Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa

Waislam huko Mecca na Madina

Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri

Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo mikononi mwao, nasi tuelekee zetu fanya ibada muhimu mwisho wa Mwaka Jerusalem, Nazareth, Galilaya, Bethlehemu na mlima Sayuni pia

Shaloom Israel na utukufu kwa Jehova katika Kristo Masihi wetu.

Kama Uzi haukuhusu pita kimya kimya.
 
Hivi unajua kama ni illegal kumtaja yesu Israel!?
Hivi unajua kuna baadhi ya makanisa yameanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na makazi ya wazayuni!??
Akili zako ziko makalioni au!?
 
Hiyo haibadilishi kwamba Yesu aliishi na kukaa Israel mpaka anapaa mbinguni. Yesu angekuwa akubaliki Israel maeneo yake ya makumbusho wangeyachoma moto siku nyingi.
 
Hiyo haibadilishi kwamba Yesu aliishi na kukaa Israel mpaka anapaa mbinguni. Yesu angekuwa akubaliki Israel maeneo yake ya makumbusho wangeyachoma moto siku nyingi
Yesu alipaa mbinguni!?

Yesu ni nanil,
Mbnguni ni wapi!?

How can we prove your statement !?
 
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa

Waislam huko Mecca na Madina

Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri

Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo mikononi mwao, nasi tuelekee zetu fanya ibada muhimu mwisho wa Mwaka Jerusalem, Nazareth, Galilaya, Bethlehemu na mlima Sayuni pia

Shaloom Israel na utukufu kwa Jehova katika Kristo Masihi wetu.

Kama Uzi haukuhusu pita kimya kimya.
Mji mtakatifu!?
 
Hawa ndio hawaelewi kbs kuwa anachokifanya myahudi si cha ukristo bali ni maandalizi ya kuja massih dajjal ambao wakristo wanamuita mpinga kristo ttz catholic imewaingiza sana cha kike na hamjui ya mbele kwa waislamu wenye kujua uislamu vzur wanalijua hili wakitoka Lebanon wataanzisha chokochoko misri then marhama au adhukan kama alivyoviita mtume muhammad s.a.w vitatokea vita ambavyo vitaua watu weng sana na Israel ataingia kwenye ivyo vita mwishoni kbs na atapata ushindi na kuwa super power ndip dajjal atajitokeza na wayahudi watampokea kwa iyo sisi waislamu tunajua kwa kipindi hiki taifa feki la Israel haliwezi kushindwa ili yaliyoandikwa juu ya wayahudi na kibri na uovu wao utumie na wengineo wenye kujiita kuwa baba yao wa Iman ni nabii Ibrahim a.s wapate mitihani kupitia kwa yahudi dajjal na gogu ambao ni u.k na u.s.a na nato nzima kwa iyo endeleeni kujidanganya kina petro
 
Hivi unajua kama ni illegal kumtaja yesu Israel!?
Hivi unajua kuna baadhi ya makanisa yameanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na makazi ya wazayuni!??
Akili zako ziko makalioni au!?
Kunywa maji upumzike ustaadhi, Israel kuna wakristo na wanamtaja Yesu Kristo vizuri tu na hata waislam wapo na wanamtaja Mudi. Hizo ni story za kujifariji kutoka madrasa
 
Kuna video na ushahidi kibao Israel ikivunja makanisa na kufanya vurugu kwa wakristo ndani ya Israel.
Naongea kitu kipo real na kikiwa na Ushahidi.
Siropoki kama wewe.
 
Mi naona unalopoka tu, ungepita kimya kimya Oustadhi. Halafu Oustadhi unawaza makalio muda wote
Kaa kimya kama hauna cha kuongea.
Yani bora hata waislam na misikiti inaheshimiwa kuliko ninyi wakristo na makanisa huko Israel.
Hutosikia waislam wakivamiwa ndani ya Israel,ila kila siku utasikia wakristo wamevamiwa kanisani jumapili kwenye ibada na wayahudi.
Embu soma ripoti kutoka Times of Israel.
Screenshot_2024-09-29-10-37-53-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-29-10-38-07-57_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-29-10-38-31-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa

Waislam huko Mecca na Madina

Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri

Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo mikononi mwao, nasi tuelekee zetu fanya ibada muhimu mwisho wa Mwaka Jerusalem, Nazareth, Galilaya, Bethlehemu na mlima Sayuni pia

Shaloom Israel na utukufu kwa Jehova katika Kristo Masihi wetu.

