Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

Yesu alipaa mbinguni!?

Yesu ni nanil,
Mbnguni ni wapi!?

How can we prove your statement !?
Acha ujinga na jiwe lenu la kimondo.......mbeya pale hata kurijali hawalijari sasa huko macca sijui mnatafuta nini??
 
Hivi unajua kama ni illegal kumtaja yesu Israel!?
Hivi unajua kuna baadhi ya makanisa yameanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na makazi ya wazayuni!??
Akili zako ziko makalioni au!?
Hao hawana akili kabisa ndugu yangu hata uwaelimishe vipi kuhusu Wayahudi na Ukristo hawaelewi.Wamelogwa hao !!
 
Acha watukanwe ila magaidi yatangulizwe kuzimu netanyahu piga magaidi yote sababu hayakuwezi god bless Israel 🤣🤣🤣🤣🤣
mungu yupi aibariki israel?
 
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa

Waislam huko Mecca na Madina

Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri

Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo mikononi mwao, nasi tuelekee zetu fanya ibada muhimu mwisho wa Mwaka Jerusalem, Nazareth, Galilaya, Bethlehemu na mlima Sayuni pia

Shaloom Israel na utukufu kwa Jehova katika Kristo Masihi wetu.

Kama Uzi haukuhusu pita kimya kimya.
 
Safisha safisha imeendelea na SASA MLIMA HERMON UPO CHINI YA TAIFA TEULE.

Ikipendeza iendelee mpaka huko IRAN iwe mkoa wa ISRAEL
 
Back
Top Bottom