Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

Sawa hamkatazwi kujifurahisha. Kwa tarifa yako ndoto za mchana hizo. Ukweli Israel hamuwezi Iran
 
Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja.

Ndege za kijeshi za kizazi cha tano pekee za Israel, zenye uwezo wa ndege hizo kulingana na Admiral Tony Redkin, ni ndege za kivita za F35.

Hii ni mara ya kwanza kwa afisa wa ngazi ya juu wa jeshi kuzungumzia hadharani kuhusu aina ya ndege zilizotumika katika shambulio la Israel dhidi ya Iran na matokeo ya shambulio hilo.
ENDELEA KUSOMA HAPA CHINI [emoji116][emoji116]

Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu? Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu?
ngoja kobazi waje kwa hasira za nyati aliyejeruhiwa
 
Ha ha ha ha ha walisema wameharibu makombora yote ya Hezbollah cha ajabu Hezbollah wakaendelea kuwachapa na makombora hayo hayo mpaka wayahudi wakaomba pooo mchana kweupe

Ukweli mchungu ni kwamba Israeli level zake ni hamas tu
si makombora ya Hezbollah kumbe mengine yaliendelea kuingia kupitia Syria Sasa Israel wamebloku njia ya syria
 
Ha ha ha ha ha walisema wameharibu makombora yote ya Hezbollah cha ajabu Hezbollah wakaendelea kuwachapa na makombora hayo hayo mpaka wayahudi wakaomba pooo mchana kweupe

Ukweli mchungu ni kwamba Israeli level zake ni hamas tu
Hekaya za mwanamalundi😂😂😂
 
Sheikh wangu ni vizuri kuchutama. Iran alipigwa vibaya sehemu zake za silaha.ndugu yetu yupo hoi. Tusijichoreshe zaidi. Tujipange tu next time
Hivi hizo silaha ni maembe? yaani Iran akayaanike barabarani na milima yote ile aliyojaliwa? Kama houth tu kapigwa mabomu zaidi ya mara elf 1 ukijumlisha saudia, US, UK, na Israel ila mpaka Sasa silaha Bado zipo na kule ni jangwani sembuse Iran?
 
Sheikh hujui haya mambo wacha siye wenye ilimu duniya tukuelekeze. Si jambo baya kujifunza toka kwa wenye ilimu. Kaa kitako sheikh wangu nikujuze
 
Jamaa alinyanyua fleet ya fighters 100 zikirushwa na matoto ya kike mazuri mazuri within hours wakamaliza kwa ustadi mkubwa kazi waliyotumwa na kurudisha vyombo pahala pake salama! Mayahudi wana zarau sana!

Tuko chimbo tunawatafutia dawa na itakuwa ya mfano na ya kushangaza! Hawatorudia tena hadi ukamilifu wa dahari.
Na hapo yahudi alikuwa hajapa kuicontol Syria kama ilivyo sasa.
 
Sheikh hujui haya mambo wacha siye wenye ilimu duniya tukuelekeze. Si jambo baya kujifunza toka kwa wenye ilimu. Kaa kitako sheikh wangu nikujuze
Sawa nijuze lakini Kwa evidence Sasa wewe unaandika TU Kama hivyo na source inayotoka upande mmoja jeshi la Iran linasema tofauti na unachokizungumza kwahio Mimi nikusukilize wewe?zayuni anajulikana Kwa kutoa habari za uongo hapo Mimi hunipati kitu chochote kutoka Kwa mazayuni mpaka nijionee mwenyewe ndio ntasadiki
 
Iran ni level ingine wewe. Iran huwa hapigi majumba ukiona mtu anapiga majumba ujuwe ni dhaifu.
Ndani ya majumba hukaa nini, watu, bidhaa au silaha ? Yakivunjwa majumba vilivyomo vinabaki ? Je vilivyomo ndani ya majumba vyaweza kuwa hatari kwa usalama wa mshambuliaji ?
 
