiyfHWIM

Israel hawaelewi wapige wapi, wanabahatisha ndio maana wanapiga shuleni, misikitini, hospitali n.k wamezidiwa intelejensia na Hamas, wamepigwa chenga. Hii ndio vita Gaza.
 
Back
Top Bottom