Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mdogo wangu hawa wakristo wamepotezwa na zile new edition uliona wapi vitabu vya dini vina new edition 😄Wayahudi hawapalindi kisa Yesu hapo pimbi wewe.
Wao wanapapa heshima ya uyahudi sio ya ukristo.
Embu soma ripoti chini ya violence against christians mwaka jana na mwaka huu Israel.
Yani muislam anaheshimiwa kuliko mkristo hapo Israel.
Shida mkiambiwa ukweli mnakataa mnaona watu tunamezeshwa chuki.
Hilo ni gazeti ama chombo cha habari cha Israel.
Embu soma.View attachment 3110058View attachment 3110059View attachment 3110061
Nilisha wambia zamani Yahudi anamheshimu Muislam kuliko mkristo na bado wanabisha sababu ya ujinga wao.