Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kuvunja misikiti au makanisa ipo kila sehemu, kwani hapo Central Africa hawavunji!? Serikali ya Israel inatambua uwepo wa Ukristo na Wakristo na inawalinda kama raia wengine ao hizo propaganda za kishenzi sambazeni kwa wajinga. Israel kuna Wayahudi, Waislam na Wakristo na wote wana haki sawa, ndomana maeneo matakatifu ya Wakristo yamehifadhiwa na kulindwa kama yahifadhiwavyo maeneo ya Wayahudi na WaislamKuna video na ushahidi kibao Israel ikivunja makanisa na kufanya vurugu kwa wakristo ndani ya Israel.
Naongea kitu kipo real na kikiwa na Ushahidi.
Siropoki kama wewe.