Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

Facts nimeweka hapo. Kuwa

1. Israel kashindwa kuokoa mateka
2. Isreael wameshindwa kuimaliza Hamas
3. Israel wametumia dollar billion 67
4. Isreael walichofanikiwa kufanya Gaza ni kuua watoto na wanawake.
Wakati ukisema hichi ulichoandika

Ni lini Israel alikutangazia kuwa atawamaliza Hamas?

Alokwambia vita vya Israel na Hamasi agenda ya Israel ilikuwa ni kurudisha mateka, nani kasema?

Kuuwa watoto? Tangu lini bomu linachagua wa kumuuwa?

Kwa nini umeshindwa kuleta risti ya viongozi wakuu wa mahamasi waliouliwa na Jeshi la IDF?

Nikisema huo ni ushabiki wa kiitikadi nitakuwa nimekukosea adabu mkuu?

Mwisho, unadhani kile kimefanywa na Israel kule Gaza, kwa maoni yako, ungependa kiendelee?

Kama siyo roboti, nadhani utazungumza kibinadamu
 
Hebu tuambie basi lengo la IDF kushambulia Gaza ilikuwa ni nini kama sio kuokoa mateka na kuimaliza Hamas.

Mimi sijasema nataka kiendelee au kisiendelee hapa nasema kuwa Israel ameudhihirishia ulimwengu kuwa ni mwepesi sana
 
Nilidhani unamajibu ya hayo, kumbe huna, basi!
 
Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na kuifutilia mbali Hamas?

Pamoja na kusaidiwa kwa silaha, manuari, fedha na kaka zao NATO lakini wapi wameishia kuaibika na kidhihirisha kuwa hawana uwezo wowote zaidi ya propaganda za mainstream media na kelele za mazombie ya "taifa teule".

Leo hii Hamas wako Gaza wanashangilia juu ya pickups na mitutu juu.View attachment 3206235

Kwanza Gaza ni sehemu finyu sana na hao wahuni panya road wa Hamas wameweza kushikilia mateka mwaka na nusu huku Israel ikitumia mabilioni ya dollar kuua watoto na akina mama na kuharibu makazi na miundombinu bila kufanikiwa kukomboa mateka hata mmoja mpaka waje kusaidiwa na Qatar awabembeleze Hamas wawaachie mateka?

Mpaka tarehe 11 January Israel ilishatumia gharama ya zaidi ya Shekel billion 250 sawa na USD 67 billion sawa na Shillingi 169,504,037,000,000.00 za Kitanzania (Trillioni mia moja sitini na tisa na nusu +) bila kufanikiwa kwa chochote hapo Gaza.

Hamas wamechukua ushindi mkubwa sana hapo Gaza. Israel alichofanikiwa ni kuua wanawake na watoto tu hawana kingine chakujivunia.

Sasa tunamtaka 'Mentalnyau' ICC apigwe mvua zakutosha.

Nakala uipate myahudi wa Buza Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian

Ritz
Let me guess,you are a muslim right?
 
Nasrallah ni mtoto na Haniyeh ni mmama eti?
Okay sawa!
Hapa ongea facts. Gharama alizotumia Israel, muda aliotumia, msaada aliotumia na outocome ya mauaji ya Gaza vinaendana?

Je lengo la IDF kushambulia Gaza ilikuwa kwenda kuua watoto na wamama? Maana ndicho pekee walichoweza.
 
Unatia aibu ukiwa msikiti gani?
uko sahihi wale wanamgambo wa Hamas wako very disciplined and very organized and highly motivated to fight ZIONIST brutal occupation, halafu hawapati msaada wowote rasmi kutoka nje wa silaha wala FEDHA wanatumia uzoefu tu , Mfano mabomu yale yale ambayo ISRAEL anayatupa Gaza ndo yale yale Hamas wanayaokota na kuipiga ISRAEL, Itoshe kusema ISRAEL ni jeshi la mashoga na mabwabwa tu sema linaungwa mkono na Mabepari, bila mabepari lisingekuepo
 
Kaufyata bwana wenu Iran kimyaaaa
 
Wakati ukisema hichi ulichoandika

Ni lini Israel alikutangazia kuwa atawamaliza Hamas?
Netanyahu kwa mdomo wake alisema vita havimalizi hadi Hamas waishe

Ushahidi

Leo wako wapi? Kaufyata.

Alokwambia vita vya Israel na Hamasi agenda ya Israel ilikuwa ni kurudisha mateka, nani kasema?
Netanyahu kwa mdomo wake alisema wanaenda Gaza kuokoa mateka na watarudi Israel nao

Ushahidi

Leo yako wapi? Kasanda.
Kuuwa watoto? Tangu lini bomu linachagua wa kumuuwa?

Kwa nini umeshindwa kuleta risti ya viongozi wakuu wa mahamasi waliouliwa na Jeshi la IDF?

Nikisema huo ni ushabiki wa kiitikadi nitakuwa nimekukosea adabu mkuu?

Mwisho, unadhani kile kimefanywa na Israel kule Gaza, kwa maoni yako, ungependa kiendelee?

Kama siyo roboti, nadhani utazungumza kibinadamu
So unaongea usichojua.
 
Wairan ingieni vitani wenyewe msitumie chambo.. Israel haichoki
 
Back
Top Bottom