news za uongo wakati AJ yupo kwenye uwanja wa vita? Au kwa vile vyombo vingine vinawapendelea au vinamilikiwa na wao kwa hivyo hawatoi taarifa kama ilivyo?
Ndiyo hivyo hivyo hata Marekani wanataka kuban tiktok wanaogopa watu huwa wanasema ukweli kule bila ya kificho.