Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

Naona team west mnajitekenya na kucheka wenyewe, Iran ni mziki mnene na huyo israel bila marekani ukiondoa vita vya angani hata jeshi letu tunawakalisha vizuri kabisa, jeshi limejaa mashoga halafu wanajiita taifa teule
 
Jibu hili swali langu.
IRAN aliahidi kuichakaza Israel Kama italipa shambulizi, isreal kalipa shambulizi,mbona IRAN kakaa kimya Kama chura ndani ya mtungi???
 
Jibu hili swali langu.
IRAN aliahidi kuichakaza Israel Kama italipa shambulizi, isreal kalipa shambulizi,mbona IRAN kakaa kimya Kama chura ndani ya mtungi???
Shambulio lipi ndiyo au unazungumzia ilo shambulio la kiuoga kusave Netanyahu face kwa Dunia sasa kama shambulio la kulipa kisasi cha makombola 200 na kuhalibiwa ndege zako za kisasa F35 ndiyo lile la kiuoga kuna haja gani ya Iran kuwa na wasiwasi hakuna miundombinu yoyote iliyohaliniwa si viwanda vya mafuta wala nuclear power plants Zaid ya ngonjera ohooo tumelipiza 😀😀sawa je kuna madhara Gani ya wazi ukiacha maneno matupu ya wayahudi
 
Hivi Kuna uhusiano gani kuwa MUISLAMU na upumbavu,,wewe ni moja ya wapumbavu,, shambulizi la IRAN halikuuwa hata mtu mmoja,huku shambulizi la Israel liliua mwanajeshi mmoja wa IRAN na ku prove kuwa mifumo yao ya ulinzi Haina nguvu,, hauwezi kufikilia au haujui haya???
 
Kitendo cha kutimba ndani ya Iran kuua kiongozi mkuu wa Hamas niliogopa sana hawa Israel
 
So far hakuna kapicha hata ka video ka kuthibitisha? Hii ndo vita pekee inayopiganwa kwenye ulimwengu wa Camera, video, lakini hakuna hata kinusu Kikombora kilichodakwa kwenye video.

Anyway hizi ndio video zilizorekodiwa Tehran, na watu wengi wa Iran hawakujua kama wameshambuliwa hadi asubuhi wameamka wa naambiwa Makombora Yalikua intercepted. Na huyo Mwanajeshi wa Iran aliefariki alidondokewa na Mabaki.


View: https://x.com/warfareanalysis/status/1849994665845719071
 
We hujui kama Waisrael hawafi? Ukiskia Israel katangaza Askari wake kafa ujue ana cheo kikubwa.

Nikukumbushe tu video za yale Makombora

View: https://x.com/astraiaintel/status/1841169199651303914
 
Sidhani kama ukimya wa Iran unamaanisha udhaifu, ila naamini kupoa kwao kunatokana na miongozo ya rais wao.
 
Sidhani kama ukimya wa Iran unamaanisha udhaifu, ila naamini kupoa kwao kunatokana na miongozo ya rais wao.
Asa maneno mnayosema IRAN ni Bora kuliko isreal mnatumia misingi ipi??,alilipizwa akakaa kimya mazima,Kama yeye ni shujaa kwa Nini asilipize Tena Kama alivyosema?
 
Sheikh wangu. Al Jazeera huwaamini? Matokeo ya vita vyao si yanaonekana?assad yu wapi? Nini wanachofanya Zayuni kwa sasa huko Gaza? Hizbu wapo wapi?hamas? Syria?iran? Haya mbona yanaonekana bila hata kuvaa miwani sheikh wangu?
 
Asa maneno mnayosema IRAN ni Bora kuliko isreal mnatumia misingi ipi??,alilipizwa akakaa kimya mazima,Kama yeye ni shujaa kwa Nini asilipize Tena Kama alivyosema?
Wapi nimesema Iran ni bora kuliko Israel? Hizi ni statement za kitoto tu.

Issue ni kwamba tuliona live hayo makombora yakitua na kuharibu hizo target zake, hasa hio airbase.

Ila vice versa is not true, tu naambiwa tu Israel kapiga na kuharibu Iran "Kwa maneno" ila hakuna kapicha hata kamoja.
 
Nani kakwambia Mimi ni muisilamu na umeona wapi nimeweka udini yangu hapo Mimi Sio mfia dini hizo za kizombi za western na Arabian Mimi nimependa facts ila wewe kwasababu ni popoma na upo unga kichwani unaleta dini ili kuuwa hoja zangu makini NB: MIMI SIO MFIA DINI leta hoja

Pili shambulio la Iran lilikua Sio kuuwa raia wasio na hatia kama afanyavyo Israel. jiulize kama alipiga Base zenye ulinzi angeshindwa kuyaelekeza makombola 200 kwenye maghorofa yeye alialibu Israel military assert Note: msikalili vita Sio kuuwa raia kama mlivyozoeshwa na Bibi Bali ni kulenga military za mpinzani kumlemaza kimedani kuuwa raia wasio na hatia ni uoga na Sio sifa sawa

Na hii ndiyo maana nikasema wewe upo unga kichwani
 
Mimi nipo unga,wewe ni kichwa wazi
 
Asa maneno mnayosema IRAN ni Borai kuliko isreal mnatumia misingi ipi??,alilipizwa akakaa kimya mazima,Kama yeye ni shujaa kwa Nini asilipize Tena Kama alivyosema?
Tunatumia msingi wa Israel pekee na Iran pekee bila washirika.mpaka sasa hujatambua tu kwamba vita ya Israel ni ya Marekani!?
 
Sheikh wangu. Al Jazeera huwaamini? Matokeo ya vita vyao si yanaonekana?assad yu wapi? Nini wanachofanya Zayuni kwa sasa huko Gaza? Hizbu wapo wapi?hamas? Syria?iran? Haya mbona yanaonekana bila hata kuvaa miwani sheikh wangu?
Eehheee Sasa nioneshe matokeo ya shambulio lililo haribu uwezo wote wa Iran wa makombora
 
Eehheee Sasa nioneshe matokeo ya shambulio lililo haribu uwezo wote wa Iran wa makombora
Msikiti wa shehe tumbo tumefadhaishwa na kitendo cha Iran kuogopa kujibu mapigo. Hii ni aibu kubwa sana kwa Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…