Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

Kwani bbc na cnn ni wakweli?
 
Hahahah kachanganyikiwa huyo jamaa Hamas inamtoa kamasi
Leo, tunashuhudia uharibifu kamili wa ISraeli wa hospitali muhimu zaidi ya vitanda 700 huko Gaza, Al Shifa Medical Complex. Ilianzishwa miaka 78 iliyopita wakati wa Mamlaka ya Uingereza, jina Shifa likimaanisha 'Nyumba ya Uponyaji'; sasa imegeuzwa kuwa 'Nyumba ya Kifo' na Israel na Marekani, iliyochomwa, kuharibiwa kabisa na kuwa kifusi na kugeuzwa kuwa makaburi ya wagonjwa, wahudumu wa afya, jamaa na wakimbizi. Ishara kubwa ya siasa zisizo na moyo, za kihuni za Israel za kukaliwa kwa mabavu na wakoloni kwa lengo la kuwaangamiza watu wa Palestina, taasisi zao za kijamii na maisha yao. Serikali za Marekani, Umoja wa Ulaya na Uingereza zimeaibishwa, zikishiriki katika kuunga mkono uhalifu wa kivita wa Israel na ukatili dhidi ya binadamu wote. Tazama kwa makini maeneo ya mauaji ya Shifa, usisahau kamwe mauaji ya halaiki ya Gaza, wahalifu, na mamlaka yaliyohusika! Dk Mads

View: https://x.com/drmadsgilbert/status/1774704992445731264?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Angalia wanafiki wenu hawa bila Al Jazeera dunia isingejua yote haya Shifaa Hospital imebakia vifusi lakini Marekani wanakataa kuwa hamna mauwaji hapo watawasiliana na Israel kujua zaidi🤣.


View: https://x.com/qudsnen/status/1774868927950061759?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ngiri ashapasuliwa?
 
Kama ni hivyo tumechelewa sana,, bbc nacho kifungiwe vp cnn ifungwe iachwe?
 
Hahahaha wewe punguani kweli wewe si ulikuwa unapinga kwenye uzi wangu baada kusoma nilichoandika umekuja kufungua uzi🤣🤣🤣
 
Chombo kinachoeneza propaganda za uongo dhidi ya Israeli lazima kipigwe ban..
u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…