Kama Uzi haukuhusu pita kimya kimya.
Dini ya Mayahudi ni Judaism sio ukiristo, Yesu wanamtemea mate na kumtukana na kumwita mtoto wa zinaa, sasa wewe ni mkiristo usiyejielewa, na wakiristo wenzako tele washauliwa na kuhamishwa huko Yerusalem unakotaka kwenda. Unashabikia mazayuni huelewi chochote, ulimwengu mzima na hadi waizrail wenyewe wanaandamana kupinga unyama wa Netanyahu wewe huko gongolamboto unafurahia.
 
Waislamu akili zenu zimekaririshwa chuki tu kwa wakristo. Unajua kanisa la Nativity mahali ambapo panaaminika alizaliwa kristo Yesu. Kwa nini wayahudi walinde eneo hilo kama hawamuamini Yesu?
Wayahudi hawapalindi kisa Yesu hapo pimbi wewe.
Wao wanapapa heshima ya uyahudi sio ya ukristo.
Embu soma ripoti chini ya violence against christians mwaka jana na mwaka huu Israel.
Yani muislam anaheshimiwa kuliko mkristo hapo Israel.
Shida mkiambiwa ukweli mnakataa mnaona watu tunamezeshwa chuki.
Hilo ni gazeti ama chombo cha habari cha Israel.
Embu soma.
Screenshot_2024-09-29-10-37-53-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-29-10-38-07-57_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-29-10-38-31-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hivi unajua kama ni illegal kumtaja yesu Israel!?
Hivi unajua kuna baadhi ya makanisa yameanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na makazi ya wazayuni!??
Akili zako ziko makalioni au!?
HAIJALISHI NARUDIA TENA MARA KWA MARA BORA KUDHARAULIWA, KUTENGWA, KUBAGULIWA, KUTEMEWA MATE NA KUULIWA NA WAYAHUDI KWANI NI BARAKA KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI NI LAANA.

JESUS FIRST JESUS FOREVER

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU

JESUS IS GOD

HUNIAMBII KITU KUHUSU ISRAEL NA YESU
 
Tushakujua we ni mwana uliyeasi wa MONGOL GENGIS KHAN.
Nishakuzoea wewe hata uongee nini.
 
Oustadhi Makalio, ushawahi kusikia wamechinjwa huko?

Halafu Oustadhi Makalio Kuna west na East Jerusalem, huko East wanakaa watu gani wengi ambapo ni wafilsti

Halafu Oustadhi Makalio kwani kuna maeneo gani duniani wakristo hawashambuliwi, Marekani yenyewe kila siku wanashambuliwa na wanachama wenzako wa LGBTQ
 
Oustadhi Makalio, ushawahi kusikia wamechinjwa huko?

Halafu Oustadhi Makalio Kuna west na East Jerusalem, huko East wanakaa watu gani wengi ambapo ndio West bank

Halafu Oustadhi Makalio kwani kuna maeneo gani duniani wakristo hawashambuliwi, Marekani yenyewe kila siku wanashambuliwa na wanachama wenzako wa LGBTQ
Niletee ushahidi wa USA wakristo wakishambuliwa kwa sababu za kidini!?
Israel wakristo wanashambuliwa kwasababu za kidini.
Yani kiufupi wakristo hawapendwi.
Sasa NATAKA UNILETEE USHAHIDI WA USA WAKRISTO WAKISHAMBULIWA KWA SABABU YA KIDINI!?
Nahisi najadili na mlevi hapa ama kijana wa darasa la nne.
Wakristo popote pale walipo wanashambuliwa na wayahudi.
Kwanini husikii waislam wakishambuliwa kama waislam kwa sababu za kidini!?
Popote pale ndani ya Israel wakristo wanashambuliwa na wayahudi.
Wakristo wa bongo mna mavi kichwani.
 
Back
Top Bottom