Iran will join and take up the fight with open fronts in Iraq if the threats turn towards Iraqi land, as confirmed by Iranian officials now.

🔹
@enemywatch
 
Sawa hamkatazwi kujifurahisha. Kwa tarifa yako ndoto za mchana hizo. Ukweli Israel hamuwezi Iran
Daah, mkuu upo sawa kweli?

Anyway, ninachokiona, sidhani kama tutaimaliza 2016 Ayatola atakuwa mmiliki halali wa Iran. Shah anarudi.

Hivi vitu vimepigiwa hesabu mbaya sana. Hesabu Iran is gone, is no more.
 
Anaye panga ni Mungu sio US au Israel, bibilia inasema nini kuhusu Israel itabaki? Ayatollah kuanguka itakuwa ni mipango ya Allah tu sio hao backing dogs.
 
Jamaa alinyanyua fleet ya fighters 100 zikirushwa na matoto ya kike mazuri mazuri within hours wakamaliza kwa ustadi mkubwa kazi waliyotumwa na kurudisha vyombo pahala pake salama! Mayahudi wana zarau sana!

Tuko chimbo tunawatafutia dawa na itakuwa ya mfano na ya kushangaza! Hawatorudia tena hadi ukamilifu wa dahari.
Mbona hatukayaona hayo mashambulizi kama yale ya missiles 200 zilizotua kama mvua uko Israel Navitm airbases ambayo ilipigwa na picha za satellite zikionesha impact on ground
 
Huwenda uko sahihi, ila cha kujiuliza mimi na wewe, Je tambo za Iran kulipa kisasi cha pap kwa papo kama ilivyodai baada ya jaribio lake kuishambulia Israel, kwamba, endapo Israel atajaribu kulipiza, atapigwa achakae, bado unamsikia akisema tena baada ya hiki unachpinga?
Usiseme jaribio lake la kuipiga Israel bali ni mission ilikuwa complete kila Mtu aliona mvua ya makombola yanapiga Israel
 
Jamaa alinyanyua fleet ya fighters 100 zikirushwa na matoto ya kike mazuri mazuri within hours wakamaliza kwa ustadi mkubwa kazi waliyotumwa na kurudisha vyombo pahala pake salama! Mayahudi wana zarau sana!

Tuko chimbo tunawatafutia dawa na itakuwa ya mfano na ya kushangaza! Hawatorudia tena hadi ukamilifu wa dahari.
Baada ya hapo mkaenda kusaini mkataba wa amani na hizbullah baada ya kuwadhoofisha sana na kuishiwa nguvu ,mbona kama opposite vile
 
Sawa,kwani Israel hakujibu shambulizi kwa kutumia ndege za kivita,Tena shambulizi likifanywa na watoto wa kike wabichi kabisa???
Hajabu ni nini hapo Kwaiyo hao watoto wa kike walizibeba hizo ndege kwenye mapaja yao mbona hata Iran kuna wanawake kwenye mifumo ya Air defense na jeshi la kawaida na la anga na kuhusu ilo shambulio mbona inatumika nguvu kubwa sana huku ikiwa hakuna hata video moja clear kama kule Israel iliposhindwa kuzuia mvua ya makombola mpaka USA akapeleka another Air defense THAAD baada ya iron dome David string na allow 3 kulala usingizi
 
Attachments

  • Screenshot_20241213-140804.png
    Screenshot_20241213-140804.png
    714.3 KB · Views: 2
Sawa hamkatazwi kujifurahisha. Kwa tarifa yako ndoto za mchana hizo. Ukweli Israel hamuwezi Iran
Irani alianza kupiga , Israel akalipa,mbona huyo iran amekaa kimya???,kwa ubabe zaidi Israel amechukua maeneo ya Syria ambao ni washirika wa IRAN,na Bado anaendelea kupiga pale Palestina,Ina maanisha IRAN haoni??,kwa Nini kakaa kimya??
 
Back
Top Bottom