Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

Acha wafungie tu, dunia yote inawajua "hawa watu sio watu hata wanyama wana afadhali"

🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸❤❤💪🏽
Kwa lipi? Uzuri tulijua kuwa Aljazeera ni waongo kufungiwa kwao wakajirekebishe waache Taqiyya
 
news za uongo wakati AJ yupo kwenye uwanja wa vita? Au kwa vile vyombo vingine vinawapendelea au vinamilikiwa na wao kwa hivyo hawatoi taarifa kama ilivyo?

Ndiyo hivyo hivyo hata Marekani wanataka kuban tiktok wanaogopa watu huwa wanasema ukweli kule bila ya kificho.
Ulishasikia Aljazeera wakitangaza Makamanda wa Hamas wameuliwa na IDF? Zaidi utasikia Israel kill many civilian including baby na woman... Hamas kuna wakati walisema Magaidi wao 6000 wamededishwa na IDF and aljazeera wanasema ni raia wameuliwa na IDF

Naomba report japo moja Aljazeera akitangaza Magaidi wameuwawa Gaza ikupe zawadi nzuri
 
Naomba news japo moja ya ukweli waliyotoa Aljazeera..
Kuuawa kwa civilians ni uongo?

Fuatilia aljazeera mubasher, aljazeera arabic utaona ukweli, na propaganda za wakina cnn na bbc
 
Back
Top Bottom