Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na kuifutilia mbali Hamas?
Pamoja na kusaidiwa kwa silaha, manuari, fedha na kaka zao NATO lakini wapi wameishia kuaibika na kidhihirisha kuwa hawana uwezo wowote zaidi ya propaganda za mainstream media na kelele za mazombie ya "taifa teule".
Leo hii Hamas wako Gaza wanashangilia juu ya pickups na mitutu juu.
Kwanza Gaza ni sehemu finyu sana na hao wahuni panya road wa Hamas wameweza kushikilia mateka mwaka na nusu huku Israel ikitumia mabilioni ya dollar kuua watoto na akina mama na kuharibu makazi na miundombinu bila kufanikiwa kukomboa mateka hata mmoja mpaka waje kusaidiwa na Qatar awabembeleze Hamas wawaachie mateka?
Mpaka tarehe 11 January Israel ilishatumia gharama ya zaidi ya Shekel billion 250 sawa na USD 67 billion sawa na Shillingi 169,504,037,000,000.00 za Kitanzania (Trillioni mia moja sitini na tisa na nusu +) bila kufanikiwa kwa chochote hapo Gaza.
Hamas wamechukua ushindi mkubwa sana hapo Gaza. Israel alichofanikiwa ni kuua wanawake na watoto tu hawana kingine chakujivunia.
Sasa tunamtaka 'Mentalnyau' ICC apigwe mvua zakutosha.
Nakala uipate myahudi wa Buza Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian
Ritz