Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Nipe certificate ya mirembe basi 🤣 Mimi nafurahi kichaa wanao sema 1=3 wakinita sina akili. Wakapime vizuri akili zao 1=3 aje hapo.Labda kama huna akili au exposure ndiyo unaweza fikiri hivyo.
Au zile bibilia zenu hazijitambui mara ziseme hakuna mtu kawahi muona Mungu, mara ziseme hakuna mtu wa kawaida kawahi hata kusikia sauti ya Mungu. Mara ziseme Mungu ni mmoja tu, mara ziseme 1=3 hilo gazeti la chakubanga afu mseme mimi sina akili hahaha poleni sana.