Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja.

Ndege za kijeshi za kizazi cha tano pekee za Israel, zenye uwezo wa ndege hizo kulingana na Admiral Tony Redkin, ni ndege za kivita za F35.

Hii ni mara ya kwanza kwa afisa wa ngazi ya juu wa jeshi kuzungumzia hadharani kuhusu aina ya ndege zilizotumika katika shambulio la Israel dhidi ya Iran na matokeo ya shambulio hilo.
ENDELEA KUSOMA HAPA CHINI 👇👇

Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu? Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu?
 
Sisi wenye akili tulisema hili. Tuliona namna Iran ilivyonyong'onyea na kujitutumua kidogo.... Tunajua kile kipigo cha mayahudi kilituathiri sana mpaka hii leo. Na wale makafiri wanakupiga halafu wananyamaza wewe au wenzio ndo waseme. Mbwa kabisa wale. Iran ipo hoi kwa sasa.

Ritz Webabu na Adiosamigo inabidi tuangalie tunafanyaje katika hilo.
 
Iran ni level ingine wewe. Iran huwa hapigi majumba ukiona mtu anapiga majumba ujuwe ni dhaifu.
 
Sisi wenye akili tulisema hili. Tuliona namna Iran ilivyonyong'onyea na kujitutumua kidogo.... Tunajua kile kipigo cha mayahudi kilituathiri sana mpaka hii leo. Na wale makafiri wanakupiga halafu wananyamaza wewe au wenzio ndo waseme. Mbwa kabisa wale. Iran ipo hoi kwa sasa.

Ritz Webabu na Adiosamigo inabidi tuangalie tunafanyaje katika hilo.
Jamaa alinyanyua fleet ya fighters 100 zikirushwa na matoto ya kike mazuri mazuri within hours wakamaliza kwa ustadi mkubwa kazi waliyotumwa na kurudisha vyombo pahala pake salama! Mayahudi wana zarau sana!

Tuko chimbo tunawatafutia dawa na itakuwa ya mfano na ya kushangaza! Hawatorudia tena hadi ukamilifu wa dahari.
 
Ha ha ha ha ha walisema wameharibu makombora yote ya Hezbollah cha ajabu Hezbollah wakaendelea kuwachapa na makombora hayo hayo mpaka wayahudi wakaomba pooo mchana kweupe

Ukweli mchungu ni kwamba Israeli level zake ni hamas tu
Huwenda uko sahihi, ila cha kujiuliza mimi na wewe, Je tambo za Iran kulipa kisasi cha pap kwa papo kama ilivyodai baada ya jaribio lake kuishambulia Israel, kwamba, endapo Israel atajaribu kulipiza, atapigwa achakae, bado unamsikia akisema tena baada ya hiki unachpinga?
 
Hata Israeli ilichukua mwezi kuishambuli iran mzee vita hawakulupuki
 
Iran juzi si amerusha sataraiti kwa kutumia kombora?
Ame shindwa kuharibu uwezo wa makombora wa Hizbullah aliyeko mdomoni mwake sembuse Iran.
 
Back
Top Bottom