Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

Mdogo wangu hawa wakristo wamepotezwa na zile new edition uliona wapi vitabu vya dini vina new edition 😄

Nilisha wambia zamani Yahudi anamheshimu Muislam kuliko mkristo na bado wanabisha sababu ya ujinga wao.
 
Netanyahu dunia tayari inamchukulia ni gaidi na tayari kwenye mahakama ya kimataifa ana warrant ya kukamatwa
Dunia ya msikitini ndio inamchukulia gaidi ila sio sisi christians na yahudi tunamuona netanyahu ni shujaaa wetu anayaua magaidi vibaya sanaaaaa
 
Acha kudanganya watu hapa
Netanyahu mwenyewe kwenye hotuba zake angeacha kumtaja basi
Huyo lazima amtaje na ku quote bible ili apewe msada na wakristo 😄 Siasa kitu kibaya sio kila ukisemacho ni kweli. Kama vile US anajidai hauhusiki kabisa kwenye vita baina ya Israel na Hamas, Hezbullah na Yemen wakati anawapa silaha Israel za kila aina. Ndege zake zinapiga Gaza, Lebanon na Yemen afu anajidai hashiriki. Kwanini Carriers zake ziko hapo Middle East kama hashiriki vita.

Afu ajabu huyo US anakataza eti Korea na Iran kumpa silaha Mrusi anzacwe kwanza kumbyima Israel silaha na Ukraine 😄
 
Mdogo wangu hawa wakristo wamepotezwa na zile new edition uliona wapi vitabu vya dini vina new edition 😄

Nilisha wambia zamani Yahudi anamheshimu Muislam kuliko mkristo na bado wanabisha sababu ya ujinga wao.
Yaani bado hamjasema yahudi piga magaidi hayo ua mpaka kizazi Cha magaidi
 
Kwani USA akihusika magaidi kuchezea kichapo Kuna ubaya sisi tunataka magaidi yauwawe viva netanyahu
 
Hivi unajua kama ni illegal kumtaja yesu Israel!?
Hivi unajua kuna baadhi ya makanisa yameanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na makazi ya wazayuni!??
Akili zako ziko makalioni au!?
Acha uzushi wakristo kila mwaka wanaenda hijja Israel halafu unadanganya ni marufuku. Wakristo ndiyo wafadhili wa wayahudi na ndiyo wamewarudisha wayahudi ktk nchi ya mababu zao, eti wawafukuze tena! Makanisa yaliyopigwa ni yale magaidi wa hamas waliyojifichia kama kawaida yao.
 
Kwani USA akihusika magaidi kuchezea kichapo Kuna ubaya sisi tunataka magaidi yauwawe viva netanyahu
Wajukuu wa shetani mtakatifu mnakazi kweli mnadhani Uislam mtaushinda kwa maboom ya MK84, for your information mwili wa Nasurlah wala haukuguswa na ilo boom mnalo lisifia. Kafa kwa chemical walizo zipiga pale.
 
Wajukuu wa shetani mtakatifu mnakazi kweli mnadhani Uislam mtaushinda kwa maboom ya mk84 for your information mwili wa Nasurlah wala haukuguswa na ilo boom mnalo lisifia kafa kwa chemical walizo zipiga pale.
Kobazi hoi magaidi yanafukiwa Kila siku USA yupo na tunapenda sana kazi ya netanyahu kuua magaidi uzuri netanyahu aongei mdomoni ni vitendo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hija ya mashoga labda. Mnaenda hiji wapi ziko wapi dalili kwenye bibilia Israel ndio Hija ya wakristo 😄
 
Kobazi hoi magaidi yanafukiwa Kila siku USA yupo na tunapenda sana kazi ya netanyahu kuua magaidi uzuri netanyahu aongei mdomoni ni vitendo🤣🤣🤣🤣🤣
Subiri mzika ukianza kama US hakulazimisha vita kusimamishwa kule UN.

Sa hivi yuko kimya ana hisi Israel atashinda. Mimi nakupa 💯 Israel hashindi hi vita
 
Hija ya mashoga labda. Mnaenda hiji wapi ziko wapi dalili kwenye bibilia Israel ndio Hija ya wakristo 😄
Mashoga wanajulikana ni wavaa kobazi hata hapa tanzania Kuna askari mvaa kobazi kutoka Zanzibar aliliwa kiboga
 
Subiri mzika ukianza kama US hakulazimisha vita kusimamishwa kule UN.

Sa hivi yuko kimya ana hisi Israel atashinda. Mimi nakupa 💯 Israel hashindi hi vita
We kweli ngedere unasema hawawezi kushinda vita wakati wewe upo tandale na hao unaosema hawawezi kushinda wanatoa kipigo Cha mbwa Koko Kila siku kwahiyo siku hizi anaepigwa ndio mshindi hivi unaakili timamu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mashoga wanajulikana ni wavaa kobazi hata hapa tanzania Kuna askari mvaa kobazi kutoka Zanzibar aliliwa kiboga
Huyo askari lazima alikuwa wa kanisani kwanza afu akajidai kasilimu kwa jina tu 😄 Nendeni mkahiji mashoga kule israel
 
Huyo askari lazima alikuwa wa kanisani kwanza afu akajidai kasilimu kwa jina tu 😄 Nendeni mkahiji mashoga kule israel
Yaani bado hamjasema netanyahu piga hayo mashoga ya kiarabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkristo akiniambia mimi hazinitoshi huwa nacheka tu, mtu anaye sema binadamu ni Mungu atakuwa mjinga kuliko kenge. Mtu anaye lita Shetani halina dhambi afu ni miungu katika wa 3 huyo yuko sawa kweli 😄

Sa we unaye jisifu una akili mbona hata kuku kakuzidi akili anajua Mungu ni mmoja tu.

Kushinda Israel hi vita ni ndoto kama vile wewe. Israel yule mkuu wa Mossad haonekani tazama vita vilipo anza alikuwa ni mwingine sa ni mwingine ndio utajua Israel hatangazi kipigo anacho pokea sababu Myahudi na Mkristo ni asili zao waongo.

We unaye sema Israel kashinda vita si angeisha tangaza kashinda vita na kawamaliza Hezbullah na Hamasi. Kila sehemu anapokea kipigo afu unasema kashinda vita lazima uwe mjinga kuliko kenge 😄
 
Kumbe mnajua Israel HAIWEZI KUSHINDWA na hao ndugu zetu Waarabu? Kwanini sasa Hamas walipoishambulia Israel mlisema mwisho wa Israel umefika?
 
Dunia ya msikitini ndio inamchukulia gaidi ila sio sisi christians na yahudi tunamuona netanyahu ni shujaaa wetu anayaua magaidi vibaya sanaaaaa
Nilikwambia chiristians wanatukanwa sana na mayahudi, yesu wanamwita mtoto wa zